Natengeneza BUSINESS CARDS | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natengeneza BUSINESS CARDS

Discussion in 'Matangazo madogo' started by aabb, May 9, 2012.

 1. aabb

  aabb Senior Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ​Natanguliza heshima kwenu wakuu. Natengeneza Business Cards kama sample zinavyoonekana kwenye picha hapa chini.
  Kuna aina nyingi sana hapa nimeweka mifano tu. (Vilevile ni pamoja na vitambulisho)
  Kwa anayehitaji tuwasiliane kwa 0715393111.

  1.jpeg 2.jpeg
   
 2. M

  Mangii Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Uko maeneo gani je upo hapa hapa Dar je?na gharama ya kutengeneza inakuwa sh ngapi? naomba kujua plz
   
 3. aabb

  aabb Senior Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 104
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nipo Dar, bei inategemea quality ya karatasi, 200/=, 300/=, na kuendelea quality inavyoongezeka.
   
 4. jimjamtz

  jimjamtz Senior Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 147
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Ninahitaji product sticker lables,jee unazitengeneza?quotation plz tuokoe muda wa kutafutana!
   
Loading...