pesa

  1. ommytk

    JamiiForums Tanzania Hivi wenzetu mnawezaje kutunza hela? Tupeane elimu kidogo ya kutunza pesa

    Wadau wenye elimu kidogo ya kutunza pesa ebu tuelimishane yaaani mimi kwakweli nimeshindwa kabisa yaaani utanipa laki sasa hivi lazima nitaitumia tu yaani lazima litatokea jambo linahitaji hiyo laki na zaidi yaani sijui inakuwaje kila nikisema hii situmii utasakia mtoto sijui anaumwa yaani...
  2. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Wanawake kuomba pesa kwa wanaume kimekuwa kilio cha kitaifa

    Ni hali tete kila kona wanaume wanalalamika tabia za wanawake kuomba pesa. Siku hizi kumpata mwanamke asiyeomba omba pesa ni kama kuokota embe bolibo chini ya mchungwa. Wanawake wastaarabu wasiyo omba pesa ni kama wameshaisha siku hizi. Wanaume wanalalamika unakutana na dada unampenda...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Kauli za Chuki za Mbunge Tarimba Abbas (CCM) dhidi ya Simba SC na TFF naiomba Simba SC iachane rasmi na SpotiPesa yake

    "TFF ni Simba SC na Simba SC ni TFF na tumeshaona jinsi Simba SC inavyobebwa na TFF kiasi cha wengine Kuchoshwa na Upuuzi huu ", Mbunge wa Kinondoni Tarimba Abbas Tarimba. Chanzo: Sports Court Wasafi FM leo. Simba SC nadhani tumeshauvumilia huu unafiki uliopitiliza wa Mbunge wa Kinondoni...
  4. BilioneaPATIGOO

    JamiiForums Tanzania Dunia ina mambo, ukiwa na pesa unaweza kufanya chochote

    Wahenga wenzangu wa zamani nadhani mtakua mnamkumbuka dada kama si mama ambaye alipata kuimba kua dunia ina mambo...ooh mwanangu dunia ina mambo ..dunia hii mama lukumba lukumba dunia ina mambo mwendo wa ngamia.. Katika pitapita zangu kwenye mitandao nikakutana na habari ambayo imenishangaza...
  5. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa mradi wa barabara nane Kimara-Kibaha umekwama kwa sababu serikali haina pesa ya kumlipa mkandarasi?!

    Ukweli ni kwamba huo mradi umekwama na hauendelei tena kwa kasi ile ya kipindi cha JPM. Mkandarasi inasemekana hajalipwa pamoja na kupeleka certificate karibia tatu za kuomba alipwe na halipwi! Ukweli na usemwe makusanyo ya kodi yamepungua maradufu ndiyo maana malipo ya miradi mingi imekwama.
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yashauri kuwe na kodi ya Katiba Mpya ili mchakato wa Katiba uendelee

    Kauli hii ya Kizalendo imetolewa na Katibu Mkuu wa CHADEMA Mhe. John Mnyika , wakati akiongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya nchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya kuliko jambo lingine lolote kwa sasa . Mh Mnyika amesema kwamba ikiwa Serikali yetu haina hela za kugharamia Mchakato huu...
  7. Kifaru TANZANIAN

    JamiiForums Tanzania Natoaje pesa kwenye benki zilizofungiwa?

    Naomba kujua namna ya kutoa pesa kwenye benk zilizofungiwa ikiwemo Meru Bank Community.
  8. Kifaru TANZANIAN

    JamiiForums Tanzania Namna ya kutoa pesa kwenye benki zilizofungiwa

    Habari wadau, naomba kujua namna ya kutoa pesa kwenye benki zilizofungiwa ikiwemo Meru Bank Community
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nimempelekea pesa ya kodi, kagoma kunipa mzigo. Nimerudi na pesa yangu

    Huyu binti ambaye niliwahi kuleta taarifa yake ya kuninyima mzigo licha ya kulala kwake siku 2. Wadau walitoa maoni yao nikawaelewa. Nikambana kwanini alifanya vile akasema ni woga tu( nahisi ni bikira). Nikaendelea naye chatting and so. Kaniomba nimwongezee pesa alipie chumba nikampa ahadi...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kaniacha kisa sina pesa

    Mwaka jana kama mwezi wa 8 nikiwa katika mazingira ya senta yetu nilikutana na mdada miaka 21 kwa jina Anita(si jina halisi). Nikaanza mchakato wa kumuaproach niwe nawe katika mahusiano ambayo hatima yake itakuwa ni ndoa. Katika harakati zile za kumtaka pamoja na ugumu lakini baadae alinielewa...
  11. Mtoto wa Nyerere

    JamiiForums Tanzania Wanawake bwana tukifanya kazi muda mrefu na kuchelewa kurudi nyumbani mnalalama ila tukikaa nyumbani bila kutoka tena mnalalama

    Mwanzo Mimi binafsi nilikuwa nafanya kazi na taasisi fulani ila badae mwaka 2017 ilifunga shughuli zake nchini Tanzania. Nikapoteza kazi na nikawa muda mwingi nipo nyumbani napanga mipango ya kupata pesa nikiwa nyumbani muda mwingi . Yaani kwa wiki nilikuwa natoka siku 4 siku tatu nipo...
  12. Soma Vitabu Tanzania

    JamiiForums Tanzania Unaingiza kiasi gani cha pesa kwa saa?

    Siku moja Baba alirudi nyumbani akiwa amechelewa kutoka kazini. Alikuwa amechoka huku akiwa amekasirika. Alipofika nyumbani alimkuta mwanae wa miaka mitano akimsubiri mlangoni. Mtoto alipomuona baba yake , alimwambia “ Baba ninaweza kukuuliza swali?” Baba akajibu, “ndio, unaweza ni nini...
  13. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi waliokula pesa za Maabara za wananchi, nao pia watakamatwe

    Rais Samia. Tafadhari sana. Wakuu wa wilaya wenye tabia ya Sabaya ni wengi. Wilaya nyingi watu wana vilio vya wakuu hawa ambao walikula michango ya wananchi na hasa kwenye ujenzi wa maabara na madarasa. Wananchi walitoa michango kwa nguvu, lakini bila huruma pesa zimeliwa. Hawa nawaona ni...
  14. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, nchi kuchapisha pesa zake nje ya nchi ni sahihi?

    Nina wasiwasi hawa tunaowapa kazi ya kuchapisha pesa zetu wanachapisha na makontena ya ziada na kuyaingiza kwenye mzunguko kimya kimya. Should i be concerned?
  15. Miyeyusho

    JamiiForums Tanzania Panapo kipato hakuna mwanamke mwenye dharau

    MWAKA 2019 JAMAA: Kaka Miyeyusho habari? Naitwa Nassoro, samahani naomba unishauri. Nina mchumba wangu nampenda ila yeye anipendi, mara kadhaa ameniambia tuachane ila nambembeleza tunarudiana. Ila sasa naona kawa kweli na maamuzi yake, wiki sasa kila nikimbembeleza ananiambia hanitaki. MIMI...
  16. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Hii sio fursa ni janja ya Mbowe kutafuta pesa. Yaani tumekuwa mawakala wa kusajili kadi za CHADEMA? Tuko hoi bin taabani

    "Ninawasihi vijana wenzangu najua tumepigika kweli kweli lakini awamu hii Chadema imeleta fursa. Kila kijana atakayekuwa wakala wa usajili wanachama wa Chadema, kila utakaposajili mtu mmoja unapata shilingi mia tano." Mhe. John Pambalu
  17. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa manufaa ya jamii nzima

    Kwa kipindi hiki ambapo uhalifu umeongezeka Mtaani waelimishe yafuatayo wanaoshinda nyumbani. 1. Wasiwaamini wasiwaruhusu kuingia ndani wauza urembo.waokota makopo,watembeza nguo na wanaosajili line za simu. 2. Tusiwaamini/tusiwakaribishe ndani warembaji wa kucha na wasugua miguu...
  18. Fene

    JamiiForums Tanzania Tajiri ni nani?

    .
  19. the numb 1

    JamiiForums Tanzania Huyu binti kiukweli nashindwa kumuelewa baada ya kunipa mkopo wa pesa

    .
  20. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Hili sio Bunge bali ni 'genge la watafuna kodi za wananchi'

    Kama wananchi maskini na wasio uhakika wa maisha yao wanakamuliwa kodi zao kisha zinatumika kulipa wabunge wa namna hii basi ni maumivu makubwa kwao Kwamba bunge ambalo ni sehemu ya wanannchi ambao lilituma wawawakilishi wao alafu hao wawakilishi wanaenda Bungeni kama wamevaa nguo za disko na...
Back
Top Bottom