Ooh je usahihi wa pesa zinazotumwa mahakaman huwa uko wazi kiasi gani kwa msimamizi wa mirathi?Mahakama inasimamia pesa za marehemu zinamfikia mrithi. Endapo utafariki, familia itakaa kikao itateua msimamizi wa mirathi ambaye ataenda mahakamani kufungua shauri la mirathi.
Mara baada ya kufungua shauri hilo Mahakama itamuidhinisha, then atapewa barua maalumu kwenda kwa bank. Barua hii itasainiwa na Hakimu ambapo bank husika itatakiwa kutaja kiasi cha pesa kilichopo kwenye akaunti za marehemu.
Kiasi hiko cha pesa kitatumwa kwenda akaunti ya mirathi ya mahakama katika mkoa husika ulikofungulia mirathi.
Jukumu la msimamizi wa mirathi kupeleka mchangao wa mgao wa pesa hizo kulingana na idadi ya warithi. Then malipo yanafanyika ikiwa yamepitishwa na hakimu husika.
Ooh je usahihi wa pesa zinazotumwa mahakaman huwa uko wazi kiasi gani kwa msimamizi wa mirathi?
Bank hawawezi kukata pesa kwa madai ya kuwa marehemu alikuwa anadaiwa mkopo? Kwahiyo wakaifyeka na kupeleka mahakamani pesa pungufu?Mahakama haiwezi kuiba hela za marehemu.. hela hizo zina utaratibu mgumu sana sio rahisi kupotea hata mia..
Pia kama ni mjanja unaweza ukajua kiasi kilichopo kwenye account za marehemu. Kabla hata hakijaenda mahakamani kwa njia za magendo..
Mkuu sikuizi unaweka A/C yako msimamizi wa mirathi na sio A/C ya mahakama.Mahakama inasimamia pesa za marehemu zinamfikia mrithi. Endapo utafariki, familia itakaa kikao itateua msimamizi wa mirathi ambaye ataenda mahakamani kufungua shauri la mirathi.
Mara baada ya kufungua shauri hilo Mahakama itamuidhinisha, then atapewa barua maalumu kwenda kwa bank. Barua hii itasainiwa na Hakimu ambapo bank husika itatakiwa kutaja kiasi cha pesa kilichopo kwenye akaunti za marehemu.
Kiasi hiko cha pesa kitatumwa kwenda akaunti ya mirathi ya mahakama katika mkoa husika ulikofungulia mirathi.
Jukumu la msimamizi wa mirathi kupeleka mchangao wa mgao wa pesa hizo kulingana na idadi ya warithi. Then malipo yanafanyika ikiwa yamepitishwa na hakimu husika.
Ooh kwahiyo sahivi wameboresha au?Mkuu sikuizi unaweka A/C yako msimamizi wa mirathi na sio A/C ya mahakama.
Mkuu sikuizi unaweka A/C yako msimamizi wa mirathi na sio A/C ya mahakama.Mahakama inasimamia pesa za marehemu zinamfikia mrithi. Endapo utafariki, familia itakaa kikao itateua msimamizi wa mirathi ambaye ataenda mahakamani kufungua shauri la mirathi.
Mara baada ya kufungua shauri hilo Mahakama itamuidhinisha, then atapewa barua maalumu kwenda kwa bank. Barua hii itasainiwa na Hakimu ambapo bank husika itatakiwa kutaja kiasi cha pesa kilichopo kwenye akaunti za marehemu.
Kiasi hiko cha pesa kitatumwa kwenda akaunti ya mirathi ya mahakama katika mkoa husika ulikofungulia mirathi.
Jukumu la msimamizi wa mirathi kupeleka mchangao wa mgao wa pesa hizo kulingana na idadi ya warithi. Then malipo yanafanyika ikiwa yamepitishwa na hakimu husika.
Ndio ni moja kwa moj kwenye AC ya msimamizi wakishaweka watakupigia simu ucomfirm.Ooh kwahiyo sahivi wameboresha au?
Nilikwenda juzi kufuatilia BANK YA POSTA wakagoma kabisa hata kunipa Bank statements!Mkuu sikuizi unaweka A/C yako msimamizi wa mirathi na sio A/C ya mahakama.
Ndio ni moja kwa moj kwenye AC ya msimamizi wakishaweka watakupigia simu ucomfirm.
Hela wanaingiza kwenye A/C ya mirathi ya Mahakama ndugu yangu.Nilikwenda juzi kufuatilia BANK YA POSTA wakagoma kabisa hata kunipa Bank statements!
Sikuelewa kwanini wakati niliwaonesha barua ya kuteuliwa na mahakama pamoja mihutasari ya vikao!
Walidai sheria haiwaruhusu kudisplay information kwa mtu ambaye siyo mteja wao!
Wakaomba nirudi mahakamani nikawaletee Akaunti ya mahakama!
Halafu hakimu ndo atanipatia pesa kama zimo!
Nilihisi usumbufu
Inakuwaje barua ya mahakama niliyopewa kutambulishwa kama msimamizi wa mirathi haikutaja A/C ya mahakama kama sheria ndivyo ilivyo!Hela wanaingiza kwenye A/C ya mirathi ya Mahakama ndugu yangu.
Sio barua ya kuteuliwa usimamizi wa mirathi.Inakuwaje barua ya mahakama niliyopewa kutambulishwa kama msimamizi wa mirathi haikutaja A/C ya mahakama kama sheria ndivyo ilivyo!
OohhSio barua ya kuteuliwa usimamizi wa mirathi.
Ipo barua/form maalumu inaandikwa na kusainiwa na hakimu wako kumuamrisha meneja wa bank au mwajiri kutuma michango au haki zote za marehemu kwenye akaunti ya Mahakama.
Benki ya posta haijawafikia hiyo haipoMkuu sikuizi unaweka A/C yako msimamizi wa mirathi na sio A/C ya mahakama.
Bank hawawezi kukata pesa kwa madai ya kuwa marehemu alikuwa anadaiwa mkopo? Kwahiyo wakaifyeka na kupeleka mahakamani pesa pungufu?
Mkuu sikuizi unaweka A/C yako msimamizi wa mirathi na sio A/C ya mahakama.
Ndio ni moja kwa moj kwenye AC ya msimamizi wakishaweka watakupigia simu ucomfirm.
Option zipo mbiliHuo utaratibu umefanywa mwaka huu? Maana kuna mirathi jamaa yangu amefatilia hela zimewekwa account ya mahakama na ni mwaka huu