pesa

  1. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania Prof. Issa Shivji: Nilihudhuria birthday ya Mwalimu, sikumbuki alipewa zawadi yoyote. Hata kukata keki alifanya kwa mzaha

    "Nilihudhuria 70th (1992) birthday ya Mwalimu. Sikumbuki alipewa zawadi yoyote. Hata kukata keki alifanya kwa mzaha. Alipokuwa anaondoka, mama mmoja kampa portrait yake aliyechora mama huyo mwenyewe. Akamambia msaidizi wake apokee. Zawadi ya Benz kwa Mzee wetu ikanishtua kidogo." -- Issa...
  2. The Boss

    JamiiForums Tanzania Rais aunde tume mbili kuchunguza shutuma za watu kudhulumiwa mali zao awamu iliyopita pamoja na kifo cha Hayati Dkt. Magufuli

    Nimemsikia Raia Samia anasema watahakikisha wanakusanya kodi halali na sio ya dhuluma na huko nyuma amekemea TRA kunyang'anya watu mitaji na hela zao kwa kisingizio cha kodi. Hapa tuseme ukweli kuwa tuhuma kuwa miaka mitano iliyopita watu 'wamedhulumiwa' na kunyang'anywa hela zao' zimezagaa...
  3. gimmy's

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, zile pesa ulizoziita za dhulma walizopokwa wafanya biashara na TRA itapendeza kama mtawarudishia wenyewe

    Nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano wanajukwaa. Ndugu zangu kwanza nitaanza kwa ku declear interest kwamba mimi ni mwana CCM ambae nilikuwa simuungi na sikubaliani na hayati Magufuli bila kificho kwani matendendo yake na uongozi wake haukuwa mzuri kwa maono yangu. Kwa maono yangu...
  4. Chukwu emeka

    JamiiForums Tanzania Pesa za Mashabiki Simba vs Yanga zilizolipwa machi ya leo,Serikali izichukue

    Kufuatia sintofahamu ya mechi ya Simba kuahirishwa na Bodi ya Ligi, nashauri hela zote zilizokusanywa zichukuliwe na Serikali na ziwekwe kwenye budget ya huduma za kijamii. Kuwaachia hela hizo TFF na matapeli wenzao ni wizi wa waziwazi kabisa. Karia juzi tu ulisisitiza kanuni hazifuatwi, ndiyo...
  5. Ethan Cruz

    JamiiForums Tanzania Mwanamke humpenda mwanaume mwenye pesa ili maisha yake yaende, wengi hawana hisia za kimapenzi na wanaume hao

    Unavyodhani ndivyo, sivyo na huenda ukashangaa sana nikikuambia huu ukweli kuhusu wanawake. Huenda ukafikiria wanawake wengi hupenda wanaume wenye pesa na magari lakini sivyo hata kidogo. Kuna tofauti ya kuwa na hisia za mapenzi na kumpenda mtu ili aweze kuyasukuma maisha yako. Asilimia kubwa ya...
  6. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Rushwa kushinikiza Bandari ya Bagamoyo: Nani anatoa Pesa?

    Kuna clip inaonyesha mama akipiga chapuo kujengwa kwa bandari ya Bagamoyo Kwa PP. Naomba kuuliza wanajamvi yafuatayo: 1. Kwanini njia pekee ya kujenga bandari ya Bagamoyo iwe ni Kwa ubia pekee? Kwanini tusijenge Kwa mtindo wa reli ya SGR? 2. Je, Kenya nayo ikapunua bandari na msumbiji? Na...
  7. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Kujiongezea mapato Serikali ianze kujenga Magereza ya kulipia kwaajili ya wafungwa wenye pesa zao

    Magereza jengeni magereza ya kulipia kwa wenye pesa wanaopenda Mfano ni huu wa Marekani
  8. muyakb24

    JamiiForums Tanzania Ukipata kiasi cha shilingi milioni 10 utafanya biashara gani?

    Tupe wazo lako la biashara hapa mkuu. Ni hivi ikatokea umepata kiasi cha shilingi milioni 10,kwa haraka haraka utafikiria kufanya biashara gani?
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania VITA: Kazi Vs Pesa! Nani ataibuka mshindi?

    VITA VYA KAZI DHIDI YA PESA. KAZI Vs PESA Kwa Mkono wa Robert Heriel Kazi ni shughuli aifanyayo mwanadamu au kiumbe kujipatia mahitaji yake. Kama vile kilimo, ufugaji, udereva, ualimu, udaktari, ufundi nguo, uchongaji, uongozi, uchungaji, usheikhe, uhakimu, uandishi wa habari miongoni mwa...
  10. Kifaru86

    JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha wanawake kuzalishwa na kutelekezwa na wanaume?

    Ushawahi kijiuliza ni kwanini wanawake wengi miaka ya hivi karibuni wamekuwa wakizalishwa na kutelekezwa ni wapi wanapokosea! Mpka mwanaume anamzalisha na kumtelekeza ina maana hakukuwa na makubaliano kuhusu mtoto na mimba itakuwaje au mwanamke aliamua tuu kumtegeshea mwanaume wakati mwanaume...
  11. Tz boy 4tino

    JamiiForums Tanzania Wale wanaopiga pesa online Tanzania, vipi mnatumia platform gani kupokea pesa?

    Mbali na PayPal??.
  12. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnaoangalia pesa mnatutesa sana wanaume. Mtalaaniwa

    Hali bado sio nzuri kwetu wanaume kama bado wanawake mtaendelea na msimamo wenu ule ule kuangalia mwanamme una nini au unafanya kazi gani naona mwisho wenu utakuwa mbaya zaidi. Mmevunja mahusiano mengi kwa dharau zenu na viburi sababu kuu ni mwanaume hana kipato unachotaka mmetuacha na maumivu...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Amfumania mume wake na house girl, alimlipisha pesa ili yaishe

    Hiki kisa kilitokea muda kidogo. Nakumbuka nilitoka mkoani kuja kusoma tuition dar, nilifikia kwa baba mdogo. Siku moja najiandaa kurudi shule mkoani nikaenda kariakoo kununua vitu mbali mbali vya shule, kurudi home nikagonga get akaja baba mdogo kunifungulia . Bahati mbaya mimi sikufunga na...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai ahoji kwanini pesa zinakwama Wizara ya Fedha. Amtaka Waziri kujiandaa akisema "Siku ya Wizara yake nitakamata shilingi mwenyewe"

    Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai leo amehoji kwanini Fedha zinakwama Wizara ya Fedha akimtaka Waziri kujiandaa akisema, "Siku ya Wizara yake nitakamata Shilingi mimi mwenyewe" Ndugai ametoa kauli hiyo Bungeni Dodoma wakati Bunge likijadili Hotuba ya Wizara ya Nchi - Ofisi ya Makamu wa...
  15. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania HESLB wanatoa wapi pesa za kudhamini vipindi vya redio?

    HESLB ni wadhamini wa kipindi cha Powerbreakfast cha Clouds FM, swali ninalojiuliza hapa ni kwamba inakuwaje taasisi ya serikali ambayo ni non-profit institution inajigeuza kuwa profit-based institution? Sielewi lengo lao la kujitangaza ni nini. Hawana ushindani wowote, hawana mtu...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini tusijenge Bandari ya Bagamoyo tusijenge kwa fedha zetu wenyewe?

    Ndugu Watanzania, Nimejaribu kufatilia nchi yetu na kuona kuwa miradi mikubwa inayofanyika au inayotarajiwa kufanyika tunategemea zaidi pesa kutoka nje ya nchi kama mikopo au wawekezaji. Leo ninataka kujikita zaidi kwenye neno wawekezaji ili nitowe mawazo yangu kwa nini sisi watanzania...
  17. MTV MBONGO

    JamiiForums Tanzania Nina milioni 25, naweza kuwekeza kwenye nini ili nipate pesa nzuri kwa muda mfupi?

    Nina milioni 25, naweza wekeza kwenye nini ili nipate pesa nzuri kwa muda mfupi? Wadau mawazo yenu Tafadhali. Mchango wa mdau Pia soma: Biashara gani zinazoingiza mamilioni kwa muda mfupi?
  18. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Fanya biashara ndani ya biashara yako, uokoe pesa unazopoteza na ujiongezee faida

    Kwenye biashara kuna mambo mengi sana ambayo kabla hujafikiria kuanzisha biashara unatakiwa kuyafikiria ili isije tokea sababu yyte (ya kibinadamu) ikakuangusha chini ukafunga biashara yako. Watu wengi sana kabla ya kuanzisha biashara zetu tunajiuliza "tutapata wapi bidhaa tunazotaka kuziuza"...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ni lini Spika Job Ndugai atajibu tuhuma za yeye na Wabunge kuhongwa Pesa na serikali ya Magufuli ili kupitisha miswada mibovu ya sheria kandamizi?

    Mh Mbowe katika hotuba yake kwa Taifa pamoja na mambo mengine mengi aliyoyazungumza, pia alizungumza kwa msisitizo sana jinsi Bunge la Tanzania lilivyogeuzwa kuwa Muhuri wa kupitisha Sheria mbovu za ukandamizaji pamoja na kuunga mkono bajeti za serikali zenye makando kando. Mbowe alitamka bila...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Utumishi, Usahili wenu kufanyikia Dodoma, ni mzigo kwa waomba ajira. Wanatakiwa wawe na pesa ndefu ya kujikimu karibu laki tatu

    Sijui waziri husika hajaliona hilo au vipi. Vijana wetu wanaoomba ajira ni dhahili serikali haina huruma nao kabisa. Sera za ajira siyo rafiki kwa wasaka ajira. Leo hii unamuita kijana kwenye interview Dodoma, nafasi moja (one post) unaita watu 200 wakagombanie nafas moja kutoka mikoa ya...
Back
Top Bottom