Hakuna huduma ya TigoPesa siku ya pili sasa

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
9,285
9,920
Toka jana huduma ya Tigo pesa haipatikani, nimeongea na huduma kwa kwa wateja wanasema ni kweli huduma hiyo haipataikani ila mafundi wanapambana kushughulikia tatizo.

Kilicho nikwaza ni kukaa kimya kwa siku zote bila kutoa taarifa, leo nilitakiwa kufanya malipo ya watoto shule nataka kutoa fedha nilipe napata ujumbe kuna tatizo la mtandao.

Imenilazimu nisubiri mpaka kesho kama huduma itakuwa sawa.
 
Toka muda huo huduma ziliposimama mpaka sasa huduma hazijarudi lazima tatizo ni kubwa
 
Back
Top Bottom