Bandugu habari zenu,
Umekuwa tukikimbisana kutafuta mapesa kila iitwapo leo... Sasa hapo msemo upi umekuwa ukikupekeka mchakamchaka Kati ya pesa zako kumalisa iyo matatiso unasopata AU tatiso ndosinasomalisiia pesa yako!
Kuna biashara za misimu, na katika hizi biashara kuna biashara niliyoshuhudia kwa macho yangu iliyotajirisha mno vijana, biashara hii ilikuwa ni ku burn cd miaka ya 2000 hadi 2006
Mimi nitazungumzia scenario ya mkoa niliopo wa nyanda za juu kusini.
Enzi hizo miaka ya 2000s bongo flava ilikuwa...
Leo ni thursday (alhamisi) sio mbaya kukumbushia kidogo mambo kadhaa, tbt throwbak thursaday.
2011 nilikuwa nimemaliza form six nikiwa na miaka 20,
Mitihani tumemaliza mwezi wa pili, vyuo tunaingia october, hapo nina miezi 8 yani.
Warembo napishana nao mtaani, naishia tu kuwapa hi, nimefulia...
Miezi michahe iliyopita hili jambo lilipigiwa kelele sana pale mitandao yote kwa mpigo iliposhinikizwa kubadili bei zao kutokana na mabadiliko kadhaa ya sheria.
Kiukweli kisu kiligonga mfupa na wananchi kelele zao zilikita kila kona na mpaka raisi akaingilia kati.
kwa sasa ndani ya miezi...
Huo ndio ukweli Mchungu wanaume wenzangu, tuangaike kutafuta pesa sio kuangaikia mademu,
Ukiwa na pesa hautaomba msamaha ata kama ulikuwa unakosa, Mwanamke anavumilia shida kwa muda mchache tu ila hawezi kudumu ndani yake. Atasema anakupenda kwa sababu unamchakata vizuri lakini akija mwenye...
Wakuu,
Jana nilipata fursa kuitumia siku ya kumbukizi ya maisha ya Mwalimu kuzunguka zunguka vitongoji vya hapa Dar na mimi, nikapita mitaa ya Gezaulole - kigamboni aisee ni balaa - Mji umejengeka swafi, majumba makali makali nikawaza sana moyoni mwangu kwamba huku si ndiko watu walikuwa...
Nasikia serikali imepata fedha kutoka Imf kwa ajili ya ujenzi wa majengo madarasa ni vizuri lakini kwa mkoa wa Songwe najua wanafunzi wanaitaji kujiunga kidato cha kwanza mwakani ni wa chache sana kutokana jamiii ya watu wasivyothamini shule. Shuleina form one mpk 4 ina wanafunzi 78. Pia...
Ni watumishi wa serikali kutoka idara tofouti tofouti nyeti na zisizo nyeti, watumishi hawa wa Mama Samiah Suluhu Hassani wanatia huruma mno kila ifikapo katikati ya mwezi.
Na kwa hili ilivyo kwa sasa ya vitu kupanda bei, kuna kufanya maendeleo kweli ukiwa mtumishi wa serikali?
Niwaase...
Na kama tukiamua 'Kuwakazia' tutaishia Kuwachapeni sana 'Bakora' na huenda hata hizi Pesa zenyewe tusiwe tunawapeni vile vile na hakuna cha Kutufanya.
Haiingii Akilini Mtoto umeenda Kumtembelea Wiki Mbili tu zimepita Leo hii anakupigia Simu na Kukuambia sijui kaishiwa Vitabu mara sijui kaibiwa...
Leo nimeamua kuandika hili jambo baada kuona limekua Bomu linalochipuka na ambalo miaka 10 ijayo litakapolipuka, Wanaume wengi watakua waoga sana na wengine kuuacha uanaume wao na huenda neema ya wanawake kuanza kuoa wenyewe ikaja !!.
Mdau mmoja ananiambia " Carlos nina rafiki yangu huyo ana...
Tuipe hongera serikali ya awamu ya sita kwa hatua ya hiii inayoenda kufanya wito huu sio mda tena wa Kila waziri kwenda kwenye vyombo vya habari nakuanza kuongelea hizi pesa za ujenzi wa madarasa wakati bado pesa zipo hazina hazijafika katika halmashauri
Pelekeni pesa haraka mwezi January siyo...
Je Kauli Ya Nape Ni Ya Kweli Kwamba Vyuma Vilikaza Na Sasa Vimeachia?
Kweli vimelegea nyama imeshuka bei kutoka 6000 kwa kg Hadi 8000 kwa kg
Mafuta ya aina yote bei imeshuka Sana kuliko miaka yote hongera sana kwake
Wana Jf
Baada ya kusikiliza video inayotrend kwenye mitandao mbalimbali ikionyesha umahiri wa benk ya NMB kuwa mkombozi kwa wanyonge kufuatia benk hiyo iliyovyojipambanua kwa kugusa kila seksheni ili kuwapata walengwa sahihi,kuanzia mdogo hadi mkulima mkubwa.
Benki hii inaweza kuzua vichekesho...
Mama ni Waziri aliye na tabia ya kupenda Kukurupuka na Kuanzisha au Kuzinunua Timu, anawekeza huko na akishazitumia kwa Maslahi yake huja Kuzitelekeza mbele ya Safari kisha anabakia na Timu yake moja Kubwa ambayo hudiriki hata Kunyofoa Wachezaji wazuri huko na Kuwapeleka bure katika hiyo Klabu...
They say money can't buy happiness, money can't buy love. Okey fine, I agree
But, what can poverty buy?
Ukiona mtu anasema bora yeye na Umaskini wake ila anaishi kwa amani..huruma kubwa inamhusu maana hajui alinenalo wala alitendalo hakuna maskini mwenye amani Dunia hii.
Hapa duniani hakuna...
Waziri wa Fedha awe mkweli maana kama kajisahau vile anaendelea kutoa hotuba, alituambia fedha za tozo zitahusika kwenye Ujenzi wa madarasa na huduma za afya, leo hii fedha walizopewa na IMF anataja miradi ile ile kwamba ndio itakayo tekelezwa, huenda labda mm sijaelewa vizuri pamoja na kuwa...
Wakuu mmebarikiwa Sana na Mungu WA mbinguni hakuna laana tena.
Leo napumzka na visa vya muha nawaletea kisa huko cha dogo na mchepuko wake.
Nina dogo langu mmoja ni Mzee WA PGO ( police ) dogo ana family mke na mtoto. SASA ana mchepuko wake huo unafanya biashara ya GENGE lenye mazaga kama yote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.