Salute Wakuu
Utangulizi
Wengi mmesikia kuhusu ugonjwa wa Kisukari wengine wakilalamika kuwa na huu ugonjwa hatari au wamekatazwa (hospitali) kutumia baadhi ya vyakula ili kuepuka madhara zaidi ya huu ugonjwa. Trust me I guarantee this is the perfect thread tutaelewa kila kitu hapa na hakuna...
Siku hizi ukiwa na shilingi elfu 10, inayoyoma kama upepo, thsmani ya pesa haipo kabisa
Maisha ya wananchi yanazidi kuwa juu na magumu.
Wakati serikali haikuongeza stahiki za wafanyakazi kwa miaka Sita sasa, lakini imewazunguuka na kuwaongezea TOZO lukuki na kodi Lukuki na hivyo kuifanya...
UTANGULIZI
Askari wa Usalama barabarani nikiungo Muhimu Sana kati ya wamiliki wa vyombo vya usafiri na sheria zilizotungwa na bunge katika kudhibiti makosa yote ya usalama barabarani na sambamba na kuakikisha vyombe vinavyotembea ni tu vilivyo salama.
JE, NI KWELI ASKARI HAWA WANASIMAMIA...
Siku nyingi. Nikijaribu kutuma pesa kutoka Mpesa kwenda Tigopesa inakataa. Inarudiarudia kusema niweke namba ya siri hata mara kumi.
Nahisi Voda wanafanya hili makusudi, labda wana bifu na Tigo. Maana hata kununua airtime tigo kwa kutumia Mpesa haiwezekani.
Kama wana bifu, basi linatukwamisha...
Taliban na mbwembwe zote zile Sasa hv wanamlilia Tena US awasaidie kuendesha nchi. Saudia kanyuti Kama hawajui
=======
Taliban took Afghanistan but face cash squeeze
By JOSH BOAK
WASHINGTON (AP) — The Taliban face a frontal challenge in cementing control of Afghanistan: Money...
Amesikika Mh Waziri Mkuu bungeni akimpongeza Rais Samia kwa kuongeza pesa ya kununua Mahindi ya Wakulima zilizofikia Bilioni hamsini.
Kwa kadri ya ufahamu wangu Mh Rais hakuitoa hela hii kutoka kwenye Mshahara wake bali ametoa hela hii kutoka kwenye Mfuko wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa...
Tusimlaumu Raisi kwenye kila kitu. Hakuna mtu nambaye anajua mambo ya pesa, miradi na jinsi ya kuendesha serikali na gharama zake kuliko Makamu wa Raisi Philip Isdor Mpango. Lakini pamoja na ahadi zake za kupambana na ufisadi hajafanya kazi nzuri kupambana na matumizi mabaya ya serikali...
Habari za wakati huu waungwana;
Mnamo mwaka 2005 nilipata kusikia habari za kwamba watu wanaweza kufanya kazi kwa njia ya mtandaona kutengeneza pesa.Kwa sababu ya uelewa finyu wa teknolojia na uhaba wa rasilimali haikuwa rahisi sana mimi kutambua ni kwa namna gani.Hata hivyo niliendelea...
Utalii wa ndani siyo mpaka kwenda Serengeti au kupanda mlima kilimanjaro. Unaweza kutoka Dar ukaenda Bagamoyo kuangalia majengo, ni utalii. Unaweza enda Pugu hill, ni utalii. Siku hizi watu binafsi wameanza kuwekeza na kuboresha maeneo haya. Hii inatengeneza ajira na halmashauri zinapata pesa...
Si mnajifanya mnafichaficha huku mkitumia muda mwingi Kuvihonga Vyombo vya Habari nchini viiseme vibaya Simba SC na nyie viwe vinawapamba tu?
Haya Waambieni sasa akina Bumbuli na Manara waje wawape Ufafanuzi na Ukweli uliopo juu ya hawa Wachezaji wenu Watatu niliowataja katika Headline yangu...
Pesa bila mikakati sio kila kitu ni pesa. Ili muamini;hoja yangu,tokea tumekusanya za Tozo kipi kimefanyika tukaanbiwa hiki ni Ile Tozo yenu? Mbona mwananchi moja moja anazidi kudidimia? Gesi juu Petroli juu, mafuta ya kula juu. Sasa kuanzia tarehe 8/09/2921 ukihamisha tu pesa benki kwenda benk...
Rais alipaswa afikirie mambo makubwa ya msingi na kuachana na uigizaji anaoufanya kwa kutumia pesa zetu vibaya. Toka ameteuliwa kuwa Rais anazunguka tu.
Hatulii kufanya kazi. Nchi hii watu wanaiba ye hana hata habari ana talii tu. Haya mambo ni ufujaji wa pesa za umma. Badala yake ndo...
Na Elivius Athanas.
0745937016.
Tatizo "connection" umekuwa ni wimbo ambao unaimbwa na vijana wapambanaji wa mtaani, wahitimu wa vyuo, wasanii na watu mbalimbali kuwa ni moja ya kikwazo kinachowachelewesha wao kupata kazi au kufanikisha jambo fulani.
Ni kweli kuwa "connection" ina mchango...
Kila alipokuwa akifanya ziara tulishuhudia hayati JPM akitoa pesa kwa ajili ya ujenzi wa maendeleo. Sasa hivi kila mtu anashangaa imekuwa ni kukamuana tu kwa kila namna.
Wakuu habari leo nimekatwa pesa AppStore pasipo kutaka ,wataalam wa iPhone nawezaje kuirudisha pesa hii 33 USD
app yenyewe niliyolipia pasipo kutaka hiyo hapo
Dunia ya sasa biashara za mitandaoni ni kubwa mno na hazina mipaka
Waweza uza chochote mitandaoni
Njia ya malipo ya haraka ya kupokea pesa mitandaoni ni njia ya Paypal ikiruhusiwa itafungua ajira nyingi mno
Wabunge tunaomba mtusaidie kwa hili kutuulizia bungeni
Wajuvi mimi ni mfanyakazi wa hoteli sina muda mrefu kwenye hii kazi nilipewa DIRHAM 200 pesa ya UNITED ARAB EMIRATES baada ya kumkaribisha vizuri mgeni wa kiarabu
Je wapi naweza kubadilisha hizi pesa maana nasikia benki nyingi hawabadili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.