Huyu hakuwa tayari kwa ndoa?

EL ELYON

JF-Expert Member
Jan 2, 2013
1,563
1,886
Nina rafiki yangu mmoja tumeshakuwa kama ndugu maana tulikutana a level mpaka chuo kikuu tuko wote na kitaa tupo wote. Sasa alioa mke wake sasa ni miaka 3 wako kwenye ndoa halali kabisa. Mkewe ni mnyaturu, shida inayojitokeza yule mkewe pia anafanya kazi.

Tatizo ni kwamba yule mwanamke anaishi na mumewe kama vile bado hana familia yaani bado yuko tu kwao kwa baba na mama. Kwani hata kile kidogo anachopata karibia chote anatuma kwao na si kwamba kwao kuna maisha magumu kivile hapana.

Sasa inampa shida sana mumewe kwani anasema kwasasa wana familia ukizingatia wana mtoto tayari ilipaswa mkewe washirikiane kuendelea kuijenga familia yao kwa asilimia kubwa sana. Kingine kule kwao na mwanamke ni kama vile wao bado wanataka kuendelea kummiliki mtoto wao kama vile hana familia wala hajaolewa.

Sasa wakuu nini maana ya kuoana na kuanzsha familia kama mmoja anakuwa kama bado kimwili yuko na wewe lakini kiuhalisia hajatoka kwao maana hata wazazi wetu baba na mama hawa nao kila mmoja alitoka kwao ukoo tofauti familia tofauti wakaanzsha familia ndio wakatuzaa sisi

Ushauri wenu tafadhari.....

NB: wanyaturu inasemekana ni watamu sana

1627369680849.png
 
Hela ya Mwanamke ni ya Mwanamke ila hela ya Mume ni ya wote, mpe pole kwa changamoto aliyonayo Binadamu huwa tunatofautiana.
kwa style hii bora kuoa mwanamke goalkeeper tu.

Sasa kuna haja gani ya mke kuamka alfajiri kwenda kazini chakula mnapikiwa na house girl mtoto au watoto mnalelewa na house girl.

Kaz nyng za nyumbani alizopaswa kufanya mke hazifanyi sababu anakwenda kazini kama mume

Halafu kwenye kuvuna mume huna chako hapo mume umlimpe mshahara house girl anayefanya kaz alizopaswa kufanya mke

Hela ya mwanamke usiipigie mahesabu, maana wakati anasoma haukuwepo Wala haukumlipia ada, hiyo mwanaume unatakiwa kuweka akilini kwanza, iwe ni utashi wa mwanamke mwenyewe kujua kwamba maisha ni kusaidiana, lakin ukitegemea hela ya mwanamke kwanza inamasimango huwezi pewa bila masimango, wewe la kushughulikia ni Hilo la kuijenga familia yako Kama hatimizi majukumu ya mke ndani ya ndoa Hilo shughulika nalo, isije mpaka nguo zako anafua housi gelo Hilo kataa Kwa msisitizo, wikiend chakula akupikie na mambo mengine Kama mke ayafanye, kinyume na hapo achague moja kazi au ndoa Kama anashindwa kubalance
 
Siyo wikend tu na kazi aache tu kama vipi maana haina maana sasa ye kwenda kazini asubuhi na kurudi usiku au jioni

Haina maana kabisa abaki nyumbani tu mi sijaoa mke wa kutimiza majukumu yake wikend binafsi mke wa hivi hapana

Kama anafanyakazi basi ajue pesa yake ni ya family si ya binafsi hataki njia nyeupe au aache kazi abaki nyumbani

Unaposema wikend atimize majukumu siku zingne nani anapika nani anabaki na watoto nani anafanya usafi ndani....

Siyo wkend tu na kazi aache tu kama vp maana haina maana sasa ye kwenda kazn asbh na kurud usku au jioni
Haina maana kbs abaki nyumbani tu mi sjaoa mke wa kutimiza majukumu yake wkend bnafs mke wa hivi hapana
Kama anafanyakaz bs ajue pesa yake ni ya family si ya bnafs hataki njia nyeupe au aache kazi abaki nyumbani
Unaposema wkend atimize majukumu sku zngne nani anapika nani anabaki na watoto nani anafanya usafi ndani....

Sawa Kama utataka aache kazi wewe ndo mwenye maamuzi Ila tu uwe responsible Kwa familia akisema nyumbani Kuna tatizo au kuna shida fulani inayohitaji pochi uwe mwepes kukunjua
 
Aanze kwanza kwa kusimamia majukumu yake na kuhudumia kila kitu hela ya mwanamke haimuhusu mwanaume

Hayo mengine sasa sijui ni yapi. Ila maswala ya kutaka hela ya mke itumike nyumbani aachane nayo
Huu msemo wa kipuuzi sijui mliupata wapi?
 
Hiyo familia ya mke wa rafiki yako akili zao kama hiyo avatar yako kwa kungangania na kujiona wao ndio wana haki tu.

Lunatic
 
kwa style hii bora kuoa mwanamke goalkeeper tu.
Sa kuna haja gani ya mke kuamka alfajiri kwenda kazini chakula mnapikiwa na house girl mtoto au watoto mnalelewa na house girl.

Kaz nyng za nyumban alizopaswa kufanya mke hazfanyi sababu anakwenda kazini kama mume

Halafu kwenye kuvuna mume huna chako hapo mume umlimpe mshahara house girl anayefanya kaz alizopaswa kufanya mke

Yeah. Ukweli mchungu huu. Ila wanaume na nyie pelekeni pesa zenu zote nyumbani na si nusu nusu
 
  • Kicheko
Reactions: BAK

Yaani hamna maana kabisa ya kuoa. Bora tugegedanage tuu.
 
Yeah. Ukweli mchungu huu. Ila wanaume na nyie pelekeni pesa zenu zote nyumbani na si nusu nusu
Tulete nyumbani kwamba kuna mgao au?
Kama mahitaji yote yanaletwa we unataka pesa uzfanyie nn kama kuna mipango ya familia tunapanga na kutekeleza sa unataka nibebe pesa nikuletee nyumban ili tugawane au ili iweje nani kichwa na kiongoz wa familia hapo ndani?

Mtaishia kutombwa tu na kuzalishwa
 
kwa style hii bora kuoa mwanamke goalkeeper tu.
Sa kuna haja gani ya mke kuamka alfajiri kwenda kazini chakula mnapikiwa na house girl mtoto au watoto mnalelewa na house girl.

Kaz nyng za nyumban alizopaswa kufanya mke hazfanyi sababu anakwenda kazini kama mume

Halafu kwenye kuvuna mume huna chako hapo mume umlimpe mshahara house girl anayefanya kaz alizopaswa kufanya mke

Huyo hatakuwa siyo mke bali ni msela tu
 
Back
Top Bottom