pesa

  1. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Wabunge tusaidieni kuiuliza serikali ni lini itaruhusu mfumo wa kupokea pesa wa biashara za mitandaoni wa Paypal?

    Dunia ya sasa biashara za mitandaoni ni kubwa mno na hazina mipaka Waweza uza chochote mitandaoni Njia ya malipo ya haraka ya kupokea pesa mitandaoni ni njia ya Paypal ikiruhusiwa itafungua ajira nyingi mno Wabunge tunaomba mtusaidie kwa hili kutuulizia bungeni
  2. monotheist

    JamiiForums Tanzania Kubadili pesa ya kigeni

    Wajuvi mimi ni mfanyakazi wa hoteli sina muda mrefu kwenye hii kazi nilipewa DIRHAM 200 pesa ya UNITED ARAB EMIRATES baada ya kumkaribisha vizuri mgeni wa kiarabu Je wapi naweza kubadilisha hizi pesa maana nasikia benki nyingi hawabadili
  3. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna magenge ya kuuza Nyanya Somaliland wana magenge ya kuuza pesa za kigeni nyingi bila ulinzi wowote

    Ulishakutana na magenge ya kuuza pesa za kigeni mitaani ona somaliland
  4. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania PSSSF malipo ya pensheni kwa awamu haifai mkiri tu kwamba hamna pesa

    Tatizo hili lili watokea wengi ma askari waliokuwa wanalipwa pensheni miaka ya nyuma awamu ya tano, kwa uzoefu tulijua pensheni hulipwa zote sasa hii habari imekuwa ni kikwazo sana kwa mtu anayetaka kufanya maendeleo ya haraka. Kwann PSSSF msitoe tangazo rasmi kuwa pesa hamna vizuri maan...
  5. ndenjii handsome

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kuleta hizi tozo Serikali pesa ilikuwa inatoa wapi?

    Hebu tufikirie kwa kina hili swala haiwezekani kwa nchi ya watu maskini kama Tanzania kuwawekea wananchi wako hizi tozo Kwanini tuendelee kumkandamiza mwananchi tozo kwa kizingizio cha kusema hela inaelekezwa kwenye miladi hii miladi mnayosemea mwanzon pesa mlikuwa mnatoa wapi? Maana...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanapenda sana mabadiliko lakini viongozi wa upinzani hawapendi mabadiliko ila pesa

    Katika wakati huu ambao dunia ipo kama kijiji kidogosana na watu wamekuwa na ufahamu mkubwa wa mambo ni mgumu sana kuwadanganya kirahisi, matumizi makubwa ya teknolojia, storeji ya kumbukumbu za matukio ni kubwa, mitandao ya kijamii ni mingi. Ukweli nikuwa kuanzia 1992 inaonyesha wazi kuwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kutumia bure mifumo ya LUKU inayolipiwa leseni mabilioni ya tsh ni kuididimiza TANESCO kwani pesa yao unaingia Nzima inatoka nzima

    Sijaona kipengele kuwa katika makusanyo ya Kodi ya jengo kupitia luku watatoa commission kwa tanesco kwa ajili ya kufidia yafuatayo 1. Kusaidia kulipia leseni ya kuendesha mifumo ya LUKU ambayo ni mabilioni ya shilingi 2. Kufanya operation na maintance ya mita za luku kila Mwezi mi mamilioni...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni

    Ramani ya Makao Makuu CHADEMA yanayotarajiwa kujengwa hivi karibuni.
  9. ndandambuli

    JamiiForums Tanzania Utupu wako ndio utu wako, sio pesa

    Unaanzaje kumkashifu mwanaume ambaye tayari kaona utupu wako, hoooo wewe fala umenihonga zaidi ya milioni halafu mimi nimekupa mara moja tu, kabao kenyewe kamoja tu ka kichovu, je hiyo pesa ina thamani kuliko mwili wako? Je, angekugonga mabao mia pesa yake ingerudi? Kama ulitoa nanii baada ya...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Fast and Furious 9 'F 9' imetangazwa kuwa filamu iliyoingiza pesa nyingi zaidi kutoka kwenye majumba ya sinema toka kuanza kwa janga la Corona Virus

    Fast and Furious 9 'F 9' imetangazwa kuwa filamu iliyoingiza pesa nyingi zaidi kutoka kwenye majumba ya sinema toka kuanza kwa janga la Corona Virus duniani. Mpaka sasa F9 Imetengeneza dola milioni 700, huku dola milioni 200 zikitoka kwa watazamaji nchini China. Studio za Universal...
  11. incredible terminator

    JamiiForums Tanzania Maofisa wa Polisi wilayani Bahi-Dodoma, wanawanyang'anya raia pesa zao

    Habari za leo wakuu, tusiende mbali ningeomba mamlaka kama humu JF zinapata pita basi zipitie hili, maana hata pakulalamikia hatuna nilishaenda TAKUKURU zaidi ya mara moja ila ninaambiwa niende polisi hukohuko Wilayani BAHI sasa swali langu ni je tangu lini mtuhumiwa akapewa nafasi ya kujitolea...
  12. Four

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimetuma pesa Ufaransa

    Kama mada isemavyo hapo juu, ni kama mwenzi mmoja sasa tangu nikutane na mwana unajimu kutoka Ufaransa nilikuwa nasoma utabiri wa maisha yangu kama 90% kwa njia ya barua pepe nimejifunza mambo mengi ya kiroho ambayo yanahusu 90% ya maisha yangu hadi pale niliposhawishika kununua . e-book...
  13. mzeempili

    JamiiForums Tanzania Nimetapeliwa pesa, naombeni ushauri

    Kuelekea mwishoni mwa mwaka 2019 nilikuwa na kazi ya miezi mitano mkoani Kigoma. Nikiwa huko nilikutana na classmate na roommate wa chuo niliyesoma naye miaka ya nyuma DIT. Tulipiga stori za hapa na pale, tukazoeana kiasi. Akajitambulisha kuwa anafanya kazi kwenye shirika la misaada, na pia...
  14. Android

    JamiiForums Tanzania 500 Zimbabwean dollar sawa na 1USD, 2400 Tanzania Shilingi sawa na 1USD, Wazimbabwe wamewazaje kupandisha thamani ya pesa yao na sisi tunakwama wapi?

    Miaka si mingi iliyopita, thamani ya 1USD ilikua ni sawa na matrilioni kadhaa ya pesa ya Zimbabwe. Lakin leo thamani ya 1USD ni sawa na 500ZWD tu. Wakati huo thamani ya 1USD ikiwa matrilioni kadhaa nchini Tanzania 1USD ilikua 1600TZS lakin sasa ni 2400TZS. Wamewazaje kupandisha thamani ya...
  15. J

    JamiiForums Tanzania CCM kumbukeni Watanzania hata muwajengee madarasa na zahanati za dhahabu, kama hawana hela mifukoni ni kazi bure!

    Hayati Magufuli aliweza kujenga barabara na miundombinu yake tangu akiwa waziri wa Mkapa hadi anakuwa Rais lakini watanzania hawakuliona hilo Wajazeni wananchi fedha mifukoni ndipo mtaiona furaha yao na CCM itang'ara vinginevyo inaonekana kana kwamba maji yanotolewa mtoni na kuingizwa baharini...
  16. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Vituo gani vya Afya vilivyopewa pesa ya Tozo?

    Tuna muda mfupi sana tangu "tozo" ianze kukusanywa, napenda kufahamu ni wilaya zipi zimepokea hio pesa ya Ujenzi wa vituo vya Afya? Tuanziee hapa
  17. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mbona hayati Magufuli alijenga vituo vya afya bila kukamua wananchi tozo za miamala? Alitoa wapi pesa?

    Hili swali lazima tujiulize wadau. Mbona hayati JPM alijenga vituo vya afya 460+ bila kutukamua tozo kama hizi? Je, kama alipata hizo pesa na kujenga vituo, chanzo kilikuwa ni kipi? Je, kuna haja ya kutumia ujenzi wa vituo vya afya, shule na barabara kama justification ya kodi kama hizi? Je...
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tozo za miamala ni njia ya kufidia pesa zinazokujenga miradi kama Burigi National Park na Ikulu Dodoma?

    Ingekuwa sawa kama ongezeko la tozo za miamala na mafuta kwa wanyonge lingelenga kwenda kununua meli kubwa za uvuvi ili tuvue kisasa kwenye kina kirefu, kununua matrekta kwa wakulima ili walime mashamba makubwa, kuchimba madini ya kimkakati kama chuma au kusambaza nishati ya gesi nchini ili watu...
  19. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Kwanini TIGOPESA wananilazimisha nitoe pesa kwenye akaunti yangu?

    Tangu tozo mpya zilipoanza nimesusa kutoa pesa kwenye akaunti yangu, chakushangaza Tigo wamekuwa wakinitumia ujumbe nitoe pesa vinginevyo wataifunga! Wakiifunga inamaana wao watakomba pesa yote ndani ya akaunti yangu? Na kwanini wakombe wakati mimi niko hai kwani namba yangu ya Tigo ninaitumia...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kabisa kukaa na pesa, nifanye nini?

    NASHINDWA KABISA KUKAA NA PESA Wakuu nimeshindwa kuvumilia maana napata mtihani sjui wa aina gani. Wakuu kila napojitahidi kuweka kapesa kangu japo kidogo lakini nashindwa kabisa kuhifadhi, hata nikimpa wife haipiti wiki ntaanza kujiskia vibaya kwa kukosa kuwa nayo mimi! Ntatafuta kila sababu...
Back
Top Bottom