Serikali itukumbuke watumishi wapya, hatujapata mshahara na pesa ya kujikimu

Njaa kali30

Member
Jul 18, 2021
47
28
Imepita mwezi tangu tulipoti katika vituo vipya vya kazi lkn mpaka sasa si hela ya kujikimu wala mshahara ulioingia.

Kama mmeshindwa basi tupeni hata hela ya kujikimu. Maaanake unakaaa kijiji X kituo cha kazi kituo Y.

Serikali tuoneeeni huruma
 
Watumishi wapya tunaulizia juu ya pesa ya kujikimu kwani mpaka sasa hakueleweki watu tunaishi sebuleni wengine tunishi wodini serikali itukumbuke iache utani juu ya maisha ya watumishi wake.
 
Back
Top Bottom