Ifahamu siri ya pesa

MSDK pj

Member
Jul 17, 2021
10
29
JAMBO 1 KTK PESA
✍🏿 Leo naomba tugusie jambo dogo sana ktk pesa.
💧 Kinacho kufanya wewe kuwa Tajiri sio kiwango cha pesa ulicho nacho ila ni matumizi kwa kile unacho kipata.
🙏 Mfano : Kama unapokea laki 3 kwa mwezi na ukatumia laki 2 na 80 na ukatunza elfu 20 M-pawa. Baada ya miezi sita utakuwa na laki na 20.
Mtu mwingne ana pokea laki tano na matumizi yake ya mwezi ni laki tano, baada ya miezi 6 atakuwa na ziro
✍🏿 Nauliza swali baada ya miezi sita nani anakuwa Tajiri ama anakuwa hana shida ya pesa kumzidi mwenzie?
🤷‍♂️ Hivyo basi kumbe utajiri haupimwi kwa kiwango cha pesa unacho pokea kwa muda Fulani ila unapimwa kwa matumizi yako.juu ya kile unacho kipata.
💧 Kwa lugha nyepesi matumizi yako ndo yanatambu wewe baadae utakuwa na shida ya kifedha ama laa.
👆🏽 MacKenzie: ana sema kwamba ili upate kutatua matatizo ya kifedha hakikisha una save pesa hata kama ukipata 1000 save( tunza walau 200)
🤷‍♂️ Nikuulize swali wew ktk laki 1 uliyo ipata mwezi uliopita ume save walau elfu 10? ( ukiona hujafanya hivyo basi baadaee utakuwa na matatizo ya ukosefu wa kifedha)
🖌️ Kuondoa tatizo hili jitahidi usome makala yangu inayo zungumzia NGUVU YA KUTUNZA PESA NA KUWEKEZa pesa

( UKUMBUSHO)
Upo nje wa makala ya Leo
1. Hivi uliwahi nsikia mtu ana sema pesa zina majini? ( akimaanisha kwamba kila yeye akishika pesa anajikuta pesa zimemuishia😁😁)
✍🏿Hakuna pesa zenye majini na kma pesa zingekuwa na majini basi wanao miliki majini ndo wangekuwa mabilionea.
👆🏽 siki kuna kitu kinaitwa MONEY ZONE
Yaani pesa iko sambamba na uwezo wako wa kiakili.
✍🏿Wewe kama akili yako ina uwezo wa kumiliki laki 2 , siku ukipewa laki 5 lazima utachanganyikiwa ( mtu aliye changanyikiwa ajitambui ) , yaani ukishika laki 5 lazima ubae kwanza kitakacho tokea ni kwamba utatumia pesa mpka itakapo fikia laki mbili ndo akili yako itarudi kuwa Sawa.
Yaan baada kuitumia ikabaki lakin mbili ndo utaanza kuwaza naitumia je hii laki mbili??🤔
Hapo ndo utaanza kufikiria mambo ya muhimu.
💧 Fatilia sana watu wanaopokeaga,kiinua mgongo, mali za urithi, wanao shinda tuzo baada ya muda huwa wanajikuta kile kiwango cha pesa walicho pewa kimepote ghafula 😁😁 mtu huyu anakuwa money zone yake ipo chini.
Ndo utaanza kusika Mali za uridhi hazidumu na mengineyo mfn pes zina majini si kweli( soma makala yangu ya NIDHAMU YA PESA ITAKUSAIDIA KUONDOKA NA HILI TATIZO.
 
Back
Top Bottom