nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. budebajr

    Zawadi ipi nzuri kwa mama mzazi wa Kitanzania?

    Zawadi gani inafaa kumpa mama Mzazi wa kitanzania kumshukuru kwa mchango wake mzuri kama mzazi. Nasubiri maoni yenu wakuu
  2. Mr. MTUI

    Brand gani ya jiko la gesi nzuri?

    Wadau samahani, Nauliza ni jiko lipi la gesi ambalo kioo chake hakivunjiki na kuchoma gesi vizuri. Nauliza hili because jiko langu nililonunua mwaka jana limevunjika kioo hivi karibuni na kidogo tujifiche chini ya uvungu kwa kuzani ni majambazi ya Vikindu yamehakia nyumbani kwangu, kwani...
Back
Top Bottom