Labda ungefananisha oppo na huawei au xiaomi.Wadau naomba mnijuze,je ni simu gani hapo ina ubora zaidi kati ya simu tajwa hapo juu.
OppoWadau naomba mnijuze,je ni simu gani hapo ina ubora zaidi kati ya simu tajwa hapo juu.
Hawa itabd tuanzishe kampen labdaHawa jamaa wa infiniix, tecno, itel, kgtel, X-Tigi & co. Sijui tuwaambie vipi watuelewe
Yani from no where mtu anaanza linganisha OPPO na Infinix .Hawa itabd tuanzishe kampen labda
Philipo D. Ruzige sasa inategemea unahitaji simu ya level gani. Hizi simu ni entry level, siyo mid range au higher level phones. Kwa intended level inafaa sana.Hawa jamaa wa infiniix, tecno, itel, kgtel, X-Tigi & co. Sijui tuwaambie vipi watuelewe
OPPO ya sasa sio ya kulinganisha na infinix. Infinix wenzake ni tecno na itel, zoma, Oxo, na masimu mengine ya kipuuzi huko uchochoroni.Wadau naomba mnijuze,
Je, ni simu gani hapo ina ubora zaidi kati ya simu tajwa hapo juu.