Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,372
- 6,078
Ni jambo la kushangaza sana taifa la Kenya kuwa na katiba bora Afrika Mashariki lakini Ufisadi ni mkubwa sana. Asilimia kubwa ya budget ya serikali inaishia kwenye mifuko ya viongozi wa majimbo.
Tumeona pia kuelekea uchaguzi mkuu mwakani hali ya kisiasa ikizidi kuchafuka na chuki za kisiasa kwenye jamii katika nchi hiyo ikizidi kuongezeka.
Je, Kenya inafaa kurudi kwenye mfumo wa chama kimoja ili kulinda umoja na kuondoa Ufisadi nchini humo?