Anayejua dawa nzuri ya mchwa

TheChoji

JF-Expert Member
Apr 14, 2009
2,628
2,000
Msaada unahitajika kwa anaejua jinsi ya kuangamiza mchwa hawa wa ardhini ambao wanakula ukoka, miti, maua na kila kitu kinachoota kwenye bustani. Hawana tofauti na wale nzige wa kule siha.

Natanguliza shukrani
 
chrisbleez

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
521
1,000
Msaada unahitajika kwa anaejua jinsi ya kuangamiza mchwa hawa wa ardhini ambao wanakula ukoka, miti, maua na kila kitu kinachoota kwenye bustani. Hawana tofauti na wale nzige wa kule siha.. Natanguliza shukrani

Mkuu nitaweka picha ya hiyo dawa ni balaaa ninakikopo chake kipo ndani nadhani ni ile dawa ya kuulia wadudu shambani au kwenye mimea sasa ile ipo kwenye kichupa kidogo aisee utawasahau hao wadudu maana kwangu waliaribu sakafu yote chumbn mimi nilikuwa sikai kwenye iyo nyumba nikanunua nikachanganya na maji then nikaweka kwenye kile kibegi cha kupulizia dawa mashambani(watalaam mtanisaidia jina lake)sasa baada ya kupiga ile dawa sijawahi kuwaona tenaaaaaaaaa
 
Dah.. mkuu hebu fanya utume hiyo picha maana hapa wananisumbua balaa nimeshapiga hizi dragnet naona hazisaidii kitu.
 
kax bedui Jr

Senior Member
Aug 11, 2015
133
225
Msaada unahitajika kwa anaejua jinsi ya kuangamiza mchwa hawa wa ardhini ambao wanakula ukoka, miti, maua na kila kitu kinachoota kwenye bustani. Hawana tofauti na wale nzige wa kule siha.. Natanguliza shukrani
Weka oil mkuu ni hatari kwa hivyo vijamaa
 
kudot2020

Member
Jan 8, 2020
23
75
Mkuu nitaweka picha ya hiyo dawa ni balaaa ninakikopo chake kipo ndani nadhani ni ile dawa ya kuulia wadudu shambani au kwenye mimea sasa ile ipo kwenye kichupa kidogo aisee utawasahau hao wadudu maana kwangu waliaribu sakafu yote chumbn mimi nilikuwa sikai kwenye iyo nyumba nikanunua nikachanganya na maji then nikaweka kwenye kile kibegi cha kupulizia dawa mashambani(watalaam mtanisaidia jina lake)sasa baada ya kupiga ile dawa sijawahi kuwaona tenaaaaaaaaa
Naomba nitumie picha ya hiyo Dawa DM mkuu au ht hapa kwa faida ya wengi maana mchwa ni balaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom