nyumbani

The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu awafukuza Lulu, Uwoya nyumbani kwake, yadaiwa walienda kupatanishwa

    Miongoni mwa matukio ambayo yamezua gumzo ni tukio la Wema Sepetu kuwafukuza nyumbani kwake mastaa wenzake wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’, Irene Uwoya, Kajala Masanja, Jacqueline Wolper na wengine kwa maelezo kwamba hawakumpa taarifa kwamba wanakwenda nyumbani kwake. Wema ameshtukia...
  2. J

    JamiiForums Tanzania UVCCM wamtaka Lissu aachane na hoja ya Katiba Mpya. Wamuonya asithubutu kurudi nyumbani na kuongoza maandamano

    ..Sikilizeni hoja za UV-CCM kuhusu katiba mpya. ..UV-CCM sijui wamepatwa na nini kwa kweli.
  3. Cannabis

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Geoff Lea: Simba wanajulikana kwa kutumia mbinu chafu wakiwa nyumbani

    Mchambuzi wa soka Geoff Lea, amesema kwamba klabu ya Simba ni maarufu kwa kutumia mbinu chafu wakiwa nyumbani ili kujipatia ushindi. Mchambuzi huyo ametaka klabu iache kutumia mbinu hizo chafu kwa maana mpira ni mchezo wa haki. Geoff amezitaka klabu za mpira barani Afrika ikiwemo Simba...
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ORLANDO PYRATES: Walivyochezewa nusu uwanja hata nyumbani kwao Afrika ya kusini waliona. Porojo za hujuma hazina nafasi.

    Katika ulimwengu wa soka wa Leo Kila mmoja anajionea mwenyewe mambo yalivyokuwa uwanjani. Nafasi ya kudanganya watu kujitafutia huruma haipo. Kusema kweli Orlando washukuru Sana kuishia kufungwa goli moja tu kwa jinsi walivyokuwa wamezidiwa! Hiyo penati ilikuwa ya wazi Sana, BM alipigwa ngwala...
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaizer chiefs wawaonya Orlando kwamba simba ni ya moto ikiwa nyumbani

    Haya wajameni simba lunyasi inajulikana ni hatari sana Kaizer chiefs walionusurika kutolewa mwaka jana baada ya simba kunyimwa penalt kwa konde boy kuangushwa ndani ya sita wanajua moto huo Wamewapa onyo ndugu zao kwamba kesho wajiandae kuvuta pumzi ya moto walisahau tu kuwammbia kwamba huku...
  6. Notorious thug

    JamiiForums Tanzania Aliingia na "shangingi" Toyota Landcruiser akarudi na Bodaboda "toyo"! nyumbani!

    Meya wa manispaa ya Moshi Juma Raibu aliingia ofisi na Toyota Landcruiser ila baada ya wajumbe 18 kumkataaa huku 10 wakitaka aendelee na kazi idadi kubwa ikashinda kutokana na tuhuma kadhaa zinazomkabili ilibidi akubali kuvuliwa wadhifa wake na kurudi nyumbani na "toyo" a.k.a bodaboda huku...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Unapoongoza elewa kuwa wewe ni kiongozi tu! Tabia za kufokeana Kama watoto peleka Kwa watoto wako nyumbani

    Kwema Wakuu! Kuna viongozi wakipewa dhamana wanarukwa sijui na akili, wanafoka foka, kufokeana watu wazima ni kudhalilishana tu. Hakuna aliyekulazimisha uteua mtu, Kama mtu kaboronga fukuza kazi, sheria zingine zifuate. Sio kupewa tuu uongozi unajifanya mkoloni ndani ya nchi, na kuwabagaza...
  8. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnaijeria anataka kumpora rafiki yangu girlfriend wake, Mbinu zipi zitumike kumshinda mgeni huyu uwanja wa nyumbani?

    Kuna dogo ana miaka 28 bado hajaoa ila ana girlfriend wake ambae wamejuana takribani miezi minne hivi bila tatizo, kaja kwangu kaka yake aje nimpe ushauri hasa ukizingatia binafsi nimeshaoa na nina familia tayari, pia kwenye mambo ya mapenzi nina uzoefu si haba. Huyo girlfend wake ni mrembo wa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ukraine kama Nyumbani kunazidi kunoga

    Hali ya usalama Ukraine inazidi kuimarika. Ilikuwa mkuu wa umoja wa Ulaya kutembelea Kyiv, Ukraine na sasa Boris Johnson naye katia timu huko: Nani angethubutu kuweka mguu Kyiv kama kitisho cha Putin kingekuwa kile cha mwezi uliopita? Wamefika wazito hawa Kyiv vipi hamna silaha...
  10. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Wakristo wenye wadada wa kazi wa Kiisilamu acheni kuwanyanyasa kwasababu ya kufunga Ramadhani

    Fikiria kutokula au kunywa wakati wa mchana kwa siku 30 mfululizo moja kwa moja sio jambo jepesi. "Mtazamo wa mwezi huu kimsingi sio kujizuia au kufunga, bali ni mkusanyiko wa nguvu na akili ya Muislamu juu ya utambuzi wa Mwenyezi Mungu na maisha ya ibada ya uchamungu." Haipendezi bint wako wa...
  11. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Japan yapanga kupunguza uagizaji wa Makaa ya mawe kutoka Urusi

    Waziri wa Uchumi, Biashara na Viwanda Koichi Hagiuda aliwaambia waandishi wa habari siku ya Ijumaa kwamba Japan italenga baada ya muda kukomesha uagizaji wa makaa ya mawe kutoka Urusi, muuzaji wa pili kwa ukubwa wa nchi hiyo wa makaa ya joto mwaka wa 2021. Hagiuda alisema kupata wasambazaji...
  12. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Rais wa zamani Kabore aachiliwa kutoka kifungo cha nyumbani

    Roch Kabore ambaye alikuwa chini ya kifungo cha nyumbani tangu alipopinduliwa katika mapinduzi ya kijeshi mwezi Januari, ameruhusiwa kurejea katika nyumba ya familia yake, kwa mujibu wa serikali ya mpito ya nchi hiyo. Kabore aliruhusiwa kurejea katika makazi yake katika mji mkuu wa Ougadougou...
  13. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Tanzania mtu anaweza kuwekwa kizuizini nyumbani kwake?

    Wakuu salama? Naimbeni mnijuze, kwa nchi ya Tanzania, mtu anaweza kuwekwa kizuizini nyumbani kwake? Kama ndio ni sheria ipi hiyo inaruhusu katika katiba yetu?
  14. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Sheria Mtaani: Kufanya kazi za ndani nyumbani ni jukumu la mume siyo mke

    Hivi karibuni kulikuwa na picha zenye maneno kadhaa zilikuwa zikisambaa mitandaoni zikielezea kuhusu masuala mbalimbali ya sheria. Kuna moja hii nikaiona ikisambaa kwa kasi ikiwa na kichwa cha habari: Kwa Mujibu wa Sheria ya Ndoa Tanzania KUFANYA KAZI ZA NDANI NYUMBANI NI JUKUMU LA MWANAUME...
  15. Mesut90

    JamiiForums Tanzania Anahitajika mfanyakazi wa kazi za nyumbani

    Anahitajika msichana wa kazi kutoka sehemu yoyote ndani ya Tanzania. SIFA: umri kati ya miaka 18- 25 Mshahara: 70,000 (elimu ya darasa la saba kushuka chini) au 100,000 (elimu ya o'level) Eneo la kazi: Tanga mjini Awe tayari kuhama mkoa ikiwa muajiri atahamia mkoa mwengine. Malazi na...
  16. Smt016

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana updates za bei za bidhaa za nyumbani

    Kumekuwa na mfumko wa bei kwa vitu mbali mbali ikiwemo bidhaa za nyumbani kama vile mafuta ya kupikia, mchele, unga na sukari. Uzi huu utakuwa maalumu kuhabarisha stage tuliyofikia katika eneo husika. Hivyo ni vyema mtu akataja bei ya bidhaa imepanda kwa kiasi gani kwa sehemu ilipo. Naanza...
  17. Stroke

    JamiiForums Tanzania Wamarekani Wenye Asili ya Afrika waamua kurejea Nyumbani hasa hasa Tanzania

    Tanzania imefanikiwa kupokea baadhi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika ambao baada ya miongo kadhaa ya kuishi huko wameona warejee kwenye asili yao na kuichagua Tanzania kama sehemu watayoita nyumbani. Hii ni fursa adhimu kwa Tanzania kuendelea kuboresha huduma mbali mbali ili kuendelea kuwa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mwanajeshi wa SAS, Uingereza, awaonya raia wa UK wasijaribu kwenda vitani Ukraine, badala yake wakae nyumbani waangalie movies za 'Call of Duty '

    Aliyekuwa mwanajeshi wa SAS amewaasa raia wa kawaida wa Uingereza wakae nyumbani na watazame kwa umakini movies za 'Call of Duty' badala ya kusafiri kwenda Ukraine kupigana na majeshi ya Russia. Phil Campion, mwenye miaka 53, alihudumu jeshini toka mwaka 1997, na akashiriki mapigano ktk kikosi...
  19. Forest Hill

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tukumbushane movies za zamani za Nyumbani

    Habari za Asubuhi movie lovers hope mmeamka Salama..back to the bussines,movie gani za zamani unazopenda au kukumbuka Sana?? Kiasi kwamba ukiiona tena unapatwa Na nostalgia??Mimi nitataje chache. 1:Kifo Haramu 2:Shamba Kubwa 3:Nsyuka 4:Gubu La wifi 5:Chiku na Kapili 6:Shumileta Nawe shusha zako
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume ni kwanini hampendi kuoa wanawake wanaokunywa pombe na ikitokea umeoa unaamua anywee nyumbani?

    Hapa mtaani best anapiga mitungi, mume wake hapendi kabisa anywee bar hivyo mwisho wa mwezi kuna cret la mama linawekwa store. Weekend hii bibie ameamua kunywa bia zake, mume aliporudi anamkuta amelewa to the top. Alikua amevaa kitenge kifuani, mume aliwaka kwani ameanza kumtune mama awe...
Back
Top Bottom