nyumbani

The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.

View More On Wikipedia.org
  1. Checnoris

    JamiiForums Tanzania Nimeacha kwenda kumsalimia nyumbani mdogo wangu kisa mambo haya ya kina katibu

    Haya mambo yasikieni tu. Mwanamke ni nyoka ambayo inafanyakazi wakati wote. Wanawake wakiwa na changamoto iwe ya uzazi atasingizia mumewe. Nyumba ikiwa haina pesa kosa la mwanaume, mwanaume usipotoa show safi kosa. Nimeacha kutembelea nyumbani kwa ndugu kisa hawa wanawake, nashukuru sana ikiwa...
  2. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Record za Yanga SC mechi tano za kimataifa nyumbani zinatisha

    Wananchi wana jambo lao mapema mwezi huu dhidi ya Al Hilal ya Sudan, wenyewe wanasema iwe mvua iwe jua hatoki mtu kwa Mkapa. Licha ya hamasa kubwa waliyonayo kuelekea mchezo huo Yanga SC kwa miaka ya hivi karibuni wamekuwa na rekodi mbaya wanapocheza uwanja wa nyumbani. Kwa ujumla viongozi na...
  3. Fred Katulanda

    JamiiForums Tanzania Sasa unaweza kufuga Nyuki nyumbani kwako

    Jambo hili nimekuwa nikiulizwa sana na watu wengi iwapo mtu anaweza kufuga Nyuki wanaoudunga mwiba, (wengi wamezowea kusema Nyuki wanaouma) nyumbani, jibu lake ni ndiyo inawezekana. Kivipi, hapa ndipo inabidi nikupe shule maana Nyuki ni hatari sana wanaweza kusababisha madhara makubwa kwa watu...
  4. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Kwanini unaishi nyumbani kwenu hadi leo?

    Majibu ya vijana wa hovyo yanachekesha sana 😂😂
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais wa China awekwa katika kizuizi cha nyumbani

    Hizi taarifa sio rasmi sana ila zimezagaa sana huko duniani na kwa sasa kuna taarifa kuwa jiji la Beijing limefungwa, haruhusiwi mtu kuingia wala kutoka na kuna msafara mkubwa wa magari ya kijeshi unaonekana kwenda Beijing.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Yanga watashinda mbili kwa moja nyumbani, na kutoa sare ugenini, hivyo kufuzu kwa hatua ya makundi

    Huu ndio utabiri wangu kwa Yanga watapocheza na Al Hilal ya Sudan nyumbani na ugenini. Kwa upande wa sare, uwezekano mkubwa ni sare ya moja moja au mbili mbili na si zaidi ya hapo Tofauti na hapo, ni ushindi wa tatu kwa mbili nyumbani na sare ya mbili mbili ugenini. Msisime sikuwaambia.
  7. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Hili la Yanga SC kuanzia nyumbani kila mwaka kwenye CAF Champions League ni uonevu

    Mimi kama mwanayanga kindakindaki naumia kwa kweli kwa nini kila msimu ni sisi tu ndio tunaanzia nyumbani na kumalizia ugenini? Mbona wenzetu Simba wanapendelewa? Sisi ndio mabingwa wa nchi hii iweje tuanzie nyumbani? Timu kubwa zote zimeanzia ugenini kwa nini sisi tu? [emoji25][emoji25]
  8. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Stori yangu, Niliacha shule form 4 nyumbani nilidharaulika, nilichekwa nilipoenda kujifunza useremala ambao leo umerudisha heshima yangu

    kwangu niliona shule siwezi tena maana uwezo wangu wa kujifunza ulikuwa mdogo, walimu darasani walikuwa wanafundisha kwa spidi kubwa kuzidi uwezo wangu, vitabu hakuna, sina hela za kwenda tuishen, n.k. Form 4 matokeo yalitoka nina division 4 mbaya sana lakini waziri wa elimu wakati huo...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Nahitaji usafiri wa kusafirisha mizigo(vitu vya nyumbani) kutoka Magu Mwanza kwenda Morogoro

    Wakuu naomba koneksheni ya kuweza kusafirisha mizigo ya nyumbani kutoka Magu Mwanza kwenda Morogoro. So nahitaji gari ya mizigo inayopita hapa Magu kuelekea Morogoro au Dar..
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Baada ya kwenda kufanya manunuzi, nimeazimia kumrudisha nyumbani kwao

    Kwema wakuu, Nianze kwa kusalimia wanaume wenzangu wote mliooa. Shikamooni! Taikon wikiendi nilitembelewa na hsemeji yenu. Safari hii akaniambia kuwa amekuja moja kwa moja, yaani anataka tufanye maisha. Nilifurahi sana si unajua tena. Basi jana tulienda kuhemea vitu vya ndani. Nilichokutana...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Akatuambia; atatoa posa nikiwa kwake, siwezi msubiri hapa nyumbani

    Anaandika, Robert Heriel "Kwa nini umejipeleka mwenyewe?" "Umeamua kujirahisisha kwa huyo mwanaume" "Unaitia aibu familia" Yalikuwa maneno ya mama na watu wazima wengine waliokuwa wakimwambia Dada yangu. Dada alikuwa kanuna hasa, sikuwahi kumuona katika namna Ile. Alikuwa kanuna kikweli kweli...
  12. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nyumbani

    NYUMBANI Ilikuwa saa saba mchana , jumatatu ya tarehe kumi mwezi wa kumi na mbili mwaka elfu mbili na arobaini na tano, Ilisomeka hivyo kwenye saa ya kidigitali iliyotoa mwanga ulioelea hewani ambao ndio ulioonyesha saa na tarehe ya siku ile .Ilikuwa imewekwa juu ya meza pembeni kidogo ya...
  13. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Maisha ya kutegemea nyumbani, ndugu, wazazi, jamaa na marafiki 'yamewalostisha' vijana wengi

    Hii tabia ya kukaa nyumbani alafu hujishughulishi na issue yeyote ile ya kukuletea pesa imewarostisha vijana wengi. Maisha ya kukaa kutegemea nyumbani, wazazi, ndugu, marafiki na jamaa wawe ndo wanaendesha maisha yako iko siku utakuja kulostiii alafu hutoamini hapa tulipo kuna jamaa yetu...
  14. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Liberia yaiomba Oman kusitisha utoaji wa Viza za Kazi za Nyumbani kwa Raia wake

    Serikali ya #Liberia imeiomba Oman kusitisha mara moja utoaji wa viza kwa raia wake kwa ajili ya ajira za nyumbani baada ya kundi la wanawake ambao tayari wako nchini humo kutuma picha zilizoashiria aina tofauti za unyanyasaji ikiwemo kubakwa na kufanyiwa ukatili na waajiri wao Afisa wa...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Hispania: Wahalifu Wavamia nyumbani kwa Aubameyang, wampiga na kuiba vito

    Mshambuliaji wa Barcelona, Pierre-Emerick Aubameyang amevamiwa na wahalifu wenye silaha nyumbani kwake asubuhi ya leo Agosti 29, 2022 ikidaiwa pia wahalifu hao walimpiga mchezaji huyo. Taarifa za awali zinaeleza walikuwa wahalifu wanne wenye silaha za moto na nondo ambapo walifanikiwa kuondoka...
  16. eden kimario

    JamiiForums Tanzania Adui wa mtu ni wa nyumbani mwake

    Neno dogo lakini lenye marefu na mapana yake. Hivi ni kweli kwamba unaweza ukawa na rafiki kumbe ana mipango ya Siri ya kukuangamiza kabisa! Na wewe huna hata taarifa na unaendelea kucheka nae tu? Je, ni kweli watu wenye upendo uliopitiliza wanaweza kuwa na mipango ya Siri ya kukuangamiza...
  17. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wananchi Meru waomba kufufuliwa kwa jengo la mahakama ya iliyotekelezwa, kesi nyingi huishia nyumbani

    Jengo la mahakama ya West Meru lililotekelezwa Wananchi wa Meru wameoimba serikali kufufua mahakama zilizotelekezwa ili kurahisisha usikilizaji wa kesi katika Kata zote zinazoizunguka Meru kutokana hali halisi ya jiogrofia ya maeneo yao ikiwemo umbali, na ubovu wa barabara kwenda kwenye...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Doroth Gwajima: Unyanyasaji wa Watoto, 60% unatokea nyumbani

    Hali ya unyanyasaji wa Watoto Nchini imetajwa kuchangiwa na mmomonyoko wa maadili katika jamii, wengine wakisingizia hali ngumu ya kiuchumi inawafanya kutokuwa na muda wa kulinda na kutoa malezi chanya, ambapo asilimia 60 ya unyanyasaji wa Watoto unatokea nyumbani. Waziri wa Maendeleo ya Jamii...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Home workout special thread: Uzi maalumu wa Mazoezi unayoweza kufanyia nyumbani

    Salaam Wakuu, Natumai nyote mpo salama. Nimeleta uzi huu kama sehemu ya kujihamasisha mimi na kuwahamasisha wengine kufanya mazoezi Soma: Umuhimu wa kufanya mazoezi Natambau wengi wetu tunatamani kuwa wafanya mazoezi, lakini kwa sababu mbalimbali tumekuwa tunakosa muda kwenda uwanjani au...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Sensa kufanyika bila watu kuwepo nyumbani haitaathiri zoezi?

    Nawaza kama siku ya sensa haitakuwa siku ya mapumziko, Je zoezi la sensa litaenda vizuri kweli? Nawaza kitofauti kwamba endapo watu hawatabaki nyumbani hasa hasa watumishi ambao baadhi ya familia hawana mtu anayebaki nyumbani hii imekaaje kupata taarifa za familia husika. Hii siku waifanye iwe...
Back
Top Bottom