Ujumbe alioukimbia Rais Samia nchini US apokelewe nao nyumbani arudipo

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,825
35,832
Yasemekana mama Samia alitokea mlango wa nyuma hotelini na ubalozini kuutoroka ujumbe wake:

IMG_20220424_085544_069.jpg


Kwa kuwa yaliyoandikwa ni ukweli mtupu, itapendeza akaribishwe hivi hivi nyumbani atakaporudi.

IMG_20220424_085612_196.jpg


Kazi ya kumfikishia ujumbe wake na iendelee.

IMG_20220424_085635_388.jpg
 
Kwani ujumbe wote ni kuhusu Aquilina? Una kereka sana unaposikia ndugu zake wanapoililia haki yake?
Mengine yapo sawa na Sijali kuhusu hayo.....
Ila sio mara moja au mbili naona mnatumia jina la dada wa watu kwa faida zenu.
Tusidanganyane hapa hakuna ndugu yake hapo.
 
Hayo mabango mbona yanahusu awamu ya 5

cc: Zitto Kabwe

Katiba mpya sasa, kukamatwa wakili Madeleka, uwepo wa kina mzee bungeni, haki kwa wahanga nk hayana maana kwenye awamu hii?

Kulikuwa na ujumbe mahsusi toka kwa Zitto kwa wanaoota awamu ya tano akilinganisha na wapenzi kindaki ndaki wa wafalme hapo kale.
 
Mengine yapo sawa na Sijali kuhusu hayo.....
Ila sio mara moja au mbili naona mnatumia jina la dada wa watu kwa faida zenu.
Tusidanganyane hapa hakuna ndugu yake hapo.
Unaamini hukumu kuhusiana na mauaji yake yalitendea haki?
 
Back
Top Bottom