nyumbani

The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.

View More On Wikipedia.org
  1. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Alasiri moja nyumbani kwa Chief Abdallah Said Fundikira

    ALASIRI MOJA NYUMBANI KWA CHIEF ABDALLAH SAID FUNDIKIRA 1992 (Hii makala sikuandika mimi mwandishi hataki jina lake litokee lakini siku hiyo ya mazungumzo tulikuwa pamoja ilikuwa November 1992). Ilikuwa mnamo mwezi wa Novemba 1992, mida ya adhuhuri katika mizuguko ya kuwatembelea wakongwe...
  2. Fene

    JamiiForums Tanzania Muda upi ni sahihi kwa mume kurudi nyumbani?

    Salaam wanaJamiiforums Kwakuwa ndugu bwana Fene huyu manzi mkali nilie nae mtoto shombeshombe aliekuwa hasikii haoni kwangu amekuwa daily akinihimiza nimuoe basi nimeamua nije kwa marafiki zangu, wanangu wanaJamiiforums nije kuchota maarifa ya ndoa mdogomdogo nikishapima nina imani nitakuwa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania “Upatikanaji wa matangazo ya TV katika vijiji elfu 10” wawezesha watu wa Afrika kutazama mechi nyumbani

    Tarehe 6 Februari ni siku muhimu kwa shabiki mkubwa wa soka Jackson Ndongo. Yeye na wanakijiji wenzake walitazama fainali ya Kombe la Afrika 2022 iliyofanyika Yaounde, mji mkuu wa Cameroon mbele ya televisheni kijijini, wakinywa mvinyo wa mawese. Katika mwezi uliopita, kutazama mechi ulikuwa...
  4. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Baba yangu ananifukuza nyumbani baada ya kushinda kesi

    Habaini ndugu zangu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 42, kama mnakumbuka nilileta mkasa ulio nitokea mwezi ulio pita kuhusu mzee wangu baada ya kuuza nyumba yake kwa shilingi milion 165 amegoma kabisa kunipa mgao mimi mtoto wake, baada ya kugoma nikafata utaratibu wa kisheria kumfikisha...
  5. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awatumbua Wakurugenzi wa Halmashauri wanne kwa ubadhirifu wa Fedha zikiwemo za UVIKO-19

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa njiani kutoka Mwanza kwenda mkoani Mara, leo Ijumaa ametangaza kutengua uteuzi wa wakurugenzi wanne wa Halmashauri ya Buchosha, Iringa, Mbeya na Singida Mjini baada ya kubainika kutumia vibaya fedha za UVIKO-19. --- Rais Samia Suluhu Hassan...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kabla hujakaribisha wageni nyumbani tathmini faida na hasara

    Huko mitaa ya kati kuna mama wa watoto wawili amejiwa na binamu yake kutoka USA. Binamu amerudi na zawadi za girlfriend wake lakini alighairi kumpa baada ya kusikia habari na matukio ya girl huyo mjini hapa. Watoto wa huyu mama wakiume na wakike wote wanasoma India. Basi anko kutoka USA...
  7. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akiondoka mwenyewe nyumbani akaenda kwao unatakiwa ufanyaje?

    Mwanamke hajapigwa hajafukuzwa katoroka mwenyewe karudi kwao unatakiwa ufwate utaratibu gani ili asije akanisumbua baadaye? Mathalani ukitaka kuoa asije akaweka pingamizi au akalazimisha mgawane mali. Na je kuna ulazima wa yeye kuendelea kunufaika na bima ya afya uliyomkatia? Tena yeye na...
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume, Karibu nyumbani kwenye Chama cha Baba na Babu yako. Huu ndio wakati wenyewe

    Kazi ambayo tulikutuma uifanye kwa asilimia kubwa umeifanikisha. Ni wakati wa kurudi home kabla hujachafuliwa na hao wenye wazimu na chuki. Tunajua kuna wakati unatamani waendelee kuamini kuwa una fanya harakati nao lakini dhamira ya moyoni inakushinda. Unajikuta unaandika au kuzungumza...
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kumwambia mke wako sasa hivi umenenepa bila kuanzisha Vita ya Tatu ya Dunia nyumbani?

    Unene unapoteza umbo zuri la asili na pia nguo hazipendezi tena mwilini. Nguo zinakuvaa badala ya kuzivaa. Wanaume wengi wanashindwa kufikisha ujumbe huu kwa wake zao. Uhakisia ni kuwa unene unafanya wanaume wengi kutafuta michepuko. Mke anabadilika ghafla kutoka kale ka binti ulikokatolea...
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mwanaume amekutwa live ana cheat na bado haja tusi nyumbani siku ya tatu

    Jamaa alianza mahusiano na rafiki wa mke wake. Baada ya kuaga anasafiri, kaka wa mke aliamua kumpeleka dada yake kula nyama choma. Huko ndiyo wapenzi wapya wa siri waliamua kwenda kula nyama. Baada ya kufumwa live akiwa kwanza Dar badala ya mkoani alikoaga anakwenda bado aliondoka na...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mke wangu nimemleta jana ila mpaka saiv hajarudi nyumbani

    Ukiskia ndoa ndoano sasa nimeanza kuiona mke wangu huyu ni mpya kabisa ndoa haina mda, mimi ninafanyia kazi mkoa mwingime tofaut na tulipokua tunaishi sasa nilimtumia nauli aje huku jana tu ndio nimempokea stendi tena usiku sasa cha kushangaza leo nimetoka kazini sijamkuta mpaka sasaivi saa...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wanyarwanda waliotoroka chanjo ya Covid-19 nchini mwao wamerejeshwa nyumbani

    Mfalme wa Kisiwa cha Ijwi huko Kivu Kusini katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo anasema Wanyarwanda zaidi ya 100 waliokuwa wamekimbia nchi yao kukwepa chanjo ya Covid-19 walirejeshwa nchini Rwanda siku ya Alhamisi. Katika mahojiano na BBC, Mfalme Roger Ntambuka alisema wameweza kuwashawishi...
  13. Travis 1

    JamiiForums Tanzania Tunaofanyia kazi nyumbani karibuni tushirikishane ni internet ipi unayotumia na desk setup yako ipoje?

    Heri ya mwaka mpya wakuu! Kwa wale wanaofanyia kazi nyumbani unaweza kutushirikisha ni internet ipi unayotumia na gharama zake zipoje pia. Na kama hutojali unaweza kushare desk setup yako tuweze kuona inamuonekano gani.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Viongozi mnapoenda nje ya nchi, huwa mnaweza kutalii na kufanya shopping tu? Kwaninii hamjifunzi haya na kuyaleta nyumbani?

    Tweets hizi za Zitto zimenifanya nikumbuke hilo swali ambalo kila wakati huwa linanijia kichwani hasa ninaposoma au kusikia habari kama hizi. By Zitto kupitia twitter: "Wengi wakisikia UAE na maendeleo yake makubwa wanadhani ni sababu ya Mafuta na Gesi Asilia. Lakini ukitazama Mauzo Nje ya...
  15. Vawulence

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa kinachowapeleka Wachagga nyumbani Desemba.

    Pichani ni mifano hai ya sababu zinazowafanya wachaga waje Moshi kila mwisho wa mwaka.....
  16. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa shangazi ana kiburi kwenye kufata sheria zangu nyumbani kwangu, nitatue vipi?

    Nyumbani kwangu ikifika wakati wa chakula cha usiku (dinner) ni lazima tule pamoja kwenye chumba kimoja, Sasa kuna mtoto wa shangazi ni kama miaka 20 hivi hapendi kufata sheria ya mda wa dinner. Sheria ya muda wa mlo wa usiku ni kwamba simu hazitakiwi kutumika, simu inabidi ziachww vyumbani...
  17. Molleli

    JamiiForums Tanzania Ifike mahala SIMBA NA YANGA muhame nyumbani kwa wazazi mkajenge VIWANJA VYENU LOL!!!!

    Apa Tanzania sijui tuna pepo gani Ivi ni kweli vilabu vikubwa kama simba na yanga wanashindwa kumiliki hata uwanja kama wa Azam jamani hiii mbona ni haibu Sana Watanzania.... Kazi ni kuongea maneno tu mitandaoni!!!!
  18. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Wachaga washaanza kuingia Nyumbani

    Kuelekea msimu wa christmas tayari wachaga wameshaingizana Maeneo ya kwao huko. Tujiandae na sikukuu ya mwaka huu itafana sana baada ya michongo yao kuachiwa free now.
  19. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mkabizi uchumi wa nyumbani mwanamke, hutojutia.

    kabla sijaoa, nilisema sitaoa mwanamke aliyeajiriwa; na kweli nilifanikisha kwa kupata kifaa kweli kwa muonekano, pia kichwani yuko vizuri. Na wakati nilipokutana naye mara ya kwanza, nilimpiga interview kama mtu anayeomba kazi, ila lengo langu ni kupata mtu atakayetimiza majukumu yangu...
Back
Top Bottom