nyumbani

The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.

View More On Wikipedia.org
  1. Uhakika Bro

    JamiiForums Tanzania Ujasiriamali: Wazo lako la uchumi imara wa nyumbani :Self sufficient home based business idea

    Hii idea imenikaa kwa muda sasa na baada ya kufuatilia uzi wa Ni machine gani ambayo ukiipata itafungua njia zako za kibiashara? nimeipa tafakuri zaidi. Lakini sio hilo tu fikiria hata masuala ya vita yanayoendelea sasa hivi, kama Russia ingekuwa sio self sufficient country isingewezekana...
  2. sepema

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Sahihi kumaliza changamoto za nyumbani kwenu kabla hujaoa?

    Salaam kwenu wakuu... Rafiki yangu yupo kwenye ajira Serikalini mwaka wa5 sasa hivi. Japo umri wake umesogea lakini anasema hayupo tayari kuoa sasa hivi hadi pale atakapoona familia yake imesimama vizuri kiuchumi. Amenieleza kuwa ana wadogo zake wanamtegemea katika gharama zote za elimu ambapo...
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania Msibani: Mama mzazi wa marehemu Said azuiwa mlangoni na familia ya Swalha kuingia nyumbani kwa mwanae kuweka msiba

    Sekeseke linaendelea, mama mzazi wa Said amezuiwa mlangoni alipofika msibani baada ya mwanae kujiua. Said alituhumiwa kumuua mkewe Swalha kisha naye kujiua. Mama Said amesema yeye na ndugu zake wamelala nje tangu Jumapili na kila wanavyojaribu kuwaambia upande wa pili wamekatalia ufunguo...
  4. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Jirani: Kabla ya tukio la mauaji ya wanandoa, kulitokea mauzauza nyumbani kwao

    Ngonjera zazidi kuibuka sakata la mauaji ya wanandoa huko Mwanza. Leo jirani yake na Marehemu Saidi na Marehemu Swalha amehojiwa na Azam News na kusema wiki moja kabla ya kutokea kwa mauaji hayo, kulitokea mauzauza nyumbani kwa wanandoa hao. Njiwa aliyefungwa sanda alidondoka getini katika...
  5. Akili Sina

    JamiiForums Tanzania Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    Nilizaliwa mwishoni mwa miaka ya themanini katika kijiji cha chabutwa wilaya ya Sikonge mkoa wa Tabora, nilifanikiwa kupata elimu yangu ya msingi hapo kijijini, shuleni nilikuwa vizuri sana, si walimu tu bali hata wanafunzi walinipenda. Familia yetu ilikuwa ya maisha ya kawaida sana kwani baba...
  6. MUTUYAMUNGU

    JamiiForums Tanzania Faini ya kujifungulia nyumbani, hii imekaaje?

    Ukizalia nyumbani faini elfu 30. Huku vijijini tunanyanyasika sana. Watu wa Dar mtusaidie kupaza sauti!!!!!!
  7. Imalamawazo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Japo ligi inaelekea ukingoni, NBC bado wanayonafasi ya kuboresha tangazo lao la "kupeleka mbele soka la nyumbani"

    Kwa wadau wa Sports Marketing, mnaonaje tangazo la mdhamini wa ligi kuu (NBC Bank)? Kwa maoni yangu, tangazo la mdhamini wetu wa ligi kuu (NBC Bank) ni zuri lakini haliwatangazi. Tangazo lao, haliwatangazi bali linaonesha tu kuwa nao bado wapo. Segement ya huduma zao ipo kama haipo. Mpaka...
  8. Chachu Ombara

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Burudani: Freshley Mwamburi asherekea miaka 30 ya Stellah kurudi Kenya akiwa na mchumba Mjapani mfupi futi 4

    Rhumba icon Freshly Mwamburi, is celebrating 30 years after his girlfriend returned home from Japan with a new man. The veteran musician expressed his disappointment in his song 'Stella Wangu'. The record is a love/hate story wonderfully put together. And every year on May 17, Kenyans...
  9. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kama Mwanaume haupaswi kula chakula kingi nyumbani heshima yako itashuka

    Katika muendelezo wa kupeana tips za hapa na pale kwa lengo la kuishi comfortable na kuhakikisha heshima ya mwanaume inabaki palepale licha ya mapinduzi makubwa ya teknolojia katika karne ya 21 ni vyema kuzingatia vitu ambavyo ni minor kwenye maisha lakini vina negative impact. Back in days...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Tuache kumuita Rais Samia Suluhu Hassan 'Mama'

    Tumempata Rais mpya, anaitwa Samia Suluhu Hassan. Sidhani kama ni sahihi kumtambulisha kama Mama Samia Suluhu Hassan maana hata Magufuli alikuwa ni Baba kwa maana ya mzazi lakini kamwe hatukuwahi kuwaita Baba Jakaya, Baba Mkapa nk. Kisaikolojia kutanguliza neno "mama" ni kutweza cheo Cha Amiri...
  11. Mtenzeli

    JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara ya duka la mahitaji ya nyumbani

    Habari wadau, Naomba msaada kwa wenye uzoefu wa biashara ya vitu vya nyumbani. Naomba kufahamu makadirio ya mtaji, changamoto na uzuri wa biashara, na mahitaji yote ili kufungua biashara hii. Location ni kigamboni NB; Duka la kisasa(mfano wa mini supermarket). asanteni
  12. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kikao cha kuunda TANU nyumbani kwa Hamza Kibwana Mwapachu - Nansio, Ukerewe 1953

    KIKAO CHA KUUNDA TANU NYUMBANI KWA HAMZA KIBWANA MWAPACHU NANSIO, UKEREWE 1953 Ilikuwa miezi ya mwanzo ya mwaka wa 1953 kabla ya kufika April, 1953. Abdul Sykes Act. President na Secretary wa TAA akifuatana na Ali Mwinyi Tambwe Secretary wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa...
  13. kussy

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya vumbi nyeupe nyumbani

    Habari Wadau! Kuna changamoto nimeiona hapa nyumbani kwangu nisipotumia vitu kwa muda mrefu especially viatu vinakuwa na vumbi fulani jeupe, hata nguo zisizovaliwa kwa muda mrefu zinakuwa na harufu fulani ya vumbi. Hii inaweza kuwa inasababishwa na nini Wadau?
  14. Basi Nenda

    JamiiForums Tanzania Eid nyumbani kwa bw Juma😂

    Bwana Juma amewafukuza wageni waalikwa nyumbani kwake,sababu haijulikani,pilau limeachwa😀
  15. I

    JamiiForums Tanzania Miti gani inafaa kupandwa kwenye makazi yaani nyumbani?

    Nielezee na jinsi ya kuipanda ikiwezekana tafadhali
  16. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Michezo ya hatari: Ushawahi kuingiza mwanamke / kulala naye nyumbani kwa baba yako? Ilikuwaje?

    Miaka kama mi 4 nyuma kuna mpangaji wetu alitembelewa na mdogo wake kutoka Singida, nikatokea kumpenda sanaa huyo mdogo wake, nikamtongoza akakubali akamwambia na dada yake nae akasema fresh tu. Kwenye kumla sasa yule dada alikua ana roho ngumu sana kwa jinsi Mama alivyokua mkali na demu wangu...
  17. britanicca

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tafiti: Kati ya wasichana 50 basi 12 wamezalia nyumbani bila Ndoa 1980-2000

    Tafiti fupi ilofanyika Mwaka 1950-1960 waliozalia Nyumbani walikuwa kati ya wasichana 50 unakuta 1 naye ni aibu kabisa Mwaka 1960-1970 Kati ya wanasichana 50 basi 3 walizalia myumbani Mwaka 1970-1980 Kati ya wasichana 50 basi 8 wamezalia nyumbani bila ndoa Mwaka 1980-2000 Kati ya wasichana...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Ujumbe alioukimbia Rais Samia nchini US apokelewe nao nyumbani arudipo

    Yasemekana mama Samia alitokea mlango wa nyuma hotelini na ubalozini kuutoroka ujumbe wake: Kwa kuwa yaliyoandikwa ni ukweli mtupu, itapendeza akaribishwe hivi hivi nyumbani atakaporudi. Kazi ya kumfikishia ujumbe wake na iendelee.
  19. P

    JamiiForums Tanzania Imetosha Rais Samia, rudi Nyumbani sasa

    Sipingi umuhimu wa safari ya Royal Tour Nchini Marekani, natambua faida za kimsingi za safari hiyo. Mhe Rais tangu uondoke ni takribani wiki moja na ushehee sasa. Tumeona msafara ulioambatana nao ukijumlisha na gharama za wasaidizi wako wa karibu, niseme imetosha Mhe. Rais rudi nyumbani...
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Mfungo wa Ramadhani na Sikukuu ya Eid mbali na nyumbani

    MFUNGO WA RAMADHANI NA SIKUKUU YA EID MBALI NA NYUMBANI Hii mbali na nyumbani nimemwibia gwiji wa fasihi, Shafi Adam Shafi. Adam Shafi ameandika kitabu, ‘’Mbali na Nyumbani.’’ Ukisoma kitabu hiki utapata hisia mtu anakuwaje akiwa mbali na kwao. Mombasa si mbali na Dar es Salaam kiasi cha...
Back
Top Bottom