Mume ampeleka mchepuko wake nyumbani akidai binamu yake

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,447
7,832
Bi Mercy Banda amepewa talaka yake na mahakama baada ya kumburuza mumewe Chipo Lukena kortini akimdai talaka kutokana na kukithiri uzinzi.

Bi. Lucy katika madai yake ametolea mfano mumewe kumpeleka mchepuko wake nyumbani na kumtambulisha kama binamu yake. Mume alikiri tuhuma hizo.

Baada ya kusikiliza pande zote, mahakama ilisema pande hizo zina tofauti ambazo haziwezi kupata suluhu na kuamua ndoa hiyo ivunjwe.

Ndoa ya wawili hao imedumu miaka 10 lakini matatizo yalianza ndoa ikiwa na miezi 9.

Zaidi, jisomee=▷ Hapa
 
Mambo madogo sana hayo.

Mimi nina mpenzi wangu mwanafunzi, nilimtambulisha kwa Girl friend wangu kua ni mtoto wa Dada yangu, hadi leo mpenzi wangu anajua yule binti ni mtoto wa sister maana kweli ananiita uncle na hata simu ikiita nimemsave uncle L..... na wala demu wangu hana shida.

Anaweza kuja kwangu weekend na girl friend wangu yupo wakakaa weekend yote wanapika na kupakua na kula vizuri anamuita untie na wako mashosti kabisa wanapendana vizuri ila mimi tu na uncle ndio tunajua kua hatuna undugu wowote tunatafunana tu.

Uncle L alifanya makosa chuo, nikaitwa kama mjomba nikasuluhisha na nikajuana na mwalimu wake mmoja niko kwenye harakati za kumtafuna halafu namkabidhi kazi ya kumchunga uncle wangu mzuri aniangalizie. Huyu mwalimu hua ananiambia mtoto wako mrembo na ana akili lakini mkorofi, mshauri. Nasisitiza kua nitamuonya aache ukorofi.
 
ngoja ije ijulikane, ndo utajua vizuri.
 
Kupanga ni kuchagua soon unadakwa
 
Ndo maana mpaka avatar inafanana na Uboooo.

Haishangazi!.
 
Be mercy kavunja makubaliano ya kikao chetu cha juzi hapo alitakiwa kuwapenda wote mume na binam yake
Kama vipi kikao kirudiwe na katika matamshi yenu zitumike herufi kubwa kwa msisitizo zaidi
Na usisahau kuwapelekea comment ya kwanza kabisa ya Watu8 kuwa all men we are vitombi in nature
 
ngoja ije ijulikane, ndo utajua vizuri.
Hawezi kujua mkuu. Hawezi.

Demu anampenda maana dogo akija home anamsaidia shughuli zote za home, usafi, mapishi nk.

Yaani demu wangu anamkubali sana huyu dogo, hana wasiwasi wowote na yeye. Ndio vile hua akijipindua tu sokoni, akiondoka tu na gari, dogo anarudishia geti, namuinamisha pale pale sebuleni namkula kamoja ka fasta halafu anaendelea na shughuli zake.

Huyu dogo namkubali sana kwa utulivu wa akili na nafsi alio nao
 
Mambo madogo sana hayo.

Mimi nina mpenzi wangu mwanafunzi, nilimtambulisha kwa Girl friend wangu kua ni mtoto wa Dada yangu, hadi leo mpenzi wangu anajua yule binti ni mtoto wa sister maana kweli ananiita uncle na hata simu ikiita nimemsave uncle L..... na wala demu wangu hana shida.

Anaweza kuja kwangu weekend na girl friend wangu yupo wakakaa weekend yote wanapika na kupakua na kula vizuri anamuita untie na wako mashosti kabisa wanapendana vizuri ila mimi tu na uncle ndio tunajua kua hatuna undugu wowote tunatafunana tu.

Uncle L alifanya makosa chuo, nikaitwa kama mjomba nikasuluhisha na nikajuana na mwalimu wake mmoja niko kwenye harakati za kumtafuna halafu namkabidhi kazi ya kumchunga uncle wangu mzuri aniangalizie. Huyu mwalimu hua ananiambia mtoto wako mrembo na ana akili lakini mkorofi, mshauri. Nasisitiza kua nitamuonya aache ukorofi.
Iyo safi nitajaribu
 
Hiyo unbeaten ina mwisho wake
 
Back
Top Bottom