nyumbani

The Nyumbani Children's Home was founded by Father Angelo D'Agostino and Sister Mary Owens in 1992 to serve mostly abandoned children created by the AIDS pandemic. Since then, three more programs (Nyumbani Village, Lea Toto and Nyumbani Diagnostic Laboratory) have been added to the organization.

View More On Wikipedia.org
  1. Replica

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume ampeleka mchepuko wake nyumbani akidai binamu yake

    Bi Mercy Banda amepewa talaka yake na mahakama baada ya kumburuza mumewe Chipo Lukena kortini akimdai talaka kutokana na kukithiri uzinzi. Bi. Lucy katika madai yake ametolea mfano mumewe kumpeleka mchepuko wake nyumbani na kumtambulisha kama binamu yake. Mume alikiri tuhuma hizo. Baada ya...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mke wa Benson Kigaila ni mmoja ya wabunge 19 wa CHADEMA, na hupeleka mshahara nyumbani

    Mke wa Benson Kigaila anapopokea mshahara, lazima anakuja nyumbani na ka mchele, ka maharage, shati la Benson Kigaila, nguo za watoto. Bila shaka Benson Kigaila akikaa meza ya chakula, huwa anakula mshahara unaotoka kwa Mkewe, lakini akienda jukwaani, akiwa amevaa shati na viatu alilonunuliwa na...
  3. ommytk

    JamiiForums Tanzania Mnaokata tiketi za mwendokasi acheni kunyanyasa wanafunzi wanaovaa nguo za nyumbani

    Wakata tiketi kwenye mwendo mnanyayasa sana watoto, nimeshuhudia karibu mara tatu mnagombana na vijana ambao ukimuona kwa umri wake kabisa ni mtoto mnataka alipe nauli ya mtu mzima hivi kisa amevaa nguo za nyumbani si sawa kabisa. Hivi nyinyi amjui umri wa mtoto? serikali naomba iangalie hili...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kusifiwa ni jambo la asili, iwe nyumbani, kazini au kwenye siasa, na watu wanapaswa kuelewa hilo

    Nikiwa shuleni kwa muda mref sana sikuweza kupata rafiki wa kike katika shule yetu ya mchanganyiko. Rafiki zangu wote walikuwa na girl friends. Siku moja rafiki yangu mmoja akaniambia, ukitaka msichana akupende msifie, hata kama unachomsifia sio kweli. Sasa nenda kajaribu hilo uone kama hutapata...
  5. Bushmaster

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Solar bora kwa ajili ya matumizi ya nyumbani

    Kutokana changamoto ya umeme kwa sasa, tujuzane solar bora kwa ajili ya matumizi ya nyumbani ambayo inaweza kuwasha taa, friji na TV. Kwa hali ya sasa inatisha, umeme unakatika kuanzia asbh saa 12 unarudi saa 2 usiku, wiki nzima.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wazazi wananitaka nirudi nyumbani kwakuwa ninapofanya kazi kuna changamoto ya mshahara

    Mimi ni ke, nina umri wa miaka 26. Lengo la kuja hapa ni kuomba ushauri wenu, nipo nafanya kazi kwenye taasisi moja inayojishughulisha na afya pamoja na elimu, kumekuwa na changamoto ya kutolipwa mishahara kwa muda wa miezi mitano. Kutokana na hii changamoto imenifanya niwe ombaomba kwa wazazi...
  7. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Kama una kijana hana la kufanya nyumbani, usimuache na watoto wa kike au wa kiume peke yao

    Kisa cha kweli, Mtoto alikuwa analelewa na bibi yake Naye bibi kalundika vijana wasio na kazi wanakula bure na kulala bure, mmoja wa vijana ana tabia ya kuwalawiti watoto huyu wa sasa ni watatu. Issue ikajulikana Mara kutahamaki bibi wa aliyelatiwa anamaliza tatizo kifamilia mwenye mtoto...
  8. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Nimeuziwa mbwa maeneo ya Victoria, nilipomfikisha nyumbani mume wangu akasema eti sio mbwa ni fisi

    Jana jioni nilipokuwa nikitoka kazini, nikafika Victoria, nikakuta kuna jamaa ana mbwa watatu, wawili wakubwa na puppy mmoja. Nikavutiwa na puppy nikaenda naye nyumbani. Mume wangu alirudi akiwa amechoka na amepiga mambo yake, lakini nilimjulisha kuwa nimenunua mbwa. Asubuhi ya leo akaenda...
  9. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Wachina: Mama ukifika nyumbani wasalimie Kikwete na Ridhiwani

    Hayo ndiyo yalikuwa maneno ya mwisho kupewa mama pale airport wakati anaagwa na wenyeji wake na kutakiwa safari njema na viongozi wa juu wa chama cha kikomunisti na serikali ya China. Bila shaka Wachina wanapata taarifa za uchapakazi wa Ridhiwani katika nafasi yake ya ubunge.
  10. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Zumaridi aiambia Mahakama kuwa Polisi walichukua Tsh. Milioni 19 nyumbani kwake

    Shahidi namba tatu katika kesi ndogo ndani ya kesi kubwa ya Shambulio la kudhuru mwili Diana Bundala Maarufu kama mfalme Zumaridi ametoa ushahidi wake leo Novemba Mosi, 2022 huku akidai kuwa Askari waliofanya ukaguzi katika nyumba yake wakati akikamatwa walichukua shilingi Milioni 19 na laki...
  11. Poker

    JamiiForums Tanzania Namna ya kutengeneza Cheese 🧀 ukiwa nyumbani kwako

    Mahitaji: Maziwa fresh 1lt, limao na sukari kidogo tu. Anza kwa kuchemsha maziwa katika moto mdogo yapate moto ila yasichemke kabisa. Kisha chukua limao kamulia ndani ya maziwa hakikisha yamekua mgando. Halafu kusanya ule ugando ugando ambao ndio cheese 🧀 yenyewe uchuje vizuri kabisa kisha...
  12. Samahani

    JamiiForums Tanzania Usikose vifaa hivi nyumbani kwako!

    Siku za karibuni, nikiwa likizo, nilimtembelea ndugu yangu mmoja ambaye aliugua kwa muda mrefu na sikuwa nimepata nafasi ya kumtembelea. Wakati tunazungumza, kuna jirani yake alikuja na kuomba kuazimwa jembe ili akaoteshe mche wa mti aliokuwa ameununua huko alikotoka. Cha kushangaza, hata huyu...
  13. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri, nyumbani kwangu nifuge mbwa au paka kama pet?

    Nataka nifuge pet ikiwa ni kama kiumbe alieumbwa kutoka kwa muumba alietuumba hata sisi wanadamu na vingine vilivyomo ndani ya dunia. Nao ni viumbe kama sisi wala si wa kuchukiwa, kunyanyaswa, kudharauliwa, n.k. kufanya matendo haya mabaya kwao ni sawa na kumdharau muumba aliyewaumba...
  14. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Mme wa Spika wa Bunge la Marekani kapigwa nyundo nyumbani kwake

    Mme wa Spika wa Bunge la Marekani ajulikanaye kwa jina la Paul kajeruhiwa kwa kupigwa na nyundo akiwa nyumbani kwake huko Marekani. China inahusishwa na njama hizo baada ya kumuonya Spika Perosi asidhuru Taiwan na kupuuza.
  15. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Ukiwa nje usiwaamini ndugu Bongo, ndoto ya kurudi nyumbani mazima imefifia kutokana na ujenzi hafifu

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Ndugu wanajamii forum wenzangu, unapokuwa nje ya nchi mara nyingi unakumbana na changamoto nyingi kutoka kwa ndugu, jamaa na marafiki uliyowaacha nyumbani. Hii ni kutokana na wao kuona, au kuamini...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TAARIFA RASMI: Yanga SC kuanzia nyumbani na timu ngumu CAFCC

    Ni taarifa rasmi na ikufikie popote pale ulipo kuwa kwa sheria mpya za Kombe la Shirikisho, Yanga SC yenye alama za chini itaanzia nyumbani na timu yenye alama kubwa japo imeangukia Shirikisho. Chanzo: EFM Sports Headquarters Hivyo Watanzania (hasa wana Yanga SC) msije kushangaa sana...
  17. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitashangaa kuona Yanga inaanzia tena nyumbani na kumalizia ugenini

    Na si hivyo, tunaweza pia kupangiwa tena na timu zile zile zenye figisu figisu wanapocheza nyumbani. Hivyo, Yanga tujiandae kisaikolojia. Kwa Tanzania, Kombe la Shirikisho bado ni kubwa mno kwani hakuna timu iliyowahi kubeba hicho kikombe, kwahiyo elekezeni nguvu huko. Eleweni wako watu...
  18. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Kipi kinapelekea jeans zangu kupauka nikifulia nyumbani na kutopauka nikipeleka dry cleaner?

    Nina jeans zangu zilikuwa zinapauka na kuchuja nikizifua nyumbani kwa sabuni za mche za jamaa na sabuni za unga hizi tunazonunua maduka ya mangi. Sasa nimeanza kuzipeleka kwa dry cleaner wa mtaani buku (1,000) kwa jeans moja. Hii kwa sasa nimeweka kwenye bajet kabisa, yani jeans zangu zina...
  19. Tanzaniampyawa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 80% kufanyia kazi nyumbani wakati wa Kombe la Dunia

    Muda wa KUJIAJILI SIJUI ITAKUWAJE BAADA YA KOMBE LA DUNIA... (AU NDIO MKATABA WA MILELE WATU KUFANYIA KAZI NYUMBANI) Serikali ya Qatar imesema wafanyakazi wa serikali wa nchi hiyo watalazimika kufanyia kazi nyumbani wakati wa mashindano ya Kombe la Dunia yatakayoanza mwezi Novemba mwaka huu...
  20. Checnoris

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeacha kwenda kumsalimia nyumbani mdogo wangu kisa mambo haya ya kina katibu

    Haya mambo yasikieni tu. Mwanamke ni nyoka ambayo inafanyakazi wakati wote. Wanawake wakiwa na changamoto iwe ya uzazi atasingizia mumewe. Nyumba ikiwa haina pesa kosa la mwanaume, mwanaume usipotoa show safi kosa. Nimeacha kutembelea nyumbani kwa ndugu kisa hawa wanawake, nashukuru sana ikiwa...
Back
Top Bottom