nyumba

  1. mmwamba

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba ya kisasa inauzwa

    Wakuu, nyumba nzuri sana na kiwanja ni kikubwa inauzwa Kiwanja kina 2095m² na kina hati (yaani ukubwa wa eneo ni skwea mita elfu mbili na tisini na tano) BEI: Tshs. 250,000,000 (milioni mia mbili na hamsini) maongezi yapo Nyumba(eneo) ipo Madale kwa Mathias kwa mawasiliano nipigie...
  2. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Mambo Saba (7) Unayotakiwa Kufanya Ili Kuongeza Kipato Chako Mara Mbili Kwa Kuwekeza Kwenye Viwanja Na Nyumba

    Haiwezekani kila anayewekeza kwenye viwanja na nyumba apate mafanikio makubwa. Hii inasababishwa na sababu mbalimbali. Kwenye ukurasa huu nimekuandalia mambo saba ambayo yatakufanya kipato kiongezeke mara mbili kilivyo sasa. Mambo 7 Ya Kuzingatia Ili Uongeze Kipato Mara Mbili. MOJA. Mtazamo...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Mtaa auawa Mbeya

    Mwenyekiti wa Mtaa wa Hasanga kata ya Uyole jijini Mbeya, Justine Namwinga (47) ameuawa na watu wasijulikana usiku wa kuamkia leo Januari 31 na kisha mwili wake kutelekezwa nje ya nyumba yake. Akizungumza akiwa nyumbani kwa marehemu baba wa Justine, Hance Mwashembele amesema kuwa usiku wa...
  4. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Mbona gharama za kununua nyumba Tanzania zipo juu sana?

    Huwa napitagagapitaga kwenye app ya jiji kuangalia mijengo. Bei ya mijengo ni kubwa inatisha sana. Hasa Dar na Arusha. Nini kinasababisha hivi? Ni uhaba wa nyumba, uhaba wa maeneo mazuri au ukosefu wa usalama kwa baadhi ya maeneo? Mikocheni na Masaki ndiyo wanaongoza kwa gharama. Unakuta nyumba...
  5. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuanza kuwekeza kwenye ardhi na majengo ndani ya miaka miwili (2)

    Kuanza kuwekeza kwenye ardhi na majengo imekuwa ni chanagamoto kubwa kwa wengi. Changamoto hii inasababishwa na kukosa maarifa sahihi na kufanyia kazi maarifa sahihi. Ili uondoe hofu ya kuanza kuwekeza kwenye ardhi na majengo unahitaji kuwa na maarifa sahihi. Maarifa sahihi yatasaidia kuondoa...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Baba anataka kunidhulumu Nyumba yangu. Kesi bado inanguruma Mahakamani

    BABA ANATAKA KUNIDHULUMU NYUMBA YANGU. KESI BADO INAENDELEA MAHAKAMANI. Anaandika Robert Heriel. Namheshimu Kama Baba yangu, ni mzazi wangu. Nilikuwa nampenda lakini sasa naona chuki inamea nafsini mwangu. Kisa Mimi mtoto wake ndio anikandamize, anidhulumu Mali yangu. Ananinyang'anya Nyumba...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Atlanta: Mchungaji na Mkewe wakamatwa kwa kuwafungia Walemavu ndani ya nyumba yao

    Picha: Mchungaji Curtis Keith Bankston Mchungaji mmoja na mkewe wamekamatwa kwa madai ya kuwafungia walemavu katika eneo la chini la nyumba yao. Maafisa wa polisi wanasema Curtis Keith Bankston , 55, na mkewe walikuwa wakiendesha kituo cha kuwaangalia walemvu bila kibali , katika eneo la...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Nyumba yangu iliyo Mbezi Lous ina changamoto ya nyufa

    Wakuu nyumba yangu ina changamoto ya cracks za mara kwa mara nyingine zinakuwa perpendicular nyingi diagonal. Udongo wa hapa ni clay (mfinyanzi). Nataka kushusha ukuta wote naomba ushauri wenu wataalamu jinsi ya kutibu tatizo hili.
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa sana! Kumbe mama mkwe kaweka CCTV camera kwenye nyumba aliyotupa

    NIMESIKITISHWA SANA; KUMBE MAMA MKWE ALIWEKA CCTV CAMERA KWENYE NYUMBA ALIYOTUPA. Anaandika, Robert Heriel. Niweke wapi USO wangu! Mambo yote hadharani! Tupu zangu zipo ukweni, Wanazitazama tadhani Filamu ya ngono, Wanayatazama maungo yangu, afadhali yangekuwa maungo ya nje lakini mpaka Uchi...
  10. Trainee

    JamiiForums Tanzania Kama unatumia 'self contained house' jua ya kwamba unamuenzi mtu huyu

    Habari zenu, Kabla ya kuanza naomba niwatahadharishe ya kwamba kama mtu siyo muumini wala siyo kesi simlazimishi kukubaliana na mimi, asijisumbue! Sasa tuendelee... Dini ni mfumo ambao unategemea zaidi masimulizi ya kale. Masimulizi hayo yanahusu watu wema na wabaYa ambapo muumini analazimika...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Nyumba za wapiga kura vs nyumba za wapigiwa kura

    Wale wanaoambiwa wasivimbiwe huwa wanafunga na kufungua magate.
  12. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Sababu za kimaandiko kwanini baadhi ya waislamu wanao miliki nyumba Magomeni Na Ilala huwa hawapangishi wakiristu ( Hasa Hasa walokole)

    Nimetaja Magomeni Na Ilala kwa Sababu almost 90 percent of my extended family live there. Awali ya yote naomba Ku declare interest. I am a Muslim but an open minded one . Am a kind of Muslim who can listen to Jim Reeves or Boney M bila wasiwasi wowote. Na HII ni Kwa Sababu licha ya...
  13. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Je naweza kupata nyumba nzuri ya kuishi na yenye uzio (fensi) na geti kwa range ya TSH 35-50 Milioni?

    Habari za uzima, heri ya mapinduzi kwa wa Zanzibar wote, Niende kwenye poit moja kwa moja kwa sasa nipo mkoa flani kwa utafutaji baada ya kumaliza masomo yangu moja ya chuo hapa hapa tanzania, sasa nimeona nichange pesa ili niweze kununua nyumba mkoa wa mwanza na kuanza kuishi uko nataka kujua...
  14. 2019

    JamiiForums Tanzania Mume ukifikia hatua ya kusema "sitaki kupigizana kelele na Mke” basi wewe sio kichwa cha familia tena

    Kumekuwa na wimbi kubwa sana la waume wasiopenda kilele za wake zao siku hizi. Naomba kuwauliza ni lini wanaume walipenda kelele za wake zao? Kwa kawaida hakuna mwanaume anaependa kuongea sana. Ukiona mwanaume anaongea sana basi ujue ana kasoro. Mwanaume wa kweli maneno kidogo vitendo kwa...
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania Nyumba za Anne Semamba Makinda zinapigwa mnada!

    Salaam Wakuu, Kamishna wa Sensa Kitaifa Bi. Anne Makinda ambaye alitumikia Taifa katika nafasi mbalimbali za uongozi kwa takribani miaka arobaini, akianza kama Waziri wa Shughuli za Bunge, Mwenyekiti wa Bunge, Naibu Spika na hatimaye Spika wa Bunge, Nyumba zake zinapigwa Mnada. Nyumba...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu gharama za kujenga hii nyumba

    Wakuu habari za mwaka huu wa 2022! Niende moja kwa moja kwenye mada. Nimeshajenga msingi tu. Nyumba ina vyumba vitatu kimoja master, choo Cha public kipo ndani pia, sebule, jiko, stoo, dining, veranda mbili nyuma na mbele na pia kuna gharama za kuchimba chemba ya choo na kujenga fensi/ukuta...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Changamoto za kuishi nyumba moja na rafiki au mtu yeyote

    Ninamaanisha kushirikiana kodi ili kupunguza ugumu wa maisha. Inaweza kuwa ni wanafunzi wa Chuo, waajiriwa wapya au hata waliopata ajali za maisha na wanaanza moja. Mfano wanafunzi wanachukua chumba cha 40,000 wanachangia kodi. Kuna wale waajiriwa wasiopenda kuishi Uswahilini. Wanachukua...
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tuendelee kuwajengea nyumba viongozi kisiasa wenye nyumba?

    Tanzania tuna utamaduni wa kuwatunza viongozi wetu wanaostaafu au kumaliza muda wao wa uongozi. Tunafanya hivyo kwa kuwajengea nyumba za kifahari na kuwapa mishahara za posho kadhaa wa kadhaa. Katika taifa ambalo linaishi kwa mikopo kama hili la Tanzania tuendelee kuwajengea nyumba viongozi...
  19. Black Thought

    JamiiForums Tanzania Hizi ni nyumba unaweza kujenga kwa gharama nafuu zaidi mwaka 2022

    Habari wakuu, nimejaribu kuja na baadhi ya options za ramani za nyumba unazoweza kujenga kwa gharama nafuu. Kwanza tulewe kuwa Gharama ya ujenzi wa nyumba haitegemei sana idadi ya vyumba kama baadhi ya watu wanavyochukulia, bali hutegemea zaidi ukubwa (builtup area) na muundo wa jengo husika...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya Oscar Kambona sasa ni Feza Primary. Nini kimetokea?

    Wazoefu wa mitaa ya Mikocheni, kwa Nyerere, kwa Mwinyi, kwa Warioba haya ni majina ya vituo vya daladala. Lakini pia Kuna nyumba ya Oscar Kambona mitaa hiyo ila kwa sasa naona imekuwa shule ya msingi Feza. Nini kilitokea? Iliuzwa? Je Kambona hakuacha familia? Mke na watoto wake wako wapi? Baba...
Back
Top Bottom