Nyufa zimeanzia kwenye msingi au wapi?.Wakuu njumba yangu ina changa moto ya cracks za mara kwa mara nyingine zina kuwa perpendicular nyingi diagonal. Udongo wa hapa ni clay (mfinyanzi). Nataka kushusha ukuta wote naomba ushauri wenu wataalamu jinsi ya kutibu tatizo hili.
Kuna kosa ulifanya wakati wa kujenga msingi. Ambacho ulitakiwa kufanya baada ya kuchimba msingi ungeweka mchanga kama 4" kisha ndipo umwage zege la 3" na nondo. Baada ya hapo ungejenga msingi wako na baada ya kumaliza msingi usirudishe ule udongo uliotoa bali rudishia mchanga pande zote ndani na nje.Wakuu njumba yangu ina changa moto ya cracks za mara kwa mara nyingine zina kuwa perpendicular nyingi diagonal. Udongo wa hapa ni clay (mfinyanzi). Nataka kushusha ukuta wote naomba ushauri wenu wataalamu jinsi ya kutibu tatizo hili.
Kama ulijengs msingi kwa mawe lazima ipasuke, ila unapomaliza kujenga msingi funga renta, bila kusahau ukianza kujenga tofali chini mwaga zege nchi 3, na baada ya msingi km pesa inaruhusu weka pvc, baada ya madirisha weka renta na renta ya juu so nyumba itakuwa na renta 3 nakuahidi nyumba haitachanika hata crack mojaKuna kosa ulifanya wakati wa kujenga msingi. Ambacho ulitakiwa kufanya baada ya kuchimba msingi ungeweka mchanga kama 4" kisha ndipo umwage zege la 3" na nondo. Baada ya hapo ungejenga msingi wako na baada ya kumaliza msingi usirudishe ule udongo uliotoa bali rudishia mchanga pande zote ndani na nje...
Ni muhimu kumshauri namna ya kulikabiri tatizo kwa sasaKama udongo ni 'black cotton soil' si ni kwamba mlipaswa au Fundi alipaswa kujua cha kufanya?.
Maana hiyo type ya udongo in namna yake ya kipekee ya ku deal nayo tofauti na aina nyingine za udongo.
Sasa je mlifanya yote yanayohitajika na bado nyufa zuinatokea au mlijenga kama tu wanapojenga kwingine?.
Vema ukaweka na pichaWakuu njumba yangu ina changa moto ya cracks za mara kwa mara nyingine zina kuwa perpendicular nyingi diagonal. Udongo wa hapa ni clay (mfinyanzi).
Nataka kushusha ukuta wote naomba ushauri wenu wataalamu jinsi ya kutibu tatizo hili.
Mimi si Mtaalamu wa Ujenzi ila nafahamu tabia za udongo huo.Ni muhimu kumshauri namna ya kulikabiri tatizo kwa sasa
Ukweli walijenga kwa taratibu za kawaida tuMimi si Mtaalamu wa Ujenzi ila nafahamu tabia za udongo huo.
Nilichotaka ni aeleze kama walifanya taratibu zote kama inavyotakikana na bado nyumba inapasuka ili Mafundi waone namna nyingine ya kuangalia uwezekano wa tatizo....kwani kama walijenga tu kwa taratibu za kawaida basi ushauri waweza kuwa ni kuzingatia tu kanuni za kujenga kwenye udongo wa aina hiyo.
Au la huenda hapo kuna tatizo la ziada linayohitaji mbinu na Utaalamu wa ziada.
Tuseme kwenye msingi ingawa kwenye msingi si kubwa. Ila ikija kwenye ukuta zinakuwa kubwa.Nyufa zimeanzia kwenye msingi au wapi?.
Kwahiyo msingi uchimbwe futi ngapi?Kuna kosa ulifanya wakati wa kujenga msingi. Ambacho ulitakiwa kufanya baada ya kuchimba msingi ungeweka mchanga kama 4" kisha ndipo umwage zege la 3" na nondo. Baada ya hapo ungejenga msingi wako na baada ya kumaliza msingi usirudishe ule udongo uliotoa bali rudishia mchanga pande zote ndani na nje.
Pia hata kwenye vyumba toa udongo wote weka mchanga. toa usawa wa futi moja na nusu kwenda chini
problem solved
Umemaliza kila kitu hapa👏👏 fundi wake alikosea kutokea kwenye msingi alipoona udongo ni mfinyanzi alitakiwa kwanza kufanya stabilazation ya soil .Nyufa anazoziona ni matokeo ya soil kushindwa kuimili uzito wa jengo husika kwa maana udongo mfinyanzi unaleast load bearing capacity .Ushauli ni kuangusha ukuta mzima na kuanza upya jwa kufuata njia aliyotoa boss apa .Nyumba iko kwenye msingiKuna kosa ulifanya wakati wa kujenga msingi. Ambacho ulitakiwa kufanya baada ya kuchimba msingi ungeweka mchanga kama 4" kisha ndipo umwage zege la 3" na nondo. Baada ya hapo ungejenga msingi wako na baada ya kumaliza msingi usirudishe ule udongo uliotoa bali rudishia mchanga pande zote ndani na nje.
Pia hata kwenye vyumba toa udongo wote weka mchanga. toa usawa wa futi moja na nusu kwenda chini
problem solved
Mleta mada kama una uwezo vunja nyumba nzima ufuate ushauri huu.Kuna kosa ulifanya wakati wa kujenga msingi. Ambacho ulitakiwa kufanya baada ya kuchimba msingi ungeweka mchanga kama 4" kisha ndipo umwage zege la 3" na nondo. Baada ya hapo ungejenga msingi wako na baada ya kumaliza msingi usirudishe ule udongo uliotoa bali rudishia mchanga pande zote ndani na nje.
Pia hata kwenye vyumba toa udongo wote weka mchanga. toa usawa wa futi moja na nusu kwenda chini
problem solved
Lile linajengwa au limejengwa na wanataaluma.Na lile jengo la stand pale mbez ndo lipo juu ya mfinyanz kabisa asee
Yote hayo hutegemeana na aina ya udongo wa sehemu husika, mafundi wengi wanapopewa site huanza kujenga tu bila kujua wanajenga juu ya udongo wa ana gani.Kuna kosa ulifanya wakati wa kujenga msingi. Ambacho ulitakiwa kufanya baada ya kuchimba msingi ungeweka mchanga kama 4" kisha ndipo umwage zege la 3" na nondo. Baada ya hapo ungejenga msingi wako na baada ya kumaliza msingi usirudishe ule udongo uliotoa bali rudishia mchanga pande zote ndani na nje.
Pia hata kwenye vyumba toa udongo wote weka mchanga. toa usawa wa futi moja na nusu kwenda chini
problem solved
Na siku zote mfinyanzi hauna uwezo wa kubeba uzito wa nyumba kwa muda mrefu bila kunifanyia stabilization, hasa wakati wa mvua unapopatwa na kiwango kikubwa cha maji.Na lile jengo la stand pale mbez ndo lipo juu ya mfinyanz kabisa asee
Watanzania tulikubaliana ili kumuenzi Rais wetu JPM, tusiwe tunaita nyufa bali expansion joints. Anzia hapoWakuu nyumba yangu ina changamoto ya cracks za mara kwa mara nyingine zinakuwa perpendicular nyingi diagonal.