Kusema ukweli Huyu mama sio wa kawaida.
Nimeona nyumba za kudumu na kisasa wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro wanaohamishiwa Mkoani Tanga maeneo ya Handeni na Kilindi.
Ni nyumba za kisasa zinazoakisi akili ya Serikali yako katika kupanga na kutekeleza mipango thabiti kwa maslahi ya Tanzania...
Wakuuu habarini.
Naishi Mbezi beach nimepanga nyumba nzima peke yangu sina familia, natafuta binti wa kushare nae cost asiekuwa na familia ntampa chumba kimoja self kikubwa atalipa laki moja tu na mimi nitabakia na sehemu yangu.
Nyumba ina vyumba vitatu na sebule. Pia ntamruhusu kutumia...
Mmeshindaje ndugu zangu.. Hapa nazungumzia hawa vijana waliokuwa wanafanya siasa za chuki, dhihaka na kejeli dhidi ya viongozi wa serikali, leo hii wataishije baada ya baba mwenye nyumba wao ambae ndio alikuwa akiwaweka mjini na kuwalipa kwa utopolo wao kuamua kuwa upande wa wale waliokuwa...
Mwaka 2019 aliwadanganya GSM wale wafadhili wa Yanga kuwa Jiwe anataka ajengewe nyumba. Kweli GSM wakamuamini na wakajenga.
Baada ya hapo GSM wakawa wanataka Jiwe mwenyewe akazindue nyumba hiyo lakini Bashite akawa anawapotezea. Ndipo kwa namna yao wakamfikia Jiwe na mchezo ndipo ulipoharibika...
Biashara ya utoaji wa huduma za mikopo kwa ajili ya ukarabati na maboresho ya nyumba ni moja ya njia za kujenga utajiri kupitia uwekezaji huu.
Hii sio njia ya moja kwa moja ya kuwekeza kwenye ardhi na majengo. Njia hii inahitaji uwe na maarifa sahihi na taarifa sahihi za uwekezaji kwenye ardhi...
NYUMBA YA AHMED ADAM ALIYOFIKIA MWALIMU NYERERE MIKINDANI INAKARABATIWA
Mwaka ulikuwa ni 1955 na katika mkutano mkuu wa kwanza wa TANU ulifanyika Ukumbi wa Hindu Mandal Dar es Salaam Lindi iliwakilishwa na Salum Mpunga na Ali Ibahim Mnjawale.
Baada ya mkutano wawili hawa walibakia kwa ajili ya...
Habari wakuu;
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nina nyumba yangu yangu ambayo niliijenga mfululizo (non stop) hadi nahamaia, na sasa imetimia mwaka mmoja.
lakini jambo la kushangaza madirishani kunatokea mipasuko hadi inaninyima raha yaani kila dirisha la nyuma yangu lina mipasuko at...
Wana JF habari za muda huu?
Nahitaji mtaalamu wa kukata miti pembeni ya nyumba ni miashoki imekuwa mirefu sasa nataka kuikata bila kuathiri nyumba pembezoni aliye na utaalamu huo tuwasiliane inbox ni maeneo ya Tabata.
Serikali wilayani Lushoto imeanzisha oparesheni kabambe ya nyumba kwa nyumba inayolenga kuwasaka baadhi ya watu wanaoshiriki vitendo vya kuwatorosha watoto hususani wanafunzi ili kwenda kufanya kazi za ndani nchini Kenya.
Baadhi ya watoto hao ni wale walio katika shule za msingi na sekondari...
Nyumba hizi hujengwa nyumba vikiangaliana, ni ujenzi maarufu katika nchi nyingi za Afrika. Choo, bafu na jiko la jumuia hukaa katika vyumba vya nyuma. Siku hizi wengi hupikia majiko ya gesi hivyo chumba cha jiko hutumiwa na wachache wale wa kupikia kuni au wanao kaanga samaki.
Biashara hii ni...
Habari wana JF,
Nauza nyumba yangu iko Kivule kwa wamakonde kwenye kiwanja cha s.meter 500, haijaisha ila tayari ishapauliwa na mabati ya msauzi.
Kwa walio serious karibuni..22mil
Mawasiliano 0767940945
Asanteni..
Makubaliano kati ya mpangaji na mwenye nyumba ni jambo muhimu sana kufanyika.
Makubaliano kati ya watu hawa wawili ndio muongozo wa mahusiano, na jinsi ya kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazoweza kujitokeza kipindi ambacho mpangaji atakuwa katika nyumba ya mwenye nyumba.
Uwekezaji...
Naomba kuelimishwa hapa, ni nini kinafanya nyumba kuonekana ndefu?
Nimepata utata Sana, baada ya kulinganisha nyumba mbili ambazo zimejengwa kwa kozi 11 hadi lenta lakini moja inaonekana ndefu na nyingine ni fupi, je shida hua ni nini Hadi kuleta utofauti huo?
Napenda kujenga nyumba ndefu...
Habari,
Naitwa Aliko Musa. Ninaishi mkoani Mbeya. Mimi ni mwandishi na mshauri mbobezi kuhusu uwekezaji katika ardhi na majengo.
Mejesho kutoka kwa wasomaji wa makala zangu kwenye mtandao wa UWEKEZAJI MAJENGO BLOG umeonyesha wengi hushindwa kumiliki ya kwanza kutokana na sababu mbalimbali...
Naitwa Aliko Musa. Ninaishi Mbeya mjini. Mimi ni mwandishi na mshauri mbobezi wa masuala ya uwekezaji kwenye ardhi na majengo.
Ninaandika makala kupitia mtandao wa UWEKEZAJI MAJENGO BLOG. Kupitia mtandao huu ninawashirikisha watu mbinu bora za kuwekeza kwenye ardhi na majengo ili kujenga...
Kama ulinunua kwa makosa ardhi au nyumba zako, unahitaji kusoma makala hii. Kama una mpango wa kununua ardhi au nyumba, unahitaji kusoma makala hii.
Kama hujui ni nini hasa cha kuandaa kabla ya kununua ardhi au nyumba, unahitaji kusoma makala hii. Kama una nyumba yoyote ya kukuingizia kipato...
Salaam wana Jamii Forums
Nina uhitaji sana wa nyumba ya kupanga
Eneo la Uzunguni, Kisiwani, Vjibweni
Vyumba viwili na sitting room kimoja au vyote viwe Master
iwe ndani ya uzio
Kuwepo na Maji na umeme
Umbali kutka barabarani usizidi 1 kilometer
Bajeti yangu ni laki 2 kwa mwezi fungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.