Changamoto za kuishi nyumba moja na rafiki au mtu yeyote

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,270
Ninamaanisha kushirikiana kodi ili kupunguza ugumu wa maisha. Inaweza kuwa ni wanafunzi wa Chuo, waajiriwa wapya au hata waliopata ajali za maisha na wanaanza moja. Mfano wanafunzi wanachukua chumba cha 40,000 wanachangia kodi.

Kuna wale waajiriwa wasiopenda kuishi Uswahilini. Wanachukua nyumba nzima ya vyumba vitatu wanagawana vyumba. Lakini wanapika jiko moja na kuoga bafu moja.

Changamoto nyingi zinaanzia kwenye usafi, chakula na matumizi ya sitting vroom. Kama mnakula pamoja kuna wanategea kununua chakula na wengine kunywa hata pombe za wengine.

Usafi pia huwa ni kero ya ziada.
 
Usiombe ukaishi na mtu wa dizaini asiejali ni tabu na shida isiyokifani nafikiri kabla mtu hujaamua ku share heri ukasoma mtu tabia sasa majitu mengine yanaanzaga na kujionyesha yako safi!.. likija kubadilika utasema sijui shetani la wapi tu hili..πŸ˜‚
 
Ninamaanisha kushirikiana kodi ili kupunguza ugumu wa maisha. Inaweza kuwa ni wanafunzi wa Chuo, waajiriwa wapya au hata waliopata ajali za maisha na wanaanza moja. Mfano wanafunzi wanachukua chumba cha 40,000 wanachangia kodi.

Kuna wale waajiriwa wasiopenda kuishi Uswahilini. Wanachukua nyumba nzima ya vyumba vitatu wanagawana vyumba. Lakini wanapika jiko moja na kuoga bafu moja.

Changamoto nyingi zinaanzia kwenye usafi, chakula na matumizi ya sitting vroom. Kama mnakula pamoja kuna wanategea kununua chakula na wengine kunywa hata pombe za wengine.

Usafi pia huwa ni kero ya ziada.
Am your namba one fan
 
2012 nikiw ndio malizia chuo nilikua nimepanga Temeke.Bas kuna jamaa yangu alikua anakaa hostel nikamwambia njoo kwa kipindi hiki utulie home unavyojipanga kutafuta gheto au jurud nyumbani mkoani maana shule ndio imeisha.

Basi yule jamaa alikua mlokole aisee alikua anapiga maombi vibaya sana kila asubuh sanaq na jion pale gheto saaa mimi nikawa naona hii kitu ni nzuri (ofcz na mimi ni mkristo muumin safi) .Nikawa naona huu ni usumbufu kwa wapangaji wengine.Af jamaa akwa anaongea kwa nguvu kabisa akiwa anaomba "Kama kuna wachawi mahali hapa nawateketeza kwa jina la yesu" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nikawa naona jau sana.

Ni jamaa yangu sana ila ikabid nimuombe awe anasali taratibu bas mana Mungu atasikia tu. 😁😁😊
 
Changamoto ndogondogo hizi.. usiombe ukakaa na mwizi akifanya zari huko serikali za mitaa zinahamia kwako..πŸ˜‚
 
2012 nikiw ndio malizia chuo nilikua nimepanga Temeke.Bas kuna jamaa yangu alikua anakaa hostel nikamwambia njoo kwa kipindi hiki utulie home unavyojipanga kutafuta gheto au jurud nyumbani mkoani maana shule ndio imeisha.

Basi yule jamaa alikua mlokole aisee alikua anapiga maombi vibaya sana kila asubuh sanaq na jion pale gheto saaa mimi nikawa naona hii kitu ni nzuri (ofcz na mimi ni mkristo muumin safi) .Nikawa naona huu ni usumbufu kwa wapangaji wengine.Af jamaa akwa anaongea kwa nguvu kabisa akiwa anaomba "Kama kuna wachawi mahali hapa nawateketeza kwa jina la yesu" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nikawa naona jau sana.

Ni jamaa yangu sana ila ikabid nimuombe awe anasali taratibu bas mana Mungu atasikia tu. 😁😁😊
Usiombe unae na mlokole anaefuatilia makaratasi yake home office. Saa nane ya usiku anaanza Kwajina la Yesu watanipa visa.
 
Mimi shida ilikuwa nakutana na wadada ni wachafu,mmoja huyo alikuwa mzenji jamani anaweza lala na kiatu kitandani et kisa kachoka
Huyo wa pili sasa alikuwa yeye anachojua ni kuvaa lakini mambo ya ndani usimuulize nyumba iko rafu mda wote na ilikuwa nikimbeba kwenye matumizi lakini ikitokea kapata hela anaenda kununua nguo jamani inachosha aswa!
 
Kuna jamaa alileta uzi humu anaomba ushauri, amepanga chumba kimoja na kaka yake, ikifika jioni broo anaingiza demu anagonga mpaka saa 5 halafu mdogo mtu anang'atwa na mbu nje anasubiria mpaka wamalize ndio aingie kulala.
Ninaukumbuka
 
Mimi shida ilikuwa nakutana na wadada ni wachafu,mmoja huyo alikuwa mzenji jamani anaweza lala na kiatu kitandani et kisa kachoka
Huyo wa pili sasa alikuwa yeye anachojua ni kuvaa lakini mambo ya ndani usimuulize nyumba iko rafu mda wote na ilikuwa nikimbeba kwenye matumizi lakini ikitokea kapata hela anaenda kununua nguo jamani inachosha aswa!
Kuna vitu kama yoghurt, mayai milo ukinunua wanataka mia wakati hela yao inakwenda kwenye nguo.
 
Chumba na sebule jamaa angu....
Asa akafungua banda la chipsi nyumba ya pili jirani.
Sebule ikageuka stoo ya Banda la Chipsi sasa.
1. Viazi kama gunia hivi vimemwagwa ( huwa vina kiarufu flani hivi).....
2.Makabati na majiko jioni yanaingia ndani.
Basi wana wengine( wa kwangu mimi) wakija full kunitania....
"Oyaa naona umepanga chumba na store yake...."
" oya hii ni chumba na seble sio sebule ..."
 
Ukiona hakieleweki huleti wana nyumbani
 
Kuna umri wa kuweza kukaa jinsia moja na inakuwa fresh tu, ila kuna umri ukifika kukaa jinsia moja ni lawama "

Nilikuwa na brother wangu mmoja hivi wa kumfata ki ukweli alikuwa ni wale watu wasioweza kujiongeza katika utafutaji yaan wao kila kitu wanachukulia vitu rahisi rahisi tu,

Nakumbuka kipindi natoka om kwenda kupanga tulihama wote na kwenda kuanza maisha mapya ya upangaji,,,
sikuwa na kipato kivile zaidi ni mishe mishe tu za apa na pale hakuwahi kuchangia Kodi yoyote ile, hilo halikuwa shida kwangu "

Shida ilikuja pale alipoanza kuleta mademu ndani na kuanza kutupia viwalo vyangu huku akiwaaminisha pale ni kwake,

Sababu nilianza kuzodolewa na mashemeji wanaona Kama nawabana ,
maana sometimes naweza nikarudi nikawakuta ndani ile nikiingia unaona kabisa Kama nimeingilia uhuru wao,

Nikaona hatuendani Co'z mi mchakarikaji ye mzurulaji nikamwambia ebana nataka kuoa nipishe" Nakumbuka alimind sana maneno yakafika mpaka kwa bi mkubwa sikujali wala haikuniondolea chochote zaidi ya kubaki mwenye amani...
 
Akimind arudi kwa ni mkubwa, hongera kwa uchacharikaji
 
Back
Top Bottom