nyumba

  1. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Mambo 12 Ya Msingi Kuhusu Usimamizi Bora Wa Nyumba Za Kupangisha Mwaka 2022

    Maana Ya Usimamizi Bora Wa Nyumba. Usimamizi bora ni hatua pekee za kuhakikisha kuna kipato endelevu, usalama wa uhakika, mahusiano mazuri, kutii sheria na taratibu za mtaa na nchi yako na kukufikisha kwenye uhuru wa kifedha. Hatua hizi zinaweza kufanywa na mmiliki wa mali, au kampuni maalumu...
  2. jerryempire

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nauza nyumba ipo Toa Ngoma

    Habari, Nauza nyumba maeneo ya tua ngoma Sifa za nyumba. Inavyumba vitatu 3, kimoja master Seble/stoo na jiko Ina choo cha ndani na nje Nyumba ina fensi na huduma zote muhimu zipo kama maji/umeme/barabara Bei ni 65m tu Unaweza kulipia kwa installment pia kwa kuanza na half price...
  3. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Mbinu tano (5) halali za kuchelewesha mnada wa hadhara wa nyumba yako uliyoombea mkopo

    Nyumba yako au ardhi yako kuuzwa kwa njia ya mnada wa hadhara ni jambo ambalo linaweza kutokea ikiwa umeamua kujenga utajiri kupitia uwekezaji huu. Chanagamoto ya kuuzwa nyumba au ardhi yako kwa njia ya mnada wa hadhara inaweza kutokana na sababu za kibinadamu au sababu ambazo zipo nje kabisa...
  4. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kyela, Mbeya: Mwanachama wa CHADEMA afungwa Maisha kwa kuchoma moto nyumba ya Mwana-CCM

    Taarifa kwa Umma: Leo Tarehe 15/2/2022 Mahakama ya Wilaya ya Kyela imemhukumu kifungo cha maisha Gerald Mwakitalu kwa kesi ya uongo ya kuchoma moto nyumba ya Mwana-CCM kwenye uchaguzi wa 2020, huu ni ule ule mwendelezo wa hujuma dhidi ya CHADEMA ulioasisiwa na utawala wa awamu ya 5 kwa hisani...
  5. Bexb

    JamiiForums Tanzania Nahitaji nyumba ya kupanga Kigamboni Mji Mwema au jirani

    Habari ya asbuhi wakuu. Ninahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya Kigamboni kuanzia Mji mwema kuja uelekeo wa Maweni, hadi kwa Mwingira. Ninahitaji iwe na vigezo vifuatavyo: 1. Vyumba viwili vya kulala ambapo kimoja kati ya hivyo kiwe self contained. 2. Kuwe na sebule 3. Public toilet ndani 4...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa nikikumbwa na usingizi mzito wakati wa vikao na wakati nikiwa katika nyumba za ibada. Shida yangu nini?

    Habari wadau wa JF. Kwa miaka takriban minne sasa, napitia nyakati ngumu. Nikiwa kwenye vikao mbalimbali vya kijamii, kikazi au hata Imani napatwa na usingizi wa ghafula. Pia niwpo ktk nyumba ya ibada, mawaidha na mahubiri yakiendelea najikuta nimesinzia tena usingizi mzito. Ninapata muda...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Nyumba za wafanyakazi wa kima cha chini enzi za Ukoloni

    Watu waliishi katika nyumba hizi, kuzipata and ni lazima mzazi awe mwajiriwa wa Railways, Bandari, Serikali Kuu nk. Kila kitu kina wakati wake, enzi hizo uliona fahari kwakaribisha wageni humu, nyumba ina maji na umeme na paa la vigae. Kule Uswahilini enzi hizo nyumba zilikuwa ni za udongo na...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya gharama za kuezeka paa la nyumba

    Wakuu Naombeni wataalamu mnisaidie gharama za kuezeka paa hili, roof plan attached
  9. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Jinsi mwenye nyumba alivyoshughulikia Chanagamoto ya mpangaji wake ya uharibifu wa nyumba

    Mwezi wa disemba mwaka 2021 nyumba nilipokea simu kutoka kwa msimamizi wa nyumba ya kupangisha. Hitaji la msimamizi na mwenye nyumba huyu lilikuwa ni kujifunza mbinu bora za kupambana na wapangaji waharibifu. Aliendelea kutoa maelezo kuwa hajawahi kutana na changamoto ya kutolipwa kodi ya...
  10. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Zifahamu (Siheyuan) nyumba za asili za Wachina

    kwa wale wapenzi wa kungfu movies watakuwa wameona sana hizi nyumba. Hili neno Siheyuan maana yake nyumba iliyojengwa pande nne, ikiwa na courtyard katikati. Nyumba kubwa inakuwa ya baba mwenye nyumba. Nyuma yake nyumba za wasichana. Pembeni, nyumba za watoto wa kiume. kwa mbele ni nyumba za...
  11. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Makambako huu ni upigaji, hili jengo haliwezi kugharimu Tsh Milioni 80. Kwanini mnaonesha tabia za kipigaji zinazotuchafua?

    Mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Makambako mkoani Njombe, Ben Kyando amesema, mpaka sasa ujenzi wa ofisi zao za chama hicho pichani umegharimu zaidi ya milioni 80 huku jumla ya shilingi Milioni 125 zikitarajiwa kutumika ili kukamilisha ujenzi wa ofisi hizo zilizopo kata ya Lyamkena.
  12. Super Handsome

    JamiiForums Tanzania Mahakama yatoa amri Paul Makonda atangazwe gazetini na Kolomije kupata taarifa za kesi

    Mahakama ya Kinondoni leo Jumanne imetoa amri ya kutangazwa gazetini, nyumba aliyoishi Masaki na au kijijini kwao Kolomije kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ili apate taarifa za kesi iliyofunguliwa dhidi yake na Mwandishi wa Habari, Saed Kubenea. Kesi itatajwa 2 Machi...
  13. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Mambo matano (5) ya kukusaidia kununua nyumba ya kupangisha kwa bei nafuu kuliko bei halisi

    Kanuni mama ya uwekezaji kwenye viwanja na nyumba ni kutengeneza fedha wakati wa kununua nyumba. Kanuni hii inamhusu mwekezaji yeyote anayewekeza kwenye viwanja na nyumba. Kwa kutumia mbinu yoyote ya uwekezaji huu na kwa wakati wowote unatakiwa kutengeneza fedha wakati wa kununua nyumba...
  14. Trainee

    JamiiForums Tanzania Neno nyumba ndogo linatumika visivyo, Serikali iingilie kati

    Habari wadau... Neno hilo limekuwa likitumika tangia zamani hasa kwa wale wenye mke zaidi ya mmoja. Mke wa kwanza kuolewa na mwanaume fulani amekuwa akitambulika kama mke mkubwa au NYUMBA KUBWA kisha atakayefuata kuolewa na mwannaume huyohuyo basi amekuwa akitambulika kama mke mdogo au NYUMBA...
  15. Maleven

    JamiiForums Tanzania Niliyojifunza kutoka ujenzi wa nyumba yangu ya kwanza

    Binafsi naamini sana kuwa na sehemu yako ya kuishi bila bugudha ya kodi wala maudhi ya wapangaji wengine. Mambo machacho kuhusu mimi 1. Niko under 30 2. Kipato changu ni kati ya 500k - 550 k kwa mwezi Baada ya kununua kiwanja، nilianza kununua maatofali kidogo kidogo. Mambo niliojifunza 1...
  16. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Hali ya uwekezaji kwenye nyumba za kuhamishika katika mji wa Tukuyu, jijini Mbeya Tanzania

    Nyumba za kuhamishika zimekuwa zikitumika kwa ajili ya makazi na biashara. Lakini kwa mazingira ya kwetu Tanzania nitakushirikisha zaidi kuhusu fremu za biashara. Hii ni kwa sababu karibu nyumba zote za kuhamishika hutumika kwa ajili ya biashara tofauti tofauti. Sababu za kumiliki nyumba za...
  17. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Geita: Akutwa amejinyonga ndani ya nyumba ya wageni inayomilikiwa na mumewe

    KATIKA hali isitokuwa ya kawaida, mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Naomi mkazi wa Mji mdogo wa Katoro Wilayani Geita amekutwa amejinyonga kwa kutumia kamba ya manila ndani ya choo cha nyumba ya kulala wageni inayojulikana kwa jina la Mwananzoka inayomilikiwa na mumewe Siki...
  18. W

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Chanika

    Dalali_wa_ kuuza_ nyumba. NYUMBA_INAUZWA Chanika_Lubakaya _____________________________ NYUMBA INAVYUMBA VINNE VYA KULALA NA CHUMBA KIMOJA NI MASTER BEDROOM _____________________________ # Sebule kubwa # Dining room # Jiko la kisasa # Public toilet # Kisima kipo # Full tiles na gypsum #...
  19. N

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nauza nyumba yangu ipo Kivule kwa wamakonde 25mil

    Habari, Nauza nyumba yangu ipo maeneo ya Kivule kwa wamakonde 25mil, haijaisha...Imeezekwa na mabati ya msauzi..Kiwanja ni cha kuandikishana serikali za mitaa hakina hati, kina ukubwa wa sq 500, ina vyumba vitatu vya kulala, kimoja ndo master, ina sebule,dining pamoja na jiko. Aliyepo serious...
  20. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Saikolojia: Jinsi mnunuzi anavyoshindwa kutengeneza fedha wakati wa kununua nyumba

    Kazi ya kununua nyumba ni kazi rahisi sana ukilinganisha na kazi ya kuuza nyumba hasa kwa wanunuzi wa nyumba wasio wawekezaji. Ni vigumu kupata wanunuzi wa nyumba kuliko kupata nyumba unayotaka endapo una fedha tayari za kununulia nyumba unayoitaka. Kwa lugha nyingine, utatumia muda mrefu...
Back
Top Bottom