Tuendelee kuwajengea nyumba viongozi kisiasa wenye nyumba?

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,313
12,613
Tanzania tuna utamaduni wa kuwatunza viongozi wetu wanaostaafu au kumaliza muda wao wa uongozi. Tunafanya hivyo kwa kuwajengea nyumba za kifahari na kuwapa mishahara za posho kadhaa wa kadhaa. Katika taifa ambalo linaishi kwa mikopo kama hili la Tanzania tuendelee kuwajengea nyumba viongozi ambao tayari wa majumba Yao kadhaa sehemu mbalimbali nchini?

Ni nani ajengewe na nani asijengewe? Mfano, Mwl Nyerere alimaliza akiwa na nyumba isiyokidhi hadhi yake kwa sababu ya alivyoishi akiwa kiongozi, je wanyonge waendelee kubeba mizigo ya aina hii?
 
hata ayubu nyumba atapewa,na kama haitoshi atapewa cheo kingine kikubwa zaidi ya ubunge.

hapa ndio utajua ccm wanajua kuzingua yaani.
 
hata ayubu nyumba atapewa,na kama haitoshi atapewa cheo kingine kikubwa zaidi ya ubunge.

hapa ndio utajua ccm wanajua kuzingua yaani.
Tuendelee kutumia mikopo kutunza na kujengea nyumba wastaafu? Tena wengine wametuibia kwerikweri, Wana miradi na majumba
 
Back
Top Bottom