nyumba

  1. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Anne Makinda anunua nyumba kwa Tsh. Milioni 900, Dar

    Hamjambo ndugu zangu? Speaker mstaafu bi Anna Makinda amenunua nyumba hapa Mbezi Makonde yenye thamani ya tsh 900 ml. Hiyo imekuja siku cheche baada ya mama huyo kukamilisha ujenzi wa ukumbi wake wenye thamani ya mabilion maeneo hayo hayo karibu na ukumbi wa RED HALL Huyu alikuwa mtumishi wetu...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Uwekaji wa nyumba za kupanga

    Wekeza kwenye upangaji wa nyumba kwa Ramani hii, unit mbili za apartment kila unit moja ina chumba kimoja self// nichek 0627571649
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa za masikini zinapitia changamoto nyingi sana, kuanzia nafasi ndani ya nyumba.

    Kuna bwana mmoja amejenga nyumba yake, kuna wing ameweka chumba chake self contained na cha mke wake, wanashare sitting room ndogo ambayo ina na fridge la vinywaji, TV na sofa. Anasema anaemhitaji mwenzake anamfuata chumbani kwake. Nilitafakari na kuona hawa wanaishi kwa amani sana. Sasa...
  4. Mpekuzi Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa nyumba za Waalimu Igunga, Mbenge atia neno

    Tazama clip/video kuhusu Nyumba ya Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Maweni, Kata ya Nguvumoja Wilaya ya Igunga. Inadaiwa kuna ukosefu wa nyumba za Walimu katika shule ya msingi Maweni na kuwafanya walimu kutembea umbali mrefu kwenda na kurudi shuleni.
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Urithi wa nyumba ya babu yenye nguvu za kiroho. Je, iuzwe hata kwa hasara, ipangishwe, ichukuliwe mkopo benki ama kifanyike kipi?

    Hello wanajamvi, great thinkers. Wiki chache zilizopita kuna babu yangu upande wa mama alifariki Katika mali alizoacha kuna nyumba na warithi ni watoto zake akiwemo mama yangu, mama wadogo zangu wawili na wajomba zangu wawili. Sasa tatizo linapokuja ni kwamba hakuna anaetaka kurithi hio...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu Dar es Salaam unahitaji bajeti ya milioni ngapi?

    Salaam wakuu, Kama mnavyojua ndugu zangu ni lazima tuhame kwa wazazi wetu tukaanze maisha. Na kutokana na hayo hatuna budi kufikiria kuwa na makazi yetu. Uhalisia huo umenifanya niijiulize maswali mengi sana hasa ni gharama kiasi gani zinahitajika kutekeleza ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Ipi ni njia bora zaid kwenye kuanza ujenzi wa nyumba kati ya hizi mbili

    Waungwana naombeni mnisaidie, je ni ipi njia bora ya kuanza ujenzi wa nyumba endapo tayari una kiwanja kati ya hzi zifuatazo: 1. Kumtafta surveyor wa ku survey eneo la kiwanja na ku design nyumba kulingana na eneo lilivo, na gharama za kumlipa huyo surveyor zipoje au 2. Kununua...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya biashara yenye wapangaji wengi ni sawa na biashara ya umachinga

    Unapojenga nyumba unakuwa na kusudio la ujenzi huo. Hii inakusaidia kupata ramani na budget ya jengo. Wengi wetu baada ya kujenga nyumba ya kukupatia vijusent kwakua nyumba ni asset inayodumu. Katika maongezi kuna mwekezaji wa nyumba za biashara aliyeniambia, ukijenga nyumba ya vyumba sita...
  9. Mtoto wa Nyerere

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimeona Afisa Afya Tunduru akipita nyumba kwa nyumba kuchanja, suala hili lisifanyike kwa mabavu

    Samia amesema anaunga mkono chanjo ya nyumba kwa nyumba inayopendekezwa na mkuu wa mkoa wa mbeya. Swali hizo cost zinazotumika kulazimisha watu wachanjwe zinatoka wapi? Kwanini pesa zisielekezwe kwenye mambo mengine ya msingi. Mama wanaomshauri wanamponza Sana. --- Rais Samia Suluhu...
  10. al-baajun

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba ya ghorofa mbili inauzwa Stonetown, Zanzibar

    Nyumba ni ya familia tunauza. Nyumba inafaa sana kwa hotel,guest or Airbnb(watalii wengi sana) Ipo katikati ya mji mkongwe(stonetown),karibu na maeneo yote ya utalii kama forodhani,beach nk Nyumba ina nyaraka zote na mtanzania yoyote anaweza akanunua(ukiwa sio mtanzania hutoweza labda mtu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa bei milioni 26 Tshs

    Nyumba ipo Kashai, Kashenye, Bukoba, ina vyumba vitatu vya kulala pamoja na sebule, ina umeme na maji, pia ina eneo kubwa la kujenga nyumba zaidi ya mbili, bei ni milioni 26, bei inazungumzika. Kwa mawasiliano 0752759293
  12. Nchi Kavu

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kulea wazee kwa Dar iko/ziko wapi?

    Habari wakuu. Naulizia nyumba ambazo wazee watu wazima wanatunzwa. Nahitaji kwenda kuwasalimia na kuwashika mkono kidogo
  13. Nyumba Nafuuu

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Ramani za Nyumba na Makisio Yake Unazoweza Jenga Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Nchi Mbalimbali Afrika

    Hapa katika uzi huu nakupa Orodha ya Ramani za Nyumba na Makisio Yake Unazoweza Jenga Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Nchi Mbalimbali Afrika. Zipo nyumba nyingi, so angalia ktk comment kuona zaidi
  14. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya wenye nyumba ndogo kuwa na msongamano wa watu?

    Wakuu kuna uhusiano gani, kati ya wenye nyumba ndogo kuwa na msongamano wa watu, na wenye nyumba kubwa kuwa na msongamano mdogo wa watu? Unakuta nyumba kubwa ipo kwenye ekari moja, lakini wanaoishi humo ndani unaweza kukuta ni baba, mama, na mtoto mmoja; kwa upande mwingine, unakuta nyumba ya...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Ukubwa gani wa madirisha ambao hupendezesha nyumba?

    Habari wadau Kama nilivyoeleza hapo juu naomba ushaur juu ya vipimo vizur vya madirisha makubwa yenye kuifanya nyumba iwe na mwonekano mzur yenye kuvutia. Wapo walionishaur niweke ft 5 yaani mita 1.7 wapo wengine wamenishaur ft6/mita 2 nawengine wamenishaur niweke madirisha mawili mawili ya ft...
  16. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Nianze na kipi kati ya nyumba, gari au mke?

    Samahani kidogo kwa usumbufu. Naomba ushauri hapa Nianze kujenga nyumba then nioe kisha ninunue gari Nioe, ninunue gari kisha nijenge au Ninunue gari, nijenge kisha nioe, au vyote. Upi ni mlolongo mzuri? ⒨⒴ ⒡⒰⒯⒰⒭⒠.
  17. Mr. MTUI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ombaomba wenye magari

    Nakumbuka mwanzoni kwa mwaka huu nilikua kituo Cha mafuta fulani nikijaza mafuta...wakati natoka akatokea kijana mtanashati akanisimamisha akanambia. 'Bro samahani kwa kukusumbua mmepata breakdown kidogo gari yangu imeisha mafuta na Sina Ela maana nilikua nmepaki Kariakoo wezi wamevunja gari...
  18. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Je, wajua ni marufuku kuhamia nyumba mpya bila kibali cha Manispaa?

    Habari wadau, Kama ulikuwa haujui leo ndio nakujulisha kwamba pindi unapomaliza kujenga nyumba yako ili uweze kuhamia unaitaji kibali toka Halmashauri husika kinaitwa "Certificate of Occupation"
  19. J

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Jeshi la Polisi kukagua yanayofundishwa kwenye nyumba za Ibada

    IGP Sirro amesema jeshi lake litaanza kukagua yale yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada. Chanzo: Swahili times My take; Baadhi ya nyumba za ibada huzalisha magaidi kwa kufundisha kareti. === Jeshi la Polisi Tanzania limesema kuwa litakuwa likipita katika nyumba za ibada kukagua mafunzo...
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa nyumba za biashara unahitaji mipango ya muda mfupi na muda mrefu

    Mipango ya muda mrefu inahusu kufanya uwekezaji mkubwa. Tunaongelea nyumba zaidi ya 100 za kupangisha. Hii ni biashara watakayorithi watoto wako na wajukuu wako. Katika mipango hii nunua viwanja hata vikiwa mbali na mji, mji ukipanuka ardhi itaongezeka thamani. Kwa wale waliopata kiinua...
Back
Top Bottom