nyumba

  1. JamiiForums Tanzania Masikini kuwaza kujenga nyumba ya kuishi ni umasikini pia

    Mtu unajibana wee Ili ujenge nyumba ya kuishi, ukimaliza unaanza kuishi kwenye hiyo nyumba kwa tabu nyingi. Ingekuwa na maana kama kungekuwa na maisha bila kifo, umasikini uliouchochea kwa kujenga ungepambana nao kwa kuwa muda upo tu. Kama we masikini pambana uweze kipato cha uhakika ambacho...
  2. JamiiForums Tanzania Israel VS Gaza. Kosa dogo tu likifanyika kama halijapangwa nyumba ya pazia, tunaingia WWIII (Nuclear War)

    Baada ya Marekani kupeleka meli zake za kivita zenye thamani ya matrillioni. China na yeye anapeleka karibu na Gaza meli zake za kisasa z kivita nne. Baada ya israel kuharibu uwanja wa ndege wa Damascus na Allepo. Leo dege kubwa la Iran limetua Syria likiwa na shehena za silaha kutumia uwanja...
  3. JamiiForums Tanzania Israel yavamia nyumba ya mkuu wa HAMAS na kukamata familia yake

    Ukiamua kusababisha wenzako wasiishi kwa amani, na wewe pia tegemea familia yako iishi kwa tabu.... Ramallah, Palestinian Territories: Israeli troops on Saturday raided the West Bank home of a senior Hamas leader and detained members of his family, witnesses said. Saleh al-Aruri is the deputy...
  4. JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanaoishi kwenye nyumba za kupanga wanazeeka haraka

    Utafiti mpya uliofanywa na Chuo Kikuu cha Essex na Chuo Kikuu cha Adelaide nchini Australia umebainisha kuwa kukodi nyumba kutoka kwa mtu kibinafsi au kampuni binafsi kunaweza kumsababisha mtu kuzeeka haraka kwa asilimia 100 kulinganisha na wanaomiliki nyumba zao wenyewe. Njia hili imeonekana...
  5. JamiiForums Tanzania Je, TANESCO wanaruhusu kugawana umeme kwa nyumba za taasisi?

    Naomba kuuliza swali mimi nakaa kwenye nyumba ya taasisi ila nyumba yangu ina umeme ya jirani yangu ipo kama mita 70 hivi haina umeme ila nataka kutoa waya kutoka kwenye extension yangu mpka kwake ili aweze kutumia kwa matumiz madgo madgo kama kuchaj simu n.k JE, HII INARUHUSIWA MAANA NI...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Tangazo: Wanaohitaji mtu wa kusimamia ujenzi wa nyumba, mtu wa uhakika muaminifu anapatikana

    Wakuu heshima kwenu. Kuna watu wako busy kwenye kazi, wengine hawajui kusimamia nyumba kwa maana ndio ujenzi wa kwanza labda. Sasa ondoa shaka mtaalamu kijana wa kiha muaminifu anapatikana. Ni rafiki yangu wa karibu kaomba nimtangazie humu. Ana uzoefu wa kusimamia mafundi wakiwa wanajenga ili...
  7. JamiiForums Tanzania Nyumba na Viwanja Vinauzwa-Kigamboni

    Habari za Wakati Huu Je unahitaji Nyumba,Viwanja,Mashamba n.k. Ndani ya Kigamboni katika maeneno ya Vijibweni,Kibada,Kisota,Gezaulole,Cheka,Kimbiji,Mbutu na Maeneo ya Jirani na Hayo? Usisite kuwasiliana nasi kwa SIMU namba +255757323060.Kwa wakati huu vifuatavyo vipo sokoni:
  8. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bunge la Kenya lapitisha sheria kwamba nyumba zote zitakazojengwa ziwe na mfumo wa kusambaza gesi

    Hawa ndio watu serious kwenye masuala ya miundombinu na maendeleo ya matumizi ya gesi asilia hata kama hawazalishi gesi hiyo! Tanzania pamoja na kuwa na gesi nyingi hatujaweza kuisambaza hata Dar ambapo tayari mabomba kutoka Songosongo yalishawekwa zamani. Ni hawa akina Rostam tulioshindwa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Penthouse juu ya nyumba ya wapangaji yawa Kivutio nchini Kenya

    Mama mmoja kutoka Kenya, ameonekana kuwavutia watu wengi nchini humo baada ya kuja na design ya kujenga nyumba yake ya kuishi juu ya nyumba ya wapangaji wake (landlord amekalia tenants). Mama huyo ambae ni nurse kwa taaluma anaefanya kazi USA aliamua kuja na hio idea ambapo baada ya...
  10. JamiiForums Tanzania Ni nyumba za kulala wageni au ni nyumba tengefu kwa ajili ya uzinzi na uasherati?

    Kama mada inavyojieleza hapo juu, tafadhali husika. Ni nyumba za kulala wageni au ni nyumba maalumu kwa kufanyia uzinzi na uasherati? Wako katika ujenzi wa Taifa, DON YRN.
  11. JamiiForums Tanzania Picha: Kama umenunua Kiwanja, nyumba au Pagale ndani ya Jiji la Mwanza, ni zaidi ya 98% utakuwa umetapeliwa na huyu mtu

    Jina lake halisi anaitwa GAHAI WARIOBA MAPENGO. Ana vitambulisho feki na majina feki na namba nyingi za simu. Baadhi ya majina anayotumia ni HERI SWAI. Ana timu kubwa ya utapeli kila Kona ya mji, ikiwa na WAZEE, vijana na wanawake na mabibi. Maeneo yote ya Kisesa Igudija, Nyashishi, Ilemela...
  12. JamiiForums Tanzania Mbunge Kapufi akabidhi zaidi ya Shilingi Milioni 2 Ujenzi wa Nyumba ya Katibu wa CCM Wilaya ya Mpanda

    Mbunge Kapufi akabidhi zaidi ya Shilingi Milioni 2 Ujenzi wa Nyumba ya Katibu wa CCM Wilaya ya Mpanda. MBUNGE wa Jimbo la Mpanda Mjini Sebastian Kapufi amekabidhi zaidi ya Milioni 2 kwa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake (UWT) Wilaya ya Mpanda kwa ajili ya kukamilisha Ujenzi wa nyumba ya Katibu wa...
  13. JamiiForums Tanzania Bwawa la Nyumba ya Mungu na maisha ya wananchi

    Sekta ya uvuvi imekuwa ni sekta pana inayoajiri asilimia kubwa ya Watanzania inayosaidia vijana kujiajiri na kutatua tatizo la upungufu wa ajira katika taifa letu kwa kiasi chake. Taifa letu limejaaliwa rasilimali nzuri sana kwaajili ya kufanya uvuvi endelevu Tanzania kuna mito mikubwa kama mto...
  14. JamiiForums Tanzania URITHI; Mtoto wa nje alitaka nyumba zote ziuzwe ili apate hela kubwa. Ni shukrani gani hii?

    Habari wana Jamii forum. Ngoja leo nilete hii kesi niliyoishuudia kwa macho yangu. Kulikuwa na Baba mmoja na familia yake wa watoto 4, wapili ni wakiume ambae alimzaa nje na wengine 3 Wandoa wakike alizaa na mkewe. Niliambiwa hivi, Baada ya mkewake kujifungua mtoto wa kwanza ikapita kama...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba ni Hakimi mtarajiwa. Anasema hana nyumba, anaishi kwenye nyumba za mamake

    Ali Kiba amejipanga vilivyo kupambana na akina dada wajasiliamali wa mapenzi. Wanaopenda kuchuma vya ubwete kupitia mapenzi uchwara.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kiimani hii imekaaje: Mwanamke ni pambo ndani ya nyumba

    Kwa ndugu zetu waislamu, mwanamke ni pambo la nyumbani kwa mume wake, haruhusiwi kuonwa na mwanamume mwingine zaidi ya mume wake. Sasa sisi tuna rais mwanamke na siku zote tunaona uso wake, je kiimani hii inaruhusiwa? kama hairuhusiwi, adhabu yake ni ipi? Msikilize shehe hapa...
  17. JamiiForums Tanzania Ramani ya nyumba ya jirani yangu nimeipenda

    Ndugu wanajamvi, habari za majukumu? Kuna mchoro wa ramani ya nyumba ya jirani yangu nimeupenda sana. Vipi nikihamishia huo mchoro site kwangu haitaleta noma?
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Riverside Dar es Salaam

    Habari wakuu, Natafuta nyumba ya kupanga iwe na sifa zifuatazo; 1. Iwe maeneo ya Riverside Dar es Salaam 2. Isiwe mbali sana na stendi ya Riverside 2. Iwe na chumba kimoja master na sebure 3. Iwe na Tiles na madirisha ya Aluminium Nipo tayari kwa bei yoyote.
  19. JamiiForums Tanzania Mwanmke anaekimbilia kuvunja ndoa kisa mali furaha yake hudumu kwa muda mfupi kwenye nyumba isiyo na mume wa kumheshimisha kwenye jamii

    Nimetoka kwenye mitandao ya wanawake huko njkiwa natumia fake id kuna hawa wanawake ambao wanaingia kwa lengo la mali tu, unamuoa mnakaa miaka mitano huyooo, ndukii !! wapo wanaojutia maamuzi waliyofanya baada ya muda kwenda Mbaya zaidi umri umeenda hata soko la kuolewa linakuwa limeshuka...
  20. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nyumba Inauzwa Kibaha Muheza

    Kibaha Muheza 48 ml ( Maongezi Yapo ) 3 kilometers kutoka Mailoja. Eneo 18*25 Vyumba vitatu vya kulala 1 master bedroom Sebule na dinning room Public toilet Jiko na stoo yake Fremu ya duka mbele Piga : 0678650509
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…