sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,034
Nimetoka kwenye mitandao ya wanawake huko njkiwa natumia fake id kuna hawa wanawake ambao wanaingia kwa lengo la mali tu, unamuoa mnakaa miaka mitano huyooo, ndukii !! wapo wanaojutia maamuzi waliyofanya baada ya muda kwenda
Mbaya zaidi umri umeenda hata soko la kuolewa linakuwa limeshuka, nyumba na mali za mgao wa kuachana mwanamke ana enjoy ila siku akija kusikia aliekuwa mme wake kasha move on na kaoa mwengine huku yeye kabaki na lijumba itamuuma sana akifiria kwamba nafasi yake ya kuwa mwanamke alieolewa iliyomheshimisha kwenye jamii na hata kwa ndugu au wazazi wake imeenda kwa mwanamke mwengine,
Hapa wengi huwa wanaingia panic mode, wengine akili huwaruka wanaanza kukuomba msamaha kabisa mrudiane, wengine huingia kwenye lindi la mawazo linalipelekea kuanza hata ulevi uliopindukia, wengine wanajaribu kukupa wivu kwa kutoka na wanaume wengine ila wanaume hawa mara nyingi wanaishia kuwachakaza tu, wengine huanza kuhonga vijana wadogo viben 10, n.k.
Hapo mwanaume ameshaoa umeweka chombo ndani huku aliekimbilia mali anazeeka single na kwenye jamii hana tena title ya kuolewa, waweza chukulia poa lakini maumivu atayopata huyo ex wife sio kitoto, Tena kama upo dhaifu kiroho hakikisha unajisakafia