nyumba

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mipira yenye ubora kwa ajili yakumwagilia nyumba wakati wa ujenzi

    Naomba nipate uzoefu. Ni mipira ipi bora kwa kazi za kumuagilia nyumba wakati wa ujenzi kwa kuzingatia vigezo vufuatavyo: I) Kampuni inayotengeneza (aina ya mipira) ii) Milimita za Mpira (unene). iii) Pressure nzuri ya maji iv)Durability (kudumu kwa muda mrefu)
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mipira yenye ubora kwa ajili ya kumwagilia nyumba wakati wa ujenzi

    Naomba nipate uzoefu. Ni mipira ipi bora kwa kazi za kumuagilia nyumba wakati wa ujenzi kwa kuzingatia vigezo vufuatavyo: I) Kampuni inayotengeneza (aina ya mipira) ii) Milimita za Mpira (unene). iii) Pressure nzuri ya maji iv)Durability (kudumu kwa muda mrefu) NB: Nikipata na bei itakuwa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hapa jirani yangu pana nyumba haijawahi kukaliwa na watu tokea ikamilike kujengwa. Ni mwaka wa 10 huu, mpaka geti linaanza kuoza. Nijitwalie?

    Kuna nadharia mbili hapa. 1. Yawezekana mmiliki alikuwa anamjengea mchepuko. Ili siku moja aje amfanyie surprise. Lkn kabla ya surprise jamaa akapata ugonjwa ama ajali na kufariki. Kwahiyo si mchepuko wala familia waijuao nyumba hii. 2. Mmiliki alipoikamilisha alipigwa kifungo cha miaka 30 au...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa ruzuku na pesa wanazopata ACT Wazalendo nilitegemea hawa wanachama wao walio na umasikini mkubwa wajengewe nyumba

    Huu ni umasikini uliokithiri
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mwenye uhiitaji wa kuangaliziwa nyumba nipo

    Habari za mida hii wadau wa mtandao huu, wote wazima!? Naomba nije kwenye mada tajwa hapo juu, Ninaomba kama kuna mtu ana Nyumba anaitaji uangalizi wa mtu labda kukaa ata miaka mimi nipo, ntafanya usafi na kila kinachowezekana ila sharti tu nikae hapo, NB: Nina familia mke na watoto 2...
  6. Execute

    JamiiForums Tanzania Wenye nyumba wengi hapa Dar es Salaam ni watu maskini sana

    Ukiondoa wale waliorithi ambao mara nyingi ni mafukara na wasiokuwa na mwelekeo wowote wa kimaisha zaidi ya kutaka kuuza mali walizoachiwa, kuna hawa ambao wanaishi kwenye eneo hilo hilo ambapo wamepangisha. Kodi ya jengo kaweka kwenye luku ya wapangaji na sio kule kwake. Bili ya maji hataki...
  7. fundi bishoo

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye jukumu la kulipa hela ya kunyonya maji ya choo endapo kitajaa kati ya mwenye nyumba na mpangaji

    Kwema wakuu nataka nilianzishe hapa maana mtu unalipa kodi kila baada ya miezi 6 halafu choo kimejaa, mwenye nyumba hakai hapa lakini je ni nani mwenye jukumu la kulipa wakati sio mwenye nyumba ndo anaestahili kulipa hyo pesa kama shilingi 80,000. Inakuaje wapangaji tupigishwe mchango wa elfu...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mwongozo wa utoaji ardhi kwa raia- ardhi isiyomilikiwa kiasili

    (fungu la 24 - 30) UTANGULIZI Mwongozo huu wa umiliki kwa ajili ya raia wa Tanzania unatokana na fungu la 24 - 30 la sheria ya ardhi Na. 4 ya mwaka 1999. Aidha, ardhi inayoombewa milki inaweza kuwa kwenye mojawapo ya makundi yafuatayo kwa maeneo ya mijini hapa Tanzania. Ardhi inayotolewa...
  9. Heci

    JamiiForums Tanzania Hii ni nyumba ya wachawi ninayoishi. Wachawi wanapika chakula changu

    Niko Mwananyamala A hapa, pa kigagula mmoja aitwa Bi Mandela (hili ni jina kificho, sio halisi) . Jamani najuta kuishi katika nyumba hii.. Kuna vimbwanga vingi vinatendeka, wakati mwingine waamka alfajiri nyumba nzima imetapakaa kinyesi, ñya mbichi kabisa. Leo nimeenda sokoni, nimenunua bata...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Polisi wamezingira nyumba ya Mwabukusi na Mdude

    Salaam , Shalom! Dr. Slaa amesema kuwa amefanikiwa kupata picha ya Police kuizingira Nyumba ya Nabii Mwabukusi. Ikumbukwe pia, usiku wa kuamkia leo, Police walivamia Nyumba ya Askofu Mwamakula wakimtafuta bila mafanikio. Nia ya kuizingira Nyumba ya Nabii Mwabukusi haijajulikana hadi sasa...
  11. chandeka marwa

    JamiiForums Tanzania Je ni haki kwa mafundi ujenzi wanaojenga nyumba za serikali kwa force account kuzungushwa katika malipo yao??

    Mimi ni fundi ujenzi (majengo) katika wilaya X ninajenga na kufanya kazi za serikali kwa njia ya force account lakini ikifika swala la malipo ninazungushwa sana mara taarifa zinakuja eti kunamaboresho ya mfumo sasa yapata miezi mitatu tangu marekebisho yasemekane kwani hayaishi?? Maana...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa ipo Kibada Kigamboni

    Nyumba ipo KIGAMBONI Mwembe mtengu inauzwa. Master 2 Living room 2 Kitchen 1 Public toilet 1 Dinning 1 Seating 1 Ukubwa eneo 400sqm(20*20) Bei 50Mil Maongezi yapo. Mawasiliano: sms,calls,watsaap 0784379396 Email: leonapolinary@gmail.com
  13. Bull Bucka

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi mwenye nyumba kumwekea mpangaji sharti la aina ya wageni wanaomtembelea?

    Jijini Dar es Salaam na maeneo mengine nchini Tanzania, suala la makubaliano kati ya mwenye nyumba na mpangaji ni jambo la kawaida. Makubaliano haya hujumuisha mambo mengi kama vile kodi, malipo ya huduma za nyumba, na masuala mengine yanayohusiana na kukaa kwenye nyumba ya kupanga. Hata hivyo...
  14. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akabidhi Nyumba Kwa Mjane wa Dkt Magufuli (Mama Janeth Magufuli)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mjane wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Mama Janeth Magufuli wakati wa hafla fupi ya kukabidhi nyumba ya kuishi iliyopo wilaya ya Kinondoni ambayo imejengwa na Serikali...
  15. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Wazungu wanaziponda sana hizi nyumba. Kumbe ndiko tulikojifunza kujenga "mapiramidi!"

    Kuna hizi nyumba wazungu/Wamarekani wanazichamba balaa. Utacheka wakianza kuzichamba. Wanaziita Mcmansions(Poor man mansions). Ni zile nyumba kubwa, zina manjonjo mengi na zaidi paa linachukuwa sehemu kubwa ya nyumba. Nimegundua hizi nyumba zetu za kisasa ni viMcmasnions vidogo. Ujenzi wetu...
  16. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Watu wa bara hamna ustaarabu,usiku wa manane majirani wamezunguka nyumba yangu eti wanaokota kumbikumbi

    Kweli ustaarabu ulianzia pwani, yaani usiku wa manane nimelala nasikikia, nantondo lolo mayo, nikadhani ni vibaka wa kike au wachawi kumbe wanaokota kumbikumbi kuzunguka nyumba. Ustaarabu kazi Kidogo nitoke na manati yangu. Sie wengine tuna madeni mengi sana ukikatizwa usingizi kuupata tena ni...
  17. L

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba ghorofa moja inauzwa (Goba kwa Ulomi)

    NYUMBA INAUZWA Location: Goba kwa Uromi Ownership: Full documents Plot capacity: 950 sq/m No. of Room: 5 self contained rooms ---Store ---Jiko --- Parking --- Two seating room --- 1 office NYUMBA NI NZURI, HAINA KASORO Bei ya makadirio ni 470m kwa mazungumzo na kukagua tafadhali wasiliana nasi...
  18. MAranatha7

    JamiiForums Tanzania House4Rent NYUMBA MPYA INAPANGISHWA-NGARAMTONI ARUSHA

    Ina vyumba 2 vikubwa self, Ina maji ndani Umeme -Ukuta -Eneo kubwa ndani ya uzio -unaweza kuweka bustani ya mboga, -NYumba ni mpya kabisa. -Eneo iliko ni nyuma ya RC/Shule ya msingi Ngaramtoni, eneo la Kishore. Bei 350,000/= Hakuna udalali Hakuna udalali
  19. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani wa kufanya skimming kwenye nyumba ?

    Hii kitu kwa saivi imefanywa kama ni kitu ya lazima kwenye ujenzi wa nyumba. Mi sioni kama ni kitu chenye umuhimu kiviile, zaidi naona ni kuongezeana gharama tu bila sababu ya msingi. Nipe mtazamo wako.
  20. K

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar hasa wenye vipato vya chini na tunaoishi kwenye nyumba za kupanga

    Habari za usiku huu ndugu watanzania? Moja kwa moja niende kwenye mada iliyonifanya nifikirie kushare mawazo yangu. Wakazi wa dar,hasa sisi wenye vipato vya chini na tunaoishi kwenye nyumba za kupanga huwa tunahaha sana msimu wa mvua ukianza. Hapa nazungumzia kuanzia mwezi wa 12 mpaka mwezi wa...
Back
Top Bottom