Ni nyumba za kulala wageni au ni nyumba tengefu kwa ajili ya uzinzi na uasherati?

Ni sehemu yenye vyumba ambapo unalipia kwa mujibu wa mahitaji yako ya faragha, ikiwa ni kulala au kulalana.

Unachokifanya humo ndani hakimuhusu yeyote wala kuondoa maana ya kuwa ni nyumba ya wageni sababu ikiwa huishi hapo basi wewe ni mgeni tu hivyo ku qualify kutumia huduma.
 
Kwa kweli ni sheeedah.
Lodge nyingi au tuseme zote asilimia zaidi ya 70 wateja ni wazinzi tu. Wageni serious ni wachache sana nao kama mtu uko busy na shughuli muhimu na hauna mpango wa kuimport malaya utaona tabu tu maana lodge nyingi hazina privacy. Unaingia rum kwako unasikia chumba cha pili makelele mtu ananyanduliwa. Lazima mzuka ukupande na ww.
Kama ww ni mgeni kweli kweli na una hela inayoeleweka nenda tu hoteli zenye utulivu. Usiende lodge
 
Huna hela wewe acha kwenda kwenye madanguro ya 20k yaliyopewa jina la hadhi ya lodge, huko ambako mnakutana na hizo shida.

Kuna lodge ambazo hata baadhi ya hotel hapa bongo hazifikii kwa hadhi na huduma bora.

Cha msingi ni pesa yako na connection tu ya kujua wapi utapata huduma ya hizo lodge zenye hadhi ya kuitwa lodge, ukiachana na hayo mazizi tunayojenga mitaani na kuyaita lodge
 
Cha kwanza tambua sijauliza bei ya lodge wala kujua ubora wala thamani yake.
Elewa swali langu bwana Lutashobya!...
 
Back
Top Bottom