Ali Kiba ni Hakimi mtarajiwa. Anasema hana nyumba, anaishi kwenye nyumba za mamake

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,415
Ali Kiba amejipanga vilivyo kupambana na akina dada wajasiliamali wa mapenzi. Wanaopenda kuchuma vya ubwete kupitia mapenzi uchwara.

Screenshot_20230930-230216.png

1696104089695_1.jpg
 
Ali Kiba amejipanga vilivyo kupambana na akina dada wajasiliamali wa mapenzi. Wanaopenda kuchuma vya ubwete kupitia mapenzi uchwara.

View attachment 2767938
View attachment 2767940
Mama yangu ana nyumba nyingi = Mimi nina nyumba nyingi

Alisema HBaba huyu jamaa ndio mtu pekee anaemzidi kwa mradi wa nyumba HBaba alijimwambafai kua ana nyumba 12 Ila anasema hamfikii alikiba kwa kuwekeza kwenye nyumba, hayo aliyatamka kwenye kipindi cha Clouds alikua anahojiwa

Akisikia tu kuna kiwanja somewhere kinapigwa Bei yumo
 
Wawe wazazi wanaojielewa .
Wazazi wengine akili zao Mungu tu awasaidie maana hawashindwi kukupiga chabo ukiwa unandinya huko kunako sita kwa sita .

Naongelea exprience tafadhari
Nasikia mchezaji Ebue amekuwa fukara kwasabb aliandika mali zote jina la mamake halafu wajomba wakazigawana bila kuacha hata senti. Ebue hivi Sasa anaokota makopo
 
Mbona wapo wengi,

Ray kigos

TID

Ni kweli hakuna raha kama kuishi na wazazi,naenjoy.
Hao uliwataja walishindwa kutumia nyakati zao za mafanikio kujijenga kiuchumi kwa upande wa kiba nyumba amejenga ila anaandika jina la mama ake kuwakwepa hawa gold diggers wa mjini wanaoangalia loopholes zilizopo kwenye sheria ya ndoa na mahusiano waweze kujinufaisha
 
Nasikia mchezaji Ebue amekuwa fukara kwasabb aliandika mali zote jina la mamake halafu wajomba wakazigawana bila kuacha hata senti. Ebue hivi Sasa anaokota makopo
Sio kweli. Aliandika jina la mkewe ambae baadae alichukua kila kitu nankumuacha eboue akiwa broke lakini aliajiriwa na arsenal kwa sasa eboue ni muajiriwa wa arsenal na anaishi vizuri tu wala haokoti makopo
 
Back
Top Bottom