Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya Riverside Dar es Salaam

Oct 23, 2022
97
99
Habari wakuu,

Natafuta nyumba ya kupanga iwe na sifa zifuatazo;

1. Iwe maeneo ya Riverside Dar es Salaam
2. Isiwe mbali sana na stendi ya Riverside
2. Iwe na chumba kimoja master na sebure
3. Iwe na Tiles na madirisha ya Aluminium

Nipo tayari kwa bei yoyote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom