nyumba

  1. W

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa ipo Toangoma Kigamboni

    nyumba inauzwa ipo mwembe mtengu tuongomb-kigamboni ina vyumba 3 Vyumba viwili (bedroom)na publi toilet main room[master room 1]na choo chake Dining room jiko sebule pia banda lake la nje lina chumba 1 na public toilet sebule n jiko ina ukubwa eneo qm 900 ina maji safi kbsa ni Km 1.9 kutoka...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nyumba yenye chumba kimoja self sebule na jiko inaweza tumia tofali ngapi wadau

    Nyumba yenye chumba kimoja self sebule na jiko inaweza tumia tofali ngapi wadau
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dotto Magari amjibu Mwijaku "ile nyumba au kibanda nitokee, watu wamejenga bangaloo"

    Mzuka mwanajamvi. Influencer na muuza magari maarufu nchini Dotto Magari ambaye ni watani na wanamashindano ya kimaisha na Mwijaku na baba level ameiponda nyumba mpya ya mwijaku iliyoleta gumzo la aina yake nchini toka jana. Video hapo chini https://www.youtube.com/watch?v=Af0N3hZ66t0 LIKUD...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ikiwa Kanisa lina mlinzi ambaye ni mwanadamu iweje Watu waombe Ulinzi kwa mungu aliyeshindwa kulinda nyumba yake?

    Kwema Wakuu! Moja ya mambo yaliyozidi kunipa mashaka kwenye suala la dini ni pamoja na suala la ulinzi na usalama. Ukienda Kanisani sio ajabu ukakuta Milango. Na kama utaenda siku ambayo sio ya ibada sio ajabu ukakuta Milango imefungwa na kufuli kabisa. Kama hiyo haitoshi, Makanisa makubwa...
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni maskini ni vyema utambue mapema kuwa rasilimali za nchi hii hazikuhusu, ndio maana Sheria kali za kulinda rasilimali ziko kwaajili yako

    Hello! Kama wewe maskini please, please, please usizisogelee hizi rasilimali za taifa . Ni hatari zaidi ya kutupia kitimoto kwenye kusanyiko la Eid. Utauliwa na vijana wa TAWA, TANAPA, au TFS na ukinusurika nao utaozea jela. Ni ushauri tu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwijaku ajenga nyumba ya kitajiri Kigamboni - funzo kwa vijana, dunia haina huruma kwa mwenye aibu,wenye kuwaza ndugu watanionaje

    Habari wadau, Mwijaku chawa na influencer maarufu amejenga nyumba ya ghorofa kigamboni Mwijaku anafanya kazi amazo wengi tunaona ni za aibu ila ana maisha mazuri ambayo wasomi wengi wa zama zake hawana hata nusu yake. Mwijaku ni graduate wa university of Dar es salaam (Udsm) class of 2013 -...
  7. Rayvanny wa jamiiForums

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaume umeishawahi kuishi kwenye nyumba inayomilikiwa na mwanamke ambaye labda ni mke wako au mpenzi wako?

    Katika pilika pilika za maisha kuna baadhi ya wanaume wamekuwa wakipitia msoto mkali, pengine labda ni kwasababu ya umaskini mwisho wanaishia kuishi kwenye nyumba za wapenzi wao au wake zao. Sasa hebu funguka hivi kuna wanaume humu washawai kuishi kwenye nyumba inayomilikiwa na mwanamke ambaye...
  8. lelulelu

    JamiiForums Tanzania Nimeliwa baada ya kutrade forex hela ya matumizi ya nyumba na nauli ya mdogo wangu kwenda shule.

    dah sijui nafanya nini mimi jamani.pesa ambayo ilikuwa ya matumizi ya nyumbani na nauli ya mdogo wangu kwenda shuleni niliingia ushawishi nikaipeleka kwenye forex. najuta sijui ntafanya nini mimi na sina sehemu ya kukopa sina mchele wala unga ndani,upumbavu wangu mimi kuipeleka laki tatu yote...
  9. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Kairuki Akagua Ujenzi wa Mradi wa Nyumba Msomera

    WAZIRI KAIRUKI AKAGUA UJENZI WA MRADI WA NYUMBA MSOMERA Asisitiza Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu inalenga kuboresha maisha ya wananchi Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amekagua mradi wa ujenzi wa nyumba katika kijiji cha Msomera Wilayani Handeni kwa ajili ya...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mwanaume unaanzaje kuoa binti ambae uchumbani hajawai ama ni mvivu kukufulia, kukupikia, kufanya usafi wa chumba / nyumba, n.k.

    Naandika uzi huu kwasababu nazidi kujionea baadhi ya ndoa hizi za kizazi kipya zimekuwa za ajabu sana, hata ile tafsiri ya kuvuta jiko imeanza kupotea. Na tuache masikhara, ndoa zetu za kiafrika mwanamke ana majukumu yake na mwanaume ana majukumu yake na kuna majukumu ya wote kwa pamoja...
  11. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Wahandisi nauliza: Kwanini Tanzania hatutengenezi mfumo maji na taka mapema tunapojenga msingi?

    Nimezoea kuona bongo watu wakibomoa bomoa msingi au kuta walizojenga ili wapitishe mabomba ya maji na choo. Hivi haiwezekani kutengeneza plan ya maji safi na taka na kujenga mfumo maji na taka mapema kabisa katika hatua ya kujenga msingi ili kila kitu kiwe sawa?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kimenuka Israel, maelfu waandamana wakimtaka Netanyahu ajiuzulu, nyumba yake yavamiwa na wananchi wenye hasira

    Moto unawaka Israel, maelfu ya wananchi wenye hasira kali wamemiminika mtaani wakimtaka waziri Mkuu wa nchi hiyo Benjamin Netanyahu kujiuzulu kutokana na vita inayoendelea Gaza, ambayo haifahamiki itaisha lini na huku maelfu ya watu wakiuawa Wengi wao wanamuona Netanyahu kama psychopath (kichaa...
  13. azithromycim

    JamiiForums Tanzania Baba mwenye nyumba hataki nifanye biashara ya pombe kali

    Wanajamvi habari za muda huu, poleni na majukumu ya kutafuta ridhiki. Niende kwenye mada moja kwa moja. Nimepangisha fremu kwenye NYUMBA moja mjini kwa lengo la kufungua biashara ya pombe Kali yaani liquor store. Nikaingia mkataba na mwenye nyumba wa miezi kumi wakati huo yeye hajui nataka...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Njombe mtaa wa Hagafilo

    Wanajamvi heshima kwenu.nyumba inauzwa mjini njombe mtaa wa hagafilo.bei 75milioni.ina vyumba zaidi ya 15.imeisha,ina kila kitu,kwa maana ya umeme na maji.inawapangaji full vyumba vyote.karibuni.mawasiliano 0758248358.nb hakuna dalali
  15. AlphaMale_

    JamiiForums Tanzania Mnawezaje ku deal na Jiran wa Namna hii kwenye nyumba za kupanga?

    Hello habari wana jf Ninapo ishi kuna kijana mmoja anapenda sana kufungulia mziki sauti inakua juuu sana yani hajali usiku asubui yeye akiwepo ndani ni kelele sana Yani hii tabiia inani boa sana Je nyiie mna deal vip na hawa watu?
  16. Championship

    JamiiForums Tanzania Mbeya na Iringa wananchi wamejenga nyumba za kijima

    Hii mikoa nyumba zao nyingi ni dhaifu sana, yaani unaona udongo mtupu kila mahali kwenye kuta nne. Hizi nyumba nyingi likitokea tetemeko itakuwa maafa.
  17. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati unajenga nyumba baadae unagundua hujajenga nyumba bado

    Katika maisha Kama binadamu unaweza kudanganywa na AKILI yako pamoja na HISIA hasa pale unapojenga nyumba ili uishi Ila ghafla anatokea jirani yako anajenga Hekalu na unaanza kuamini katika Akili yako kuwa haujajenga bado. Unaoa mke mzuri Ila unapomuona mke Wa rafiki yako au ndugu yako...
  18. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kijana wangu anatafuta nyumba ya kupanga riverside, Ubungo

    Habari marafiki, Nina kijana wangu wa kazi anatafuta nyumba ya kupanga maeneo ya riverside. Mwenye nayo ailete hapa.
  19. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Sharti gani gumu uliwahi pewa na mwenye nyumba kwenye nyumba za kupanga?

    Sijakosea. Nafahamu fika kuwa members wote wa JamiiForums tuna majengo makubwa sana hasa maeneo ya Sinza na Oestabey, lakini yote kwa yote, wengi wetu tumewahi panga vyumba kabla ya kujenga Ni sharti lipi gumu uliwahi pewa na mwenye nyumba ndani ya nyumba yake ulipopanga kwake?
  20. Pridah

    JamiiForums Tanzania Tusaidiane kujua kampuni nzuri za uhakika kwa ajili ya bima za nyumba

    Habari. Muda wa ku renew bima za vijibanda vyangu umekaribia ila kusema ukweli kampuni niliyopo niliingia tu kwa ushawishi wa rafiki yangu anayefanya hapo ila natamani kujua kama kuna kampuni bora na ya uhakika zaidi nikishawishika nihame. Wenye mijengo yenu mloikatia bima za moto naomba...
Back
Top Bottom