lelulelu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 401
- 366
dah sijui nafanya nini mimi jamani.pesa ambayo ilikuwa ya matumizi ya nyumbani na nauli ya mdogo wangu kwenda shuleni niliingia ushawishi nikaipeleka kwenye forex.
najuta sijui ntafanya nini mimi na sina sehemu ya kukopa sina mchele wala unga ndani,upumbavu wangu mimi kuipeleka laki tatu yote kwenye forex.
Sina hata senti tano mpaka hivi sasa wakuu naomba ushauri nifanye nini mimi.
Sio mara moja huwa napatapata hela ila mara hii nimeingia tamaa daah.
Nimelose trade ya kwanza nikataka kurevenge.
Naomba msaada wenu jamani nafanyaje mimi.