Kimenuka Israel, maelfu waandamana wakimtaka Netanyahu ajiuzulu, nyumba yake yavamiwa na wananchi wenye hasira

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,834
18,836
Moto unawaka Israel, maelfu ya wananchi wenye hasira kali wamemiminika mtaani wakimtaka waziri Mkuu wa nchi hiyo Benjamin Netanyahu kujiuzulu kutokana na vita inayoendelea Gaza, ambayo haifahamiki itaisha lini na huku maelfu ya watu wakiuawa

Wengi wao wanamuona Netanyahu kama psychopath (kichaa katili) ambaye hafai kuongoza nchi

Tutaendelea kuwajuza.....
Screenshot_20231231-034300.png
 
Nchi ya Israel kisiwa cha demokrasia katika eneo la mashariki ya kati inayotawaliwa kimabavu na marais madikteta na wafalme nusu Mungu.

Taifa la Israel lenye kutekeleza demokrasia kwa vitendo ni nchi inayojitambulisha kama "taifa la Kiyahudi na la kidemokrasia" na ndiyo nchi pekee duniani yenye idadi kubwa ya Wayahudi (tazama taifa la Kiyahudi).

Pia nchini Israel kuna Imani ya Kiyahudi na nyinginezo nchini humo ni pamoja na Uislamu (wengi wao ni Sunni), Ukristo (wengi wao wakiwa Melkite na WaOrthodoksi) na dini ya watu wa Druze .
 
View attachment 2857923
Israel kwa kiasi kikubwa ni nchi yenye utawala wa kidemokrasia, kuna uhuru mkubwa wa watu kutoa maoni au kuelezea hisia zao tofauti kabisa na hali ilivyo kwa mataifa mengi hapa duniani, hususani kwa nchi za Afrika au nchi zenye sera za kijamaa/kikomunisti.
Israel Kuna Uhuru mkubwa, ndio maana unaona kwamba wananchi wanaruhusiwa kuandamana licha ya kwamba nchi hiyo ipo vitani kwa sasa. Je, sisi hapa Tz tunaweza kufanya hivyo wafanyavyo Waisrael licha ya kwamba hakuna vita inayoendelea kupiganwa na nchi yetu hii? Je, tunaweza????
 
Propaganda za wafilisti na magaidi ya alla

Isreal wauaji wakubwa.
 
Israel kuwa nchi ya kidemokrasia au siyo ya kidemokrasia sio ishu inayojadiliwa hapa, ishu ni kuwa wananchi wanamtaka Netanyahu ajiuzulu
 
Maandamano makubwa yalitokea wakati anataka badilisha sheria kuhusu Mahakama, ila hawakufanikiwa hata nukta
 
Moto unawaka Israel, maelfu ya wananchi wenye hasira kali wamemiminika mtaani wakimtaka waziri Mkuu wa nchi hiyo Benjamin Netanyahu kujiuzulu kutokana na vita inayoendelea Gaza, ambayo haifahamiki itaisha lini na huku maelfu ya watu wakiuawa

Wengi wao wanamuona Netanyahu kama psychopath (kichaa katili) ambaye hafai kuongoza nchi

Tutaendelea kuwajuza.....
View attachment 2857923
Netanyahu zidisha kipigo kwa hawa magaidi. Kuandamana ni haki ya mtu unafikiri ni hapa kwetu kuandamana ni kosa. Na netanyahu kasema hata robo ya dozi haijafika
 
Moto unawaka Israel, maelfu ya wananchi wenye hasira kali wamemiminika mtaani wakimtaka waziri Mkuu wa nchi hiyo Benjamin Netanyahu kujiuzulu kutokana na vita inayoendelea Gaza, ambayo haifahamiki itaisha lini na huku maelfu ya watu wakiuawa

Wengi wao wanamuona Netanyahu kama psychopath (kichaa katili) ambaye hafai kuongoza nchi

Tutaendelea kuwajuza.....
View attachment 2857923
M.kuu kanywaaa majiyabahariyule msahauu kuiiuzulu mpakaa amalizane na hamas yule n Joshua' wa israel
 
ishu ni kuwa wananchi wanamtaka Netanyahu ajiuzulu

Kupitia mfumo wa kidemokrasia ambapo raia wapo huru kuandamana tofauti na nchi za kidikteta na za kifalme za Mashariki ya Kati hata Ukanda wa Gaza chini ya HAMAS, bila mapinduzi au kipigo cha bunduki hakuna mtawala atakayeondoka madarakani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom