House4Sale Nyumba inauzwa ipo Toangoma Kigamboni

William Mwita

Member
Oct 29, 2023
53
29
nyumba inauzwa ipo mwembe mtengu tuongomb-kigamboni
ina vyumba 3

Vyumba viwili (bedroom)na publi toilet
main room[master room 1]na choo chake
Dini
IMG-20240108-WA0012.jpg
IMG-20240108-WA0018.jpg
IMG-20240108-WA0027.jpg
IMG-20240108-WA0026.jpg
IMG-20240108-WA0029.jpg
ng room
jiko
sebule
pia banda lake la nje
lina chumba 1 na public toilet
sebule n jiko

ina ukubwa eneo qm 900

ina maji safi kbsa

ni Km 1.9 kutoka barabara kuu

INAUZWA TSH MILLION 43 TU......DOCUMENT NI HATI YA MAHUZIANO
WAHI NYUMBA NI NZURI SANA
Mawasiliano 0748270719IMG-20240108-WA0026.jpg
IMG-20240108-WA0030.jpg
IMG-20240108-WA0028.jpg
IMG-20240108-WA0023.jpg
 
Holes za kutolea unyevu na majimaji nipm namba yako ya Whatsapp nikutumie picture za kutosha
Km unapicha nyingine ni bora ukazituma hapa maana hii ni biashara haitakiwi kificho ongeza picha za sebuleni,vyumba,mabanda ya nje, eneo la nje kila angle, picha nyingine ipige tokea nje fence na geti vionekane
 
Nimeziongeza hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom