Hivi wanaume umeishawahi kuishi kwenye nyumba inayomilikiwa na mwanamke ambaye labda ni mke wako au mpenzi wako?

Rayvanny wa jamiiForums

Senior Member
Apr 7, 2023
132
347
Katika pilika pilika za maisha kuna baadhi ya wanaume wamekuwa wakipitia msoto mkali, pengine labda ni kwasababu ya umaskini mwisho wanaishia kuishi kwenye nyumba za wapenzi wao au wake zao.

Sasa hebu funguka hivi kuna wanaume humu washawai kuishi kwenye nyumba inayomilikiwa na mwanamke ambaye labda ni mke wako au mpenzi wako, hebu tuambie ilikuwaje?

#Nyumayapazia
 
Niliwah ishi kwa demu wangu nilkuwa namzid miaka 5

Wakat huo nimemaliza chuo sina ramani, nilikuwa naondoka nyumban nawaambia nasafir nakaa ndani ya mjengo wiki nzima,hapo kwa mpenz wangu na nyumban ilikuwa mtaa mmoja

Demu nilimkuta anaishi na mwanae kama wa miaka 3, kutokana na utamu wa mnyanduo,demu akaamua kumrudisha mtoto kwao ili tuwe huru,yaan tulikuwa tunanyanduana kila muda tunapohitaji

Huyo demu aliwah niambia alikuwa na duka la mahitaj ya nyumban ila alivunjiwa duka,na wakawakamata wezi kwa kuogopa ikabid atoke mazingira ya kwao aje kupanga mtaan kwetu na kwel mle ndani mwake kulikuwa na mazaga zaga kibao ya kutumia

Kumbe bhana kuna mjuba mmoja alikuwa anahudumia,siku moja alitufuma ilikuwa noma

Huyo mwamba alikuwa akihitaj mbususu ya bibie anamuita mkoani anaenda kumpiga vitu,mi nadanganywa kasafir kaenda kwa ndugu zake kumbe kaenda kulipia bills

Baada ya demu kunogewa nami akawa hatak tena kukutana na jamaa,jamaa ndo ikabid afatilie kulikon demu kabadilika
 
Niliwah ishi kwa demu wangu nilkuwa namzid miaka 5

Wakat huo nimemaliza chuo sina ramani, nilikuwa naondoka nyumban nawaambia nasafir nakaa ndani ya mjengo wiki nzima,hapo kwa mpenz wangu na nyumban ilikuwa mtaa mmoja

Demu nilimkuta anaishi na mwanae kama wa miaka 3, kutokana na utamu wa mnyanduo,demu akaamua kumrudisha mtoto kwao ili tuwe huru,yaan tulikuwa tunanyanduana kila muda tunapohitaji

Huyo demu aliwah niambia alikuwa na duka la mahitaj ya nyumban ila alivunjiwa duka,na wakawakamata wezi kwa kuogopa ikabid atoke mazingira ya kwao aje kupanga mtaan kwetu na kwel mle ndani mwake kulikuwa na mazaga zaga kibao ya kutumia

Kumbe bhana kuna mjuba mmoja alikuwa anahudumia,siku moja alitufuma ilikuwa noma

Huyo mwamba alikuwa akihitaj mbususu ya bibie anamuita mkoani anaenda kumpiga vitu,mi nadanganywa kasafir kaenda kwa ndugu zake kumbe kaenda kulipia bills

Baada ya demu kunogewa na kitomb changu akawa hatak tena kukutana na jamaa,jamaa ndo ikabid afatilie kulikon demu kabadilika
Hatari sana

#nyumayapazia
 
Niliwahi enzi nimemaliza chuo afu Sina ramani, mdada mmoja mwalimu wa shule ya msingi alinielewa sana, akawa anatuma na yakutolea naenda pande za wilaya ya Karatu ndani ndani huko nakaa Hadi wiki tatu nimefungiwa ndani na kazi Ni moja tu kunyanduana....kilichokuja kutokea sitamani kukumbuka
 
Duuh,,,,,,inamaana ulikuja kugundua alikuwa anaishi kwenye mjengo ambao siyo wake au alikuwa mke wa mtu

#nyumayapazia
 
Aliku

Mkuu, Hawa wanawake usithubutu uende kuishi kwake, lolote linaweza kutokea ..... Alikuwa mke wa mtu
 
Back
Top Bottom