Mnawezaje ku deal na Jiran wa Namna hii kwenye nyumba za kupanga?

AlphaMale_

Senior Member
Aug 12, 2023
187
429
Hello habari wana jf

Ninapo ishi kuna kijana mmoja anapenda sana kufungulia mziki sauti inakua juuu sana yani hajali usiku asubui yeye akiwepo ndani ni kelele sana

Yani hii tabiia inani boa sana

Je nyiie mna deal vip na hawa watu?
 
Jaribu kuongea na mwenye nyumba umwambie hili jambo , Una we za mwambia kuwa sisi hatumzuii kufungulia mziki mkubwa au sauti ya juu Ila atazame mazingira yetu tunayoishi ikiwa sote tumetoka Ila yupo peke Yake basi hilo sip tatizo.

Jambo la pili , mwambie kwa upande Wa afya ya akili ,na moyo pamoja na masikio ,mziki sauti ya juu haufai kiafya.

Kwa ufanya hivyo huyo mpangaji atatunza afya yake na pia nyie wapangaji wengine mtaodokana na kero.

Kumbuka WATU wengi hufanya mambo mengi kutokana na uhaba Wa maarifa hivyo usiwahukumu ,kuna watu Leo hawasikii vizuri na chanzo kilotokana na kusikiliza mziki sauti ya juu , Fanya kila kitu Kwa kiasi.
 
Nguo ya kuzima haisitiri matraqooooo .Nimeshawhi kuishi na mtu wa aina hiyo halafu mimi ndio nasumbuliwa na Tinnitus na Tonsils..

Ni balaa tupu! Lijamaa likiingia ndani halina Cha kuwaza limuziki likubwa
 
Huyo jirani lazima atakua kitoto cha 20 kuja juu na hapo zinapigwa amapiano na nyimbo za Marioo. Anywa ongeeni na mwenye nyumba amueleweshe kadhia anayowapa nyie. Kiukweli sio ustaarabu kabisa na inakera sana
yan kama unamuonaga vili hizo nyimbo zinapigwa zinaisha anarudia tena huwa nawaza kuambia ni hachoki au hana cha kuwaza au laa hizo singeli za matusi ndio usiseme
 
Hello habari wana jf

Ninapo ishi kuna kijana mmoja anapenda sana kufungulia mziki sauti inakua juuu sana yani hajali usiku asubui yeye akiwepo ndani ni kelele sana

Yani hii tabiia inani boa sana

Je nyiie mna deal vip na hawa watu?
Mwambie huo ni ushamba tu kama ushamba mwingine ,tena mwambie jirani harufu ya kijijini bado haijakutoka
 
Nguo ya kuzima haisitiri matraqooooo .Nimeshawhi kuishi na mtu wa aina hiyo halafu mimi ndio nasumbuliwa na Tinnitus na Tonsils..

Ni balaa tupu! Lijamaa likiingia ndani halina Cha kuwaza limuziki likubwa
Kwa sasa umepona hizi tonsils na tinnitus?
 
Mtumie sms .. kama mna group la hapo mnapoishi, kaandikie ujumbe na ukataje kabisa.
 
dawa ni ndogo mkuu...tafuten siku ya kupoteza...mnafungulia sauti ya juu usiku wapangaji wote ...iwe ni mvurugano ataacha mwenyewe tu
 
Back
Top Bottom