Mwanaume unaanzaje kuoa binti ambae uchumbani hajawai ama ni mvivu kukufulia, kukupikia, kufanya usafi wa chumba / nyumba, n.k.

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,034
Naandika uzi huu kwasababu nazidi kujionea baadhi ya ndoa hizi za kizazi kipya zimekuwa za ajabu sana, hata ile tafsiri ya kuvuta jiko imeanza kupotea.

Na tuache masikhara, ndoa zetu za kiafrika mwanamke ana majukumu yake na mwanaume ana majukumu yake na kuna majukumu ya wote kwa pamoja, Mwanamke upo nae kwenye uchumba yupo lege lege hatimizi majukumu yake huyo unamuoaje ?

Mwanamke upo nae uchumbani kila siku yeye kuagiza vyakula ilhali stoo imejaa vyakula vya kupika na gesi ni kama yote, mwanaume unajitahidi kwa mafumbo kupika kama ulivyokuwa bachela lakini yeye dish bado halikamati anakusifia "oh unajua kupika" yani hajiongezi, yani akipika ni mpaka kwa kujivuta ama iwe kwajili ya kujiposti status ama instagram ili asifiwe.

Nguo zako nazo ni mvivu kukufulia.

Usafi wa chumba ama nyumba bado unaufanya wewe wakati yeye yupo..

Muda wote huo wewe unatimiza majukumu yako ya kumpa pesa ya matumizi unayoihangaikia asubuhi mpaka jioni na pengine hadi usiku.

Unaoaje sample hii ??

Ewe kijana, unapokuwa na mchumba ukimleta hapo chumbani ama nyumbani kwako, hapo ndio eneo la la kumsahishia mtihani wa mahitaji muhimu ya ndoa, akibaki kukushangaa, akijivuta vuta, yupo bize na simu, huyo tayari ana F sio wa kufunga nae ndoa, fanya nae mambo mengine ila sio wa ndoa.
 
Naandika uzi huu kwasababu nazidi kujionea baadhi ya ndoa hizi za kizazi kipya zimekuwa za ajabu sana, hata ile tafsiri ya kuvuta jiko imeanza kupotea.

Na tuache masikhara, ndoa zetu za kiafrika mwanamke ana majukumu yake na mwanaume ana majukumu yake na kuna majukumu ya wote kwa pamoja, Mwanamke upo nae kwenye uchumba yupo lege lege hatimizi majukumu yake huyo unamuoaje ?

Shake well before use haiishii kitandani tu, kuna maisha baada ya kupiga mshindo.

Mwanamke upo nae uchumbani kila siku yeye kuagiza vyakula ilhali stoo imejaa vyakula vya kupika na gesi ni kama yote, mwanaume unajitahidi kumpikia mara moja moja bado hajiongezi tu yeye anabaki kukukodolea macho, yani akipika ni mpaka kwa kujivuta ama iwe kwajili ya kujiposti status ama instagram ili asifiwe.

Nguo zako nazo ni mvivu kukufulia.

Usafi wa chumba ama nyumba bado unaufanya wewe wakati yeye yupo..

Muda wote huo wewe unatimiza majukumu yako ya kumpa pesa ya matumizi unayoihangaikia asubuhi mpaka jioni na pengine hadi usiku.

Unaoaje sample hii ??
Akufulie amekuwa mashine?hivyo vigezo vya kizamani Sana, siku hz kuna mashine za kufua nguo!
Karne hii unatumiaje kigezo cha kufua kuona ubora wa mke/mchumba? So pathetic
 
Naandika uzi huu kwasababu nazidi kujionea baadhi ya ndoa hizi za kizazi kipya zimekuwa za ajabu sana, hata ile tafsiri ya kuvuta jiko imeanza kupotea.

Na tuache masikhara, ndoa zetu za kiafrika mwanamke ana majukumu yake na mwanaume ana majukumu yake na kuna majukumu ya wote kwa pamoja, Mwanamke upo nae kwenye uchumba yupo lege lege hatimizi majukumu yake huyo unamuoaje ?

Mwanamke upo nae uchumbani kila siku yeye kuagiza vyakula ilhali stoo imejaa vyakula vya kupika na gesi ni kama yote, mwanaume unajitahidi kumpikia mara moja moja bado hajiongezi tu yeye anabaki kukukodolea macho, yani akipika ni mpaka kwa kujivuta ama iwe kwajili ya kujiposti status ama instagram ili asifiwe.

Nguo zako nazo ni mvivu kukufulia.

Usafi wa chumba ama nyumba bado unaufanya wewe wakati yeye yupo..

Muda wote huo wewe unatimiza majukumu yako ya kumpa pesa ya matumizi unayoihangaikia asubuhi mpaka jioni na pengine hadi usiku.

Unaoaje sample hii ??

Ewe kijana, unapokuwa na mchumba ukimleta hapo chumbani ama nyumbani kwako, hapo ndio eneo la la kumsahishia mtihani wa mahitaji muhimu ya ndoa, akibaki kukushangaa ama akijivuta vuta huyo tayari ana F ni sio wa kufunga nae ndoa, fanya nae mambo mengine ila sio wa ndoa.
Wewe unataka mke au hausigeli?
 
Back
Top Bottom