Habari ya mudaa huu wakuu, nilishawa kuja kuomba ushauri kuhusiana na tatizo la mwanangu, baadhi ya watu walipa ushauri tukafanya CT SCAN pale benjamini lakini hakuwa na tatizo lolote kwenye kichwa.
Nimerudi tena wakuu, naombeni msaada maendeleo ya ukuaji hayasongi mbele, mtoto anamiezi 16...
Habari zenu wadau wa JF.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Ninaomba nipate maoni yenu kuhusu uanzishwaji wa kampuni hapa nchini Tanzania.
Ninataka kuanzisha kampuni ambayo itajikita katika ununuaji na uzalishaji wa bidhaa za kilimo ndani na nje ya nchi. Je ninaweza nikaanzisha kampuni ya...
Nimeoa toka 2020,Mimi na mke wangu tumefanya juhudi mbali mbali za kupata mtoto, lakini mpaka sasa imeshindikana. Mke wangu anaingia period kama kawaida japo sio kwa mzunguko ulio rasmi unabadilika badilika.
Anaweza akaingia kwa 28,35,40 sometimes hata 50 days. Mliowahi kuingia kwenye hali kama...
Kuna binti anaishi Msasanu, Uswahilini kule Makangira, huyu dada mwenye watoto 3 nilikutana naye mwaka 2019 siku chache kabla ya XMas.
Nilimfahamu miaka mingi nyuma tukisoma enzi hizo Kinondoni Muslim yeye alikuwa mbele yangu madarasa mawili, nilishawahi kumtokea lakini akanikataa enzi hizo...
UFAFANUZI WA TAARIFA ILIYOCHAPISHWA KWENYE UKURASA WA JAMII FORUM TAREHE 17.03.2019 KUHUSU EWURA CCC
Tarehe 17.03.2019 kuna mdau ameandika taarifa inayolenga ama kwa kufahamu ama kwa kutokufahamu kupotosha umma wa watanzania kuhusu kazi na majukumu ya Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za...
Hellow guys
naomba usaidizi kwa aliye na group la kidato cha sita private candet arts combination's especially HGK OR HGL wanaotaraji kufanya mtihani mwakani
please tuwasiliane tafadhari kama upo kwenye group lolote lile
NDOTO ZA UTAJIRI
1. 777
-Kuota vitu mafungu 3 kila fungu vipo 7.
2. UNAHIFADHI PESA SEHEMU SALAMA.
Sehemu salama kama kwenye kopo, droo, benki n.k
3. Kuokota pesa za sarafu za zamani.
4. Unafanya mtihani na umefaulu kwa alama za juu hadi unasifiwa.
5. Mwanamke kuota amejifungua mtoto wa kike...
Kwanza moderator naomba usiupeleke uzi huu kule kwingine maana kule sijapata msaada
Wimbo wenyewe unaimbwa...
"Nalia woo wooo, nalia sana woo wooo ×2
Nataka kuwa mimi milionea, uwezo sina woo wooo
Nataka gari ya kutembelea, uwezo sina woo wooo
Masikini nadharaulika hapa duniani woo wooo
Sina...
Hivi mwanaume unakuwaje hueleweki, ulikua na crush na mdada wa watu mwaka mzima mkavunja ukimya mkawa kwenye mahusiano.
Badae unaanza kubadilika unapunguza mapenzi, mwenzio anakuuliza kwanini unabadilika, unadai unaogopa udate naye hata miaka mitatu alafu usimuoe, na mtu hata hajakuambia...
Wakuu habari za muda huu.
Kuna kampuni hivi jina niipe jina la X imefilisika, kwa hiyo ikabidi wafanyakazi wasitishiwe mikataba yao (redandacy).
Hivyo basi kwa sababu hilo suala liko kisheria (kupunguzwa kazini) ikanibidi na mimi niwemo kwenye orodha ya wanaopunguzwa kazini.
Sheria zote...
Wakuu habari!!!
Natumaini tuko poa sote,na kwa wale wapitao katika magumu Basi Mungu aweke rehma zake mambo yaweze kuwa mepesi.
Tuje kwenye mada,ndugu zangu Mimi ni baba wa familia ya watoto wawili na mke mmoja.
Nimeamua nije kwenu nahitaji msaada maana duuh!Hali inakoelekea naona mwanga...
Hellow, naombeni msaada wenu.
Nina shida kwenye namba yangu ya NIDA.
MAJINA yangu yalikosewa kwenye NIDA Jina la katikati likakaa mwisho na la mwisho likakaa katikati yakatofautiana na ya kwenye vyeti vyangu vya
taaluma
Nikafuatilia ofis za NIDA wilaya , nikaelekezwa cha kufanya nkafuata hatua...
Hello guys samahani mimi ni kijana miaka 23 nipo chuo mwaka wa pili UDSM, nilikua na mwanamke wangu ambae tumedumu kwa miaka takribani 7 sasa tangu form 2, mwaka jana nilimpatia ujauzito kwa mwanzo niliutumikia fresh japo tupo mbali me nipo dar ye yupo msoma, shida ni kwamba kuna mda life...
Hello bosses and roses.....
Kuna muda nilikua napata sana maumivu ya kichwa ila hospitali hawakunipa majibu yoyote ya kunisaidia. Hii ikafanya nitafute dawa tu ambayo itakua inanituliza maumivu ya kichwa yakianza. Nilijaribu panadol ikafeli, dawa tatu ikafeli. Nikaja kujaribu hizi 'Action'...
Kwa masikitiko makubwa, mchana huu nimepokea taarifa ya "Nahisi ni mimba."
Ujuwe nilikuwa nachukulia simple nikimuona mtu anashtushwa na taarifa kama hii, lakini leo nahisi kichwa kimewaka moto na nimekosa utulivu hadi kwa mara ya kwanza nimetamani kunywa pombe.
Sijawahi kumpenda bali ni nyege...
Habari zenu,
Nauliza hivi; wamiliki wa Makampuni ya Ulinzi Binafsi wao wanapataje faida? Nimeuliza hivyo kwasasabu usajili wa Makampuni ya Ulinzi Binafsi unaongezeka kila kukicha na inavyoonekana ni biashara nzuri.
Nawasilisha.
Wachawi wanachukua sura yangu wakati wa Usiku kwenda kuwanga.
Nashangaa naambiwa mi mchawi wakati sijawahi kuwa mchawi nilipofatilia nikaambiwa wachawi ndo wanatumia sura yangu na kunishikisha uchawi bila Mimi kujua.
Wakuu akina Mshana jr na wengineo nisaidieni nitumie mbinu gani kujikinga!?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.