nisaidieni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. warzone

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kumuajiri mdogo wangu wa kike

    Habari wakuu, nina mdogo wangu wa kike ambaye ana shahada ya HR miaka 26, naomba msaada wenu apate kazi yoyote ndani ya Dodoma au Dar(sababu ya sehemu ya kuishi) pia ni mzoefu kwenye kazi za mahoteli na kuuza mafuta (sheli), kwasasa yupo tuu nyumbani naona anakata tama, atayeguswa naomba...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Nimempa ujauzito housegirl, wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto

    Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo. Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mliobarikiwa na Mwenyezi Mungu Maarifa na Ubobezi wa Wanyama na Wadudu hebu nisaidieni katika hili Nielimike

    1. Pua za Panya zipoje kwani nimetoka Kula Samaki na kwa Makusudi nimebakisha baadhi (tena Kufunga katika Mfuko usiopitisha Hewa) ili Kesho Asubuhi niwape Paka wanaojiandaa Kuniwangia na Kunilimisha Mzanaki Mimi Usiku huu nikilala ila nashangaa Panya wameshajua hadi nilipoficha na sasa wananilia...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Wanasheria/Mawakili nisaidieni kwa illustrations hizi limitation sections

    Nisaidie maelezo ya hizi sections by giving ILLUSTRATIONS 17. (1) Where a person, who would, if he were living, have a right to institute a suit or make an application, dies before the right accrues, the period of limitation shall be computed from the time when there is a legal representative...
  5. God over everything

    JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi, iwe Kibarua kwa siku au kwa mwezi

    Habari za Mahangaiko Members. Mimi ni kijana wa kiume (27), Naishi Dar es salaam. Elimu yangu ni ya Form Six Nimekuja mbele yenu kuomba Msaada wa Kazi iwe Kibarua kwa siku au kwa mwezi. Nimeandamwa na malimbikizo ya Kodi ya CHUMBA. Mungu amguse yeyote mwenye uwezo wa kutoa Msaada kwangu...
  6. Zero Star

    JamiiForums Tanzania Je, mtu anaofuta usajili, records zinabaki kuwa laini ilitumika na mtu fulani?

    Yaani mfano… Mtu akisajili laini then akaamu KUFUTA usajili. Je, records zinabaki kwamba hii laini ilitumika na mtu fulani kusajiliwa au?
  7. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kugundua makosa ya hii floor plan

    Hapo katikati pana uwazi wenye upana wa 3m hadi 3m
  8. music mimi

    JamiiForums Tanzania Wadada nisaidieni kurasa nitakazopata urembo maridadi

    Hapa panawahusu wadada so naomba nijibiwe na wadada. Mie sio mtaalam sana wa vitu vya kike vilivyo kwenye trend. Ila nataka kumnunulia wifi yenu zawadi kwa ajili ya valentine so ninataka kununua kidogo kidogo mpaka siku hiyo maana mwaka jana sikumnunulia zawadi alipoa mpaka nikakosa raha...
  9. Lameckjr

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kufika Canada

    Ndugu wanajamvi habari zenu, Natumaini mko powa kabisa na mnaendelea na shughuli za hapa na pale Kwenye maisha ya mwanadamu kila mtu anakuwa na ndoto zake ambazo hana budi kuzipigania!! Binafsi toka nikiwa mdogo ndoto zangu zilikuwa ni kuishi Canada, hapa katikati ni kama zilipotea vile...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua time limitation ya kufile execution proceedings ni ipi?

    Naomba kujua time limitation ya kufile execution proceedings ni ipi? My search could not give me any clue! Assisit please
  11. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kuziondoa hasira za mdogo wangu/dada yangu...

    INTRODUCTION Ni mdogo angu (family friend). Kwao ni wa mwisho kuzaliwa (last born). Ana miaka 26 na ana mtoto mmoja wa kike. Yeye na huyo baba mtoto waliachana ila mtoto anatunzwa fresh. SCENARIO Huyu binti Wana JF ana hasira sana. Na hapo mwanzo nilishawahi kumuhoji akasema ""Muda mwengine...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nauponda sana upinzani ila nikitaka kuisifu CCM nafsi yangu inanisuta

    Ukweli ni kwamba tuna aina ya upinzani dhaifu sana katika nchi yetu, upinzani ambao huoni mwelekeo wake katika siku za hivi karibuni ama siku nyingi zijazo. Jambo hili linaniumiza sana moyo wangu kama mtanzania mzalendo mpenda nchi, kwani naamini kwamba bila upinzani madhubuti ni nadra kufikia...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kila fursa nikijaribu Wazazi wanasema sio hadhi yangu, sasa nipo nyumbani nafokewa kuwa sitafuti kazi

    Habarini wanaJF, Natumaini ni wazima wote Kwenda moja kwa moja kwenye hoja yangu. Mimi ni mhitimu wa chuo mwaka huu mwezi wa saba. Kiukweli napata changamoto kwa wazazi wangu kwa sababu kila fursa nikijaribu kufanya wananiambia hio sio hadhi yangu(fursa za halali). Lakini cha kushangaza mimi...
  14. cold water

    JamiiForums Tanzania Nimesikia mpenzi wangu anavuta bangi, nifanyaje?

    ....
  15. Mzee nazi

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kuokoa ndoa yangu jamani

    Ndugu zangu wanajamvi habarini. Mimi mwanenu na ndugu yenu nimekumbwa na tatizo, uume kusimama ka ulegevu na kuwahi kufika kileleni within a minute. Naomba msaada sana ndugu zangu
  16. cold water

    JamiiForums Tanzania WhatsApp haipatikani ukimpigia simu lakini text zinakubali

    Inakuaje mtu No yake ya WhatsApp, normal call haipatikani lakini ukimtumia text whasap zinaonesha tick 2 kuna mtu anatumia wasap yake au.
  17. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa ardhi nisaidieni hapa

    Hivi eneo lenu ambalo mlikuwa na hati miliki halali Tanroads wakawavunjia kuwa hifadhi wao wameuza kwa mtu anaweka sheli nani mwenye haki?
  18. Edgar 8900

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni

    Je naweza kusoma digrii mbili katika chuo kimoja?
  19. P

    JamiiForums Tanzania Ninahisi nina kichaa, tafadhali nisaidieni, msinikejeli wala kunisema...

    Habar wana jamii, kwanza nianze kwa kusema mm ni mtu mwenye hasira sana, ninasumbuliwa na depression napenda kujiisolate na kukaa mwenyewe, tangu nimalize chuo sikutafuta kazi nimejifungia ndani huu mwaka wa tano, sikuwa naelewa tatizo langu nini Ila nimejua mwaka Jana kuwa shida ni mental...
  20. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni ndugu zangu; napitia mateso wakati NSSF wanayo pesa yangu. Nachukuaje michango yangu?

    Sina kazi karibu mwaka wa pili sasa. Kula yangu ni ya shida pakulala ni shida kila kitu kimekuwa shida. Nimekuwa na mipango mingi lakini nashindwa fanya lolote sababu pesa sina kabisa. Lakini nina pesa yangu ipo NSSF baada ya kupoteza kazi yangu walinipa mafao ya 33% kwa miezi 6 then baada ya...
Back
Top Bottom