Feb 11, 2023
14
15
Habari za Mahangaiko Members.

Mimi ni kijana wa kiume (27), Naishi Dar es salaam.

Elimu yangu ni ya Form Six

Nimekuja mbele yenu kuomba Msaada wa Kazi iwe Kibarua kwa siku au kwa mwezi.

Nimeandamwa na malimbikizo ya Kodi ya CHUMBA.

Mungu amguse yeyote mwenye uwezo wa kutoa Msaada kwangu.

Asanteni.
 
Habari za Mahangaiko Members.

Mimi ni kijana wa kiume (27), Naishi Dar es salaam.

Nimekuja mbele yenu kuomba Msaada wa Kazi iwe Kibarua kwa siku au kwa mwezi.

Nimeandamwa na malimbikizo ya Kodi ya CHUMBA.

Mungu amguse yeyote mwenye uwezo wa kutoa Msaada kwangu.

Asanteni
 
Poleni na machovu ya siku JF.

Naombeni Mnisaidie kupata Kibarua cha malipo kwa siku au mwezi. Iwe kiwandani, kuuza duka, Store, au hata Kuwa house Keeper Niko tayari ndugu zangu.

Nisaidieni jamani nisije nikamkufuru Mungu kwa hizi Taabu.

Mimi ni WA kiume (27), elimu kidato cha 6.

Asante
 
Wakuu Habari!

Bado sijajaaliwa kupata Kibarua/kazi tangu nipost humu mwezi January.

Naombeni mwenye connection au kazi direct anisaidie niweze kujikwamua na Njaa hii.

Nipo DSM, Elimu Form 6, Kompyuta Najua kutumia ipasavyo.

Wasalam!
 
Weka namba ya simu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom