nisaidieni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kufanya uchaguzi mzuri wa chuo

    Jamani naomba kuuliza juu ya chuo Cha CBE Dodoma ni kizuri Kwa mandhari na vp kuhusu elimu au taaluma inayotolewa pia nishaurini chochote juu ya chuo hiko, manake nimechaguliwa IT CBE Dodoma, na Marketing CBE DAR Niende wapi?
  2. E

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kazi yoyote ya halali. Mimi ni Mhitimu mpya wa Chuo

    Habari, Mimi ni recent graduate wa Bsc. Environmental Sciences and Management kutoka SUA. Naombeni mnishike mkono kwa yeyote mwenye kazi ya halali walau nipate chochote kitu. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
  3. Sonko Bibo

    JamiiForums Tanzania Wazoefu na wataalamu wa mapenzi nisaidieni maana sielewi shida nini?

    Inatokea nadate na mwanamke, kwa muda mrefu, au muda mfupi, let's say miezi mitatu, au mwaka. Hapo unakuta manzi ananiimbia, nyimbo za malengo ya ndoa. Hata kama anajua fika kuwa nilimnunua baada ya mitongozo kusua sua. Mwamba naapply pesa. Dau linatiki na hii mbinu haijawah kuniangusha. Sasa...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Nimechaguliwa kusoma Computer Engineering nisaidieni!! Vipi ajira zake zipo?

    Nimechaguliwa DIT kusoma computer Ingineering naomba kujua fursa Zake katika kujiajiri kuajiriwa pia! Niongozeni wakuu.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu nisaidieni hivi hapo mimba itakuwepo au haipo?

    Wakuu nisaidieni hivi hapo mimba itakuwepo au haipo?
  6. FORBIDDEN HISTORY

    JamiiForums Tanzania Jamani nisaidieni dawa viroboto vimeingia ndani kwangu

    Kwa nje kama mita 8 hadi nje nyumba ndio kuna banda la umbwa. Nimeanza kutumia dipu kuoshea mbwa, vp kuhusu hivi viroboto vilivyoingia ndani naweza kuvimalizaje kabla havijawa chroic?
  7. Stability

    JamiiForums Tanzania Wakuu nisaidieni tiba ya makelele masikioni.

    Sasa imekuwa too much yani mivumo na sauti za kengele , muda mwingine masikio yanawasha muda mwingine una hisi masikio kama yamejaa. Uliwahi kupata hii hali? Tusaidiane namna uliyoweza kujinasua.
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwa tanzania yetu nisaidieni kutaja vitu ambavyo ni vya ku enjoy ila havina gharama

    Kwa mazingira yetu yalivyo ni vitu gani vya kunoga ambavyo havimalizi hela yaani cost yake almost equal to zero. 1.kuogelea bahari ya hindi 2.kufuga bata lengo uwe unakula pilau na bata 3.gongo+mnazi (tembo) 4.x +punyeto 5.download movies kwenye wi-fi 6.audiomack 7.jamiiforum 8.mke mrembo...
  9. Marcy

    JamiiForums Tanzania New Add bookmark #1 Kila nikiingiza token za umeme inaandika reject umeme hauingii tatizo ni nini?

    Kila nikiingiza token za umeme inaandika reject umeme hauingii tatizo ni nini?
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Niliota nimefariki na baadae nikafufuka. Sijawahi kuota hivi na wala sikuwa na mawazo ya aina hii kabla ya kulala. Nisaidieni tafsri

    Wakuu jana niliota nimekufa hadi msiba wangu ulitokea na nilikuja kukufuka na wakabomoa jeneza kunitoa kabla ya sijazikwa Kuna maana yoyote hapa au ni muvi tu za usiku? Mshana Jr Da'Vinci
  11. Pridah

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu nyumba yangu niliyoijenga Maramba Mawili

    Hi JF. Ndugu zangu naomba mawazo yenu. Ni hivi, kuna nyumba iko hapo Mbezi Maramba mawili naona kama nilipoteza muda na hela zangu bure coz haina faida yeyote kwangu tokea nimeijenga. Ilipokamilika nilimpa uncle wangu na wife wake wakae. Baada ya miaka 3 ndugu akajiongoza akaenda panga 2...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni: Je, Yanga ni CCM na SIMBA ni CHADEMA? Ninashawishika kuamini hivyo kwa rangi za bendera zao

    Nimetafakari na kuona mwelekeo ulivyo na pia vitendea kazi kufanana kama vile bendera zao je nikisema Yanga ni CCM na Simba ni Chadema nitakosea Naomba maoni.
  13. MENEMENE TEKERI NA PERESI

    JamiiForums Tanzania Nina shida ya mawasiliano ya aina yoyote ya wasanii wafuatao

    Kufa tutakufa kikubwa kujiandaa ,Asalam aleykum wanajukwaa hiyo ni salamu kwenu. Tafadhali nina shida na namba za simu au mawasiliano ya aina yoyote kwa wasanii wafuatao nahitaji ikiwa unazo namba zao ,naomba usisite kunisaidia maana Kuna mahali wanahitajika sana. BONIPHACE MWAITEGE, BAHATI...
  14. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Ukubwa wa nyumba ni 90m². Nisaidieni kujua makisio ya gharama hadi kuimaliza

    Nisaidieni kujua makisio ya budget ya nyumba hii. NOTE: *Haina fence *Vyumba vya kulala 2 *Bati migongo mipana gauge 30 *Finishing ya skimming, vinyl, w.guard *Gypsum brd, tiles, sitting toilets, kitchen set up, etc Karibuni.
  15. Sun Wukong

    JamiiForums Tanzania Mafundi nisaidieni A14 haiwaki

    Mwanzo ilikuwa kioo hakina mwanga kinaonesha kwa mbali baada ya kubadilisha mara fundi anasema simu haiwaki na mapa sasa haiwaki shida inaweza kuwa nini
  16. Paul dybala

    JamiiForums Tanzania Wakuu nisaidieni mke

    Wakuu, mimi nimechoka kupiga puli, nimechoka kulala peke yangu, nimechoka kuvaa nguo za kurudia, nimechoka kula kwenye mgahawa naogopa kulea watoto nikiwa mzee, mtu mwenye dada au ndugu wa kike tupeane connection mimi niko tayari kuoa. Umri wangu miaka 32. Kazi bado sina ila najishughulisha na...
  17. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni namna ya kulipia siku nione mechi ya Yanga akimuua Azam FC kwenye Azam tv

    Wakuu nisaidieni namna gani naweza lipia kifurushi cha siku kwenye Azam tv alafu nione mechi ya final Yanga vs Azam.
  18. H

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kazi yoyote halali

    Habiri wanaJF, Mimi ni kijana wa kiume umri22, nilihitimu form 6 mwaka jana lakini sikufanikiwa kwenda chuo kwa sababu za kiuchumi. LENGO: Tafadhali naombeni mnisaidie kazi yoyote halali kama ni kulima, kuuza duka n.K, niweze kujikwamua. Natanguliza shukrani
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ndugu nisaidieni kujua aina hizi za fence ya nyumba

    Ningependa kujua kama nahitaji kuweka fence kama hii nitumie mmea/mti/maua ya aina ila ambayo itaweza kuni guarantee usalama dhidi ya kupenyeka kwa urahisi. Karibuni wenye ueledi juu ya hili
  20. Pearce

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa JF nisaidieni Kuwaelewa hawa wadada

    Kuna wanawake wawili niliwahi kuwatokea wakati huo kwa kipindi tofautitofauti wakati nikiwa single sababu niliona ni watu sahihi 1.Nilimwambia dhamira yangu kweli aliniambia kwamba ana mtu wake, na alibaki na msimamo huo basi nikapunguza mawasiliano lakini tangu wakati huo lazima atanitafuta...
Back
Top Bottom