Nimempa ujauzito housegirl, wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto

Hoaxer

JF-Expert Member
Sep 7, 2022
2,726
6,774
Mimi ni mwalimu, mke wangu nae ni mwalimu, tunafundisha shule tofauti lakini ziko jirani. Tumejenga nyumba yetu na tuna watoto wadogo.

Tatizo langu limeanza baada ya kupata house girl mpya ambaye alikuwa ananitega. Uzalendo ulinishinda, tukitoka na wife asubuhi mimi namuacha shuleni kwake na pikipiki yangu narudi nyumbani kumla house girl.

Sasa house girl ana mimba, mke amembana amesema mimba ni yangu. Wife amekwenda mahakamani anataka niondoke nimuachie nyumba na watoto.

Tuna miezi mitatu hataki nimguse.

Nitachomokaje?
 
Unampeleka wife wako Shuleni halafu badala na wewe kwenda Shuleni kufundisha, unarudi home kufanya uzinzi, watoto wanasubiri Mwalimu Darasani, kumbe wewe umeenda kula beki 3

Wife wako akomae hivyo hivyo, huna pakuchomokea, nyinyi ndio mnaua elimu kwa vijana wetu.
 
Mwalimu unashindwaje ku solve issue ndogo hivyo.

Kwanza mtoe huyo house girl hapo mkeo asijue ulikompeleka

Hatua ya pili huko mahakamani hawezi kutoboa so case closed

Hasira zikimuisha akili itamrudia na maisha yataendelea kama kawaida.

Nimalize kwa kukupongeza kumtia huyo house girl wako kibendi
 
Back
Top Bottom