nguvu

  1. JamiiForums Tanzania Dalili zinazoonesha umepungukiwa nguvu za kiume

    Ukienda Safari Moja Mwili unachoka alafu unahisi usingizi Sehemu za Siri Zinasinyaa taratibu baada ya goli moja. Mwili unahisi ganzi pamoja na sehemu za siri. Hamu inakata ghafla Mara baada ya kutoa Manii, ule uchangamfu unapotea kabisa. Nyeti zinasimama Vizuri Lakini ukitaka kuingiza kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Alietudanganya kuwa CHADEMA ni nguvu ya umma yuko wapi?

    Pamoja na yote yanayotokea kwa mwenyekiti na chama kwa ujumla, lakini maisha mtaani yanaendelea kama kawa hakuna dalili ya kuyumbishwa. Nguvu ya umma yuko nayo Zuma tu peke yake.
  3. S

    JamiiForums Tanzania CCM ni chama cha watu waoga wanaotegemea nguvu ya dola kubaki madarakani

    Huu ndio ukweli kuhusu CCM ya leo ambayo imepoteza uhalali wa kisiasa na sasa inategemea nguvu za dola kubaki madarakani. Uchaguzi wanavuruga na kuupora na sasa hata mikutano ya ndani ya vyama vya siasa wanaiogopa yakiwemo makongamano ya kudai katiba mpya. Kwa mfano, CHADEMA wamekuja na hoja...
  4. JamiiForums Tanzania Nyumba ya Heche inapekuliwa kwa nguvu

    Bila ya shaka polisiccm wanaweza kabisa kumbambikia kesi mbaya sana ya uchochezi.
  5. JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM isitumie nguvu kubwa kuwabana wapinzani wanaodai katiba mpya, tukipata katiba mpya wanufaika wakubwa ni wafuasi wa CCM wenye hali duni

    Suala la taifa letu kuwa na katiba mpya tusiliangalie kwa upande mmoja tu wa shilingi. Katiba tuliyonayo ina mapungufu makubwa sana ambayo hayamnufaishi mwananchi wa kawaida mwenye maisha duni. Wananchi wanahitaji katiba itakayowapa nguvu ya kuonekana kuwa wana maamuzi kwenye nchi yao...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe amepambana hadi tumepata Chanjo ya COVID-19; je, na Katiba mpya ataipigania kwa nguvu ile ile?

    Wakati Freeman Mbowe anapambania chanjo ya Corona wengi walimdharau lakini serikali ikamuelewa na chanjo za hiyari zinakuja. Katiba mpya je? Mwamba atatuvusha?!
  7. JamiiForums Tanzania Kamanda Mbowe aelekea Mwanza kuimarisha nguvu haki ya kudai katiba ipatikane

  8. JamiiForums Tanzania Kama nguvu kubwa ikitumika kunyamazisha mijadala Basi Mambo yanarudi Kama awali

    Ukiona hakuna Uhuru wa kukutana Hadi vikao vya ndani ujue Hali unarudi kuwa ngumu soon as possible. Kuna unafuu ulianza kuonekana kwenye uchumi. Watu kuachiwa, kesi kufutwa, Wakulima kulipwa mazao ya biashara kwa keshi haswa pamba na Bei kupanda kutoka 800 kilo Hadi 1500. Ilikuwa NI dalili...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Dodoma: RC Antony Mtaka amchana Waziri wa Elimu kuhusu mwisho wa Watoto kusoma kuwa ni saa tisa

    Mataka awaasa wananchi wampuuze Waziri wa Elimu kuhusu mambo ya elimu Kwenye mkoa wa Dodoma. Mataka amesema wampuuze Waziri ambaye watoto wake wanasoma international school. Sikiliza audio hapo. Mama Ndali umezoea kuwaonea wakuu wa taasisi za elimu halafu system inakuangalia tu. Ndalichako...
  10. JamiiForums Tanzania Dkt. Dorothy Gwajima: Serikali haitatumia nguvu, jilindeni na Covid-19

    PICHA: Dkt. Dorothy Gwajima Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk Dorothy Gwajima amesema serikali haitatumia nguvu katika kukabilia wimbi la tatu la virusi vya corona, na badala yake watajikita katika utoaji elimu zaidi. Akijibu maswali ya waandishi wa habari jana Dar es...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini upinzani una nguvu sana Mbeya na Songwe tangu miaka ya 1990 hadi sasa?

    Kwa miaka mingi mikoa ya Mbeya na Songwe imekuwa ikitoa wanasia wenye kuelwmea upande wa upinzani, wakiikosoa serikali ya CCM bila ya woga wowote, hata wakitishiwa mateso na kifo hawatetereki. Je, ni nini haswa kilichopelekea watu wa mikoa hiyo kuwa hivyo? Hukk ndiko sehemu ambako CCM hupita...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Nasikitika kusema kwamba, Katiba Mpya tunayoitafuta kwa nguvu nyingi haiwezi kutusaidia

    Ndiyo na ni ukweli kabisa, Katiba tunayojaribu kuitafuta kwa jasho jingi na Energy nyingi, nasikitika kusema, haitatusaidia popote kama nchi. Kama kuna mtu anapingana na mimi, Embu atusaidie kujibu maswali haya Ni kweli tumekuwa na katiba isiyokidhi matakwa yetu hususani katika mizania ya...
  13. JamiiForums Tanzania Betri za Redio zikiisha Nguvu huwa tunazianika Juani Kisha tutaendelea Kuzitumia je, Betri za Simu zikianza Kupungua Nguvu tunafanyaje?

    Hapa nitakuwa nasoma tu Maoni yenu!!!
  14. J

    JamiiForums Tanzania CCM ina nguvu lakini CHADEMA ina maarifa; watawala wanapaswa kuwa makini

    Kimsingi kwa mfumo wetu wa siasa Serikali ndio CCM yenyewe hivyo nguvu ya serikali ndio nguvu ya CCM. Lakini CHADEMA wanaonekana kuwa na maarifa zaidi hasa baada ya sakata la Sabaya na sasa hili la kesi la viongozi 7 akiwemo DC Mashinji wa CCM. Kiufupi CCM wanapaswa kuwa makini zaidi kabla...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mama kesha Pasua Mbarika Tumuunge Mkono kwa nguvu zote

    Mama bila kumung'unya maneno leo akiongea na Baraza la Maaskofu (TEC), ametamka: "Corona ipo tuchukue hadhari zote kama tunavyoelekezwa na wataalamu." Kauli hii ni ya kijasiri kabisa. Heko mama Samia rais wetu kipenzi wa JMT. Mama ni wa kuungwa mkono kwa nguvu zote na waungwana wote...
  16. JamiiForums Tanzania Majina ya kurithi na nguvu zake juu maisha yetu

    Kwa kawaida katika jamii zetu tuna utamaduni wa watoto kupatiwa majina ya wanafamilia waliowatangulia, kwa mfano babu, bibi, mjomba, mama kubwa, etc. Lakini kumekuwa na upande mwingine wa story kutokana na utamaduni huu, namaanisha matokeo baada ya haya majina kupatiwa watoto. ■ Inasemekana...
  17. JamiiForums Tanzania Ali Kiba anachokera hatumii nguvu nyingi kama wengine

    Huyu ni the gifted ALIKIBA mashabiki zake wengi wanamuita "King wa bongo fleva" nimeanza kumsikiliza siku nyingi since 2007 ndo nilipata fursa ya kumsikiliza kwa mara ya kwanza kwenye nyimbo yake ya Cinderella leo Ni 2021 nasikiliza recent release yake inaitwa "Ndombolo ". Aisee nasema ukweli...
  18. JamiiForums Tanzania Ni juhudi gani uliwahi fanya kupata mpenzi ukikumbuka unaishiwa nguvu?

    Wakuu watu wanazaliwa na kukua... Katika makuzi sometime unajikuta balehe inakupeleka kutaka kunyanduana, hivyo harakati za kutafuta wasichana zinaanza, hata ukubwani pia sasa hivi bila shaka kuna harakati pia za kutafuta pisi bado unafanya. Kiasi kwamba ukikumbuka unaishiwa nguvu. Je ni...
  19. JamiiForums Tanzania Sheikh Mselem: Tukiambiwa Hapana, tusishindane na mwenye nguvu

    Sheikh Mselem: Usalama wa Nchi ni jambo linalopewa kipaumbele na sisi tunapenda usalama, furaha ikizidi inaweza ikazalisha kitu halafu mara nyingi kutokana na uzoefu kuna vitu watu wa kati huchomeka. Inawezekana tumefanya jambo halali, tumeliombea ruhusa serikalini, tukapewa ruhusa lakini kuna...
  20. JamiiForums Tanzania Wasifieni wake zenu! Kuna nguvu kwenye kusifu

    Uzi wa namna hii, nauandika leo kwa mara ya pili... Nikweli unamtunza, unamlisha, unamvisha n.k, lkn kumbuka, Nayeye anaouwezo wa kujifanyia hayo . Usimchukulie Poa, Usimdharau akajua, Usimsaliti akajua na ikitokea amejua jitahidi tu kutumia hata uongo unaojua kumplz , Usimfanye ajione hana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…