Ulishawahi kutumia nguvu kumuonesha mpenzi unampenda sana lakini yeye hata ajali?

Mboka man

JF-Expert Member
Aug 22, 2020
478
1,638
Kuna msemao mpende akupendae asiyekupenda achana naye

Je, ulishawahi kutumia nguvu na bidii kumuonesha mpenzi wako unampenda sana na unamjali sana lakini yeye akawa hana habari na wewe?
 
Kuna demu mmja nilikuwa nmkabali Sana ;ila Kila nikimuita gheto anazingua
Ila pesa ananikamua Sana ;
Mwish wa siku akanambia ana mtu ake ,
Akabidi ni salende tu
 
Kuna msemao mpende akupendae asiyekupenda achana nae

Je ulishawahi kutumia nguvu na bidii kumuonesha mpz wako unampenda sana na unamjali sana lakini yee akawa hana habari na ww
Ilikua zamani hiyo. Siku hizi tunampenda yoyote, akigoma tunamshawishi akikwepa tunamlazimisha dadadeque zake kwani aliinunua?
 
Nguvu sio za kutumia kwenye mapenzi, ni kujaribu jaribu tu na kupima upepo ukiona haelekei nenda kwingine. Ila kikubwa mapenzi sio ya kuendekeza
 
Hapana.
Kwan kabla ya kuvuka maji si lazima uyapime kwanza kama ni ugoko au magoti
 
Kuna demu mmja nilikuwa nmkabali Sana ;ila Kila nikimuita gheto anazingua
Ila pesa ananikamua Sana ;
Mwish wa siku akanambia ana mtu ake ,
Akabidi ni salende tu
Kukwambia ana mtu wake siyo sababu ya kusalenda huyo alikuwa ana kutatisha tamaaa ili kukuona msimamo wako
 
JamiiForums2090355501.jpg
 
Back
Top Bottom