nguvu za kiume

  1. Ibn Unuq

    JamiiForums Tanzania Hili suala la nguvu za kiume ni jambo serious kabisa, tuambie umewahi kutumia mmea au chakula gani kuondokana na tatizo hili

    Kumekuwa na vumi tofauti tofauti kuhusiana na vyakula na mimea inayoongeza Nguvu za kiume hasa karne hii ambapo tafiti zinaonyesha Vijana wengi Jogoo zao haziwiki 😂. Leo tumalize utata, weka picha hapa ya mmea au chakula chochote kinachoongeza nguvu za kiume. Ukiweza tuelezee na Matumizi.
  2. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Umeathirika na Punyeto? Fanya hivi utapona

    ili kurejesha uimara wa misuli ya uume wako na kuifanya iwe komavu chukua kanuni hii, tafuta asali mbichi ya nyuki wa dogo, tafuta unga wa mvunje haltiti. Tafuta mafuta ya zaituni, tafuta kitunguu saumu Maandalizi Chukua zaituni mils 20 Chukua kitunguu thaumu kisage upate mafuta yake mils 10...
  3. U

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nguvu za kiume, michezo ya kubashiri na sekta ya habari na mawasiliano

    TANZANIA tuitakayo ni Ile iliyokamilika katika nyanja zote iwe Bora katika afya ya kijamii Ili iweze kufanya shughuli za kimaendeleo. Ninapenda kuunganisha maneno haya maudhui haya mawili yaliyoshamiri katika jamii kwa Sasa na wizara ya habari na mawasiliano kwa ujumla kwa uhusiano niliouona...
  4. Raia mpya

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nina changamoto ya nguvu za kiume

    Mimi ni kijana miaka 26 nina tatzo la nguvu za kiume linanitesa sana mpaka nakosa raha, uume hausimami kabisa si asubuhi wala jioni yaani nashinda kuta nzima umelala hii kitu naogopa hata kuwa na demu maana nitamfanya nini zaidi ya kuaibika. Nilikuwa mpiga nyeto ila now nimeacha msaada wenu...
  5. Mc Justine Mwakibiki

    JamiiForums Tanzania SoC04 Je, ni kweli vijana hawana nguvu za kiume?

    Katika jamii yetu ya kitanzania, kwa siku za hivi karibuni kumeibuka janga la taifa. Nalo si jingine ni janga la upungufu wa nguvu za kiume, NGUVU ZA KIUME NI NINI? huu ni uwezo alionao mwanaume wa kushiriki ipasavyo tendo la ndoa, na kuweza kumpa mimba yule mwandani wake. HEBU TUANGALIE JE...
  6. Replica

    JamiiForums Tanzania Serikali kutafiti maeneo sita kwa bilioni 3.5, yamo usugu wa dawa, saratani na nguvu za kiume

    Serikali imetenga bilioni 3.5 katika bajeti ya wizara ya afya kusimamia tafiti na matumizi ya matokeo ya tafiti mbalimbali katika afua za: Tafiti za magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo saratani Ufuatiliaji wa usugu wa vimelea dhidi ya dawa Utafiti juu ya changamoto ya afya ya akili Matumizi ya...
  7. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wenu wa nguvu za kiume mtaji kwetu Serikali

    Serikali inatarajia kutumia Sh. Bilioni 3.5 kuchunguza Tatizo la Nguvu za Kiume, unywaji wa Energy Drinks
  8. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Unywaji wa pombe Kali kama konyagi na K Vant huongeza nguvu za kiume

    Habari Jamiichek Kwa muda sasa katika Jamii yetu ya Kiswahili kumekuwa na hii nadharia kwamba mwanaume akitumia pombe Kali Aina ya konyagi au k vant halafu akaenda kufanya mapenzi, hutumia muda mrefu Sana kufika mshindo kitu ambacho inasemekana kinaridhisha wanawake kiurahisi. Huku mitaani...
  9. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Binti asakwa na Polisi kwa kudaiwa kuweka dawa za nguvu za kiume kwenye tanki la maji

    Binti Asakwa na Polisi kwa kudaiwa kuweka dawa za nguvu za kiume kwenye tanki la maji ======= Polisi mjini Bulawayo nchini Zimbabwe, wameanzisha msako mkali wa kumtafuta kijana aliyeweka dawa ya kuongeza nguvu za kiume maarufu kwa jina la (Viagra) kwenye tanki la maji la kanisa wakati wa ibada...
  10. maroon7

    JamiiForums Tanzania Uvumi unaendelea kuhusu unga kutiwa vitu vya kupunguza nguvu za kiume na kuchochea ushoga

    Kuna uzushi umeenea sana kwenye magroup ya WhatsApp kuhusu unga wa mahindi kama inavyoonekana kwenye picha. Mwanzoni nilipuuzia ila kila group naikuta. Kimsingi wabongo elimu ya fortification (uongezaji virutubishi kwenye unga kwa ajili ya kupunguza utapiamlo na udumavu bado hawajaielewa. Kuna...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini; kuna sabuni zinapoteza nguvu za kiume!!

    Hizi sabuni zenye mapichamapicha ya kama miungu ya kihindi hivi na harufu kali kuwa nazo makini, yalinikuta. Kwa usalama wa afya ya kujamiiana, ogea mbunju, magadi, komesha n.k Kwa wale waliozoea ubishi basi sawa endeleeni.
  12. haszu

    JamiiForums Tanzania Je, hili tatizo langu pia ni suala la nguvu za kiume? Nakosa nguvu

    Ndugu zangu, yaani nikiwa kwenye tendo, nashughulika vizuri tu. Ila sasa baada ya siku moja ya tendo, mwili unakua unachoka sana. Nakua na usingizi mzito hata mchana naweza lala masaa hata 5. Jambo hili huingilia ufanyaji kazi wangu kabisa na kufanya nishindwe kufanya kazi. Nimepima sukari na...
  13. Nyendo

    JamiiForums Tanzania KWELI Kupakata Laptop husababisha hatari katika uzalishwaji wa mbegu za kiume

    Nimeona sehemu kuwa kupakata laptop kwenye mapaja kunasababisha uzalishwaji wa mbegu za kiume kuwa hatarini na nguvu za kiume zinaweza kupungua. Je, suala hili lina ukweli?
  14. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Dokta Greyson: Kutembea bila ya viatu (Peku) kunaongeza nguvu za kiume

    Dokta Greyson Babishomba, akiwa anafanya mahojiano na Kituo cha Redio cha Times Fm, amesema kuwa tabia ya kutembea peku bila ya kuvaa viatu huongeza nguvu za kiume. ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako? Written by Mjanja M1 ✍️
  15. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Dokta Greyson: Kula huku unachezea simu hupunguza nguvu za kiume

    Dokta Greyson Babishomba akiwa anafanya mahojiano na Kituo cha Redio Times Fm, amesema kuwa tabia ya wanaume kula wakati wanachezea simu zao hupelekea tatizo la nguvu za kiume. ANGALIA VIDEO HAPA Nini maoni yako? Written by Mjanja M1 ✍️
  16. D

    JamiiForums Tanzania Nguvu za kiume zinapotoweka ghafla!

    Pale unapopenda na kujenga taswira katika ubongo kisha unaenda kukuta ulichofikiria sio!
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mimi ni kijana wa Miaka 25 nna tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume

    Mimi ni kijana wa Miaka 25 nna tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume.. Niligundua hili tangu mwaka 2023 baada ya kushindwa kusex Kwani uume ulisimana ila nataka kuingiza tu nikamwaga na uume ukanywea Kabisaa ndio nikajua kama Sina nguvu za kiume baada ya kuuliza na kuambiwa baadhi ya dalili za...
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wameathirika sana na upungufu wa nguvu za kiume?

    Hili ni janga la kitaifa yaani ukienda makanisan vijana wenye nguvu wanaomba waombewe kurudisha nguvu za kiume. Huko Ugangan ndio usiseme Sijapita mahospitalini usiseme NINI kimewaharibu vijana wetu n vyakula ama kurogwa? Mungu atusaidie Tulizoea kuona wazee wakiteseka na haya magonjwa nw...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Honeymoon for Men & Women, dawa ya kuongeza nguvu za kiume ya Viagra iliyojificha kwenye jina la dawa za Asili kutoka Uturuki

    Wakuu, habari za muda. Kuna hii dawa inaitwa Honeymoon for Men & Women. Ni Vifurushi vya asali ambavyo unapewa unatakiwa umeze kimoja baada ya siku 3. Nimeambiwa kabla ya hapo ilikua ni vidonge, sasa wameboresha wamevileta kama asali. Kwa nini nimejua hii dawa. Ni hivi, hivi karibuni...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kununua dawa za kupunguza tumbo, kuongeza shape au nguvu za kiume mtandaoni? Unajua dawa hizo zimechanganywa na nini?

    Wakuu, Uzito uliopitiliza, shape na nguvu za kiume na mambo ambayo yanasumbua sana watu na kuna baadhi wako radhi kufanya chochote ili atimize moja la hitaji lake hapo juu. Dawa hizo nyingi hazitambuliki na mamlaka za dawa na chakula, wanaokuuzia wengi hawajui zimechanganywa na nini, na hata...
Back
Top Bottom